udini

Udini Square is a shopping mall at Gelugor, a southern suburb of George Town in Penang, Malaysia. Opened in 2015, the three-storey mall is currently anchored by two sporting good chains, SportsDirect.com and MST Golf Superstore, as well as Mr D.I.Y., Malaysia's largest hardware chain.Udini Square was developed by a Malaysian property developer, IJM Corporation, with a gross development value of RM75 million. The suburban lifestyle mall caters to residents within Gelugor, and sits near the Tun Dr Lim Chong Eu Expressway that links George Town, the Penang Bridge and Penang International Airport.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

    Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona. Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kulazimika kuweka taarifa za kabila na dini kwenye nyaraka za serikali

    Kauli hii inaangazia hoja nyeti na muhimu sana kuhusu mwelekeo wa taifa katika kulinda umoja wa kitaifa na misingi ya katiba. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nchi haina dini rasmi, na inapinga ubaguzi wa aina yoyote, ikiwemo misingi ya udini au ukabila. Kwa hivyo...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kila Samia akikosolewa inasemwa ni udini?

    Sijaelewa ni kwa nini Kila akikosolewa Samia Suluhu Hassan ndani ya chama chake ama kama Rais hoja kuwa ukosoaji huo unatokana na dini yake huibuka. Hivi ni Rais gani wa nchi hii ambaye hajawahi kukosolewa. Jee walipokosolewa Nyerere,Mwinyi, Mkapa, Kikwete au Magufuli hao Marais walikuwa hawana...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Yaani kumsema na kuongea ukweli kuhusu imekuwa udini?

    WaTanzania wengi sana wamejengewa fikra kwamba wanapaswa kumuona Nyerere ni kama malaika yaani hapaswi kusemwa wala kukosolewa eti kwamba tukimkosoa basi ni udini na utapata matusi,kejeli na kila Aina ya maneno mabaya je mbona tunamsema Magufuli aliyoyafanya na wengi wenu hamlalamiki? Kwamba...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani? Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kashaingia kwenye 18 za Mfumo wa Udini. Hachomoki

    Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa. Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru. Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatumbukia Rasmi Kwenye Mtego wa Udini

    Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha. Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pambano hili lisichukue mkondo wa udini. Kivyovyote Gwajima atashinda likipelekwa kidinidini

    Tupo tunatazama! Huu mpambano uendeshwe Kwa tahadhari, maana kuna watu wanaanza kuingiza agenda zisizofaa. Gwajima ni mtu anayependa kushindana na kushinda. Kwa kushindana huchukulia kama mchezo. Na bahati nzuri anaumudu. Gwajima ni zile type za kina Trump. Njia pekee ya kuwashinda watu aina...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vikundi vya kuprotect utwala uwa vina undwa na yeye kama ni mkabila aina ya udini

    Leo nafatilia historia ya mtwala wa uganda ambayo kikosi chake kilikuwa kabira lake na alijaza watu wake. Ilipofikia kupinduliwa na jeshi la Tanzania walipofika kijijini kwao wote walikimbia na walikuta kuna mbwa mmoja tu katelekezwa.
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulilenga kudumisha amani na kuondoa udini na ukabila

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya kudumu kati ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mbele ya mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chemba...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM wawe makini vinginevyo wataingiza nchi kwenye udini au machafuko

    tumeona dini mbili kubwa Tanzania wanaonesha kutofautiana na waraka uliotolewabna Maaskofu kadhaa. wazee wa kobazi na wagalilaya wanaweza kuzichapa. na wagalilaya mapema watashinda
Back
Top Bottom