uchumi

  1. Wakati wa awamu ya nne watu walikuwa wakiiba hela inarudishwa katika mzunguko ila safari hii ni ununua magar ya kiahari , hivyo hali ya uchumi kukaza

    Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa. Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k Magari ambayo ni zero kilometers. Na yenye thamani ya Billions of money. Yaani wameamua kutakatisha Pesa...
  2. Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  3. Wafanyabiashara wote wakubwa wanaisapoti CCM, hii haitokei kwa bahati Mbaya ila ni mikakati ya wao kukua zaidi kibiashara

    Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya. Kuna mambo mawili. -Kuweka mazingira sawa ya biashara zao. - kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara. Na mwisho Kupata tenda, kwakuwa inajulikana wazi kuwa tenda za Serikali zinalipa vizuri. Kwahiyo hata wewe...
  4. M

    Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  5. D

    Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  6. Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  7. J

    Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  8. Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  9. Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  10. Uchumi hauniruhusu kuwa na familia

    kauli ya msanii ommy dimpoz yazua gumzo mtandaoni kwamba hayuko tayari kuwa na familia kwasababu za kiuchumi Kwa msanii mkubwa kama ommy dimpoz kutokuwa vizuri kiuchumi naona kama mwanetu anatupanga ivi maana safari za nje ni nyingi sana dubai, U.k , europa , france kote huko Nahisi ommy dimpoz...
  11. M

    Ni Shughuli gani za kuingiza kipato anazoweza kufanya Kijana aliyehitimu chuo kujikwamua kiuchumi??

    Ni Shughuli gani za kuingiza kipato anazoweza kufanya Kijana aliyehitimu chuo kujikwamua kiuchumi??
  12. J

    Uchumi wa Simiyu umefikia shiling trilioni 3.5 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%. Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
  13. R

    GE2025 Mgombea wa Urais UMD Mwajuma Noty Mirambo: Tunaamini katika sera za majimbo, kila mtanzania pale alipo atafurahia uchumi wa eneo lake

    Mgombea wa Urais kupitia chama cha Union for multpart Democracy (UMD) Mwajuma Noty Mirambo Amesema Sera za chama hicho zimejikita katika uchumi wa majimbo ambapo kila mtanzania atafaidika na vitega uchumi pamoja na miradi inayopatikana katika maeneo wanayo ishi wananchi. Mgombea huyo wa urais...
  14. Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  15. Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi. Passive income ni kipato...
  16. Kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka?

    Tunaposema kuwa deni linaongezeka kwa shilingi elfu moja kila siku na hapo hapo tunaambiwa kuwa uchumi unaongezeka je kuna unasaba gani kati kukua kiuchumi ilhali deni laongezeka? Na je ili tuseme uchumi umekuwa nini vielelezo muhimu vinavyoashiria ukuaji wa uchumi na vyapaswa viwe katika...
  17. Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  18. C

    Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  19. C

    PPP kuifikisha Tanzania uchumi wa kati wa juu 2050

    Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Miongoni mwa vichocheo vinavyoweza kuharakisha...
  20. GE2025 Mtume maarufu Nigeria mwenye wafuasi milioni 10 asema Rais Samia atashinda uchaguzi 2025, wanaompinga ndani ya chama wataaibika, uchumi utang'aa

    Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025. Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…