uchumi

  1. JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  2. JamiiForums Tanzania Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Heri Dar (Mkoani) Karibu Dodoma HQ. Serikali Kuifanya Dodoma kuwa Kitovu Kikuu Cha Uchumi wa Nchi

    My Take Sasa Dar inaenda kuwa kama Mombasa na Dom kuwa kama Nairobi. Siku zote anakolala Baba ndiko taulo linatunzwa.Pia soma Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame) | JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  7. JamiiForums Tanzania Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

    Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana na hiyo kitu. Wanauchumi watanielewa. Kila 20000 tumia sh 400 tu
  8. JamiiForums Tanzania Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

    Habari wana jamiiforums!!, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Kwa yeyote anaeamini kuwa anapata au atapata pesa ya halali katika harakati zake hiyo sio kweli, zaidi zaidi utaendelea kuwa maskini wa kutupwa na mtu wa kutumwa tumwa kila iitwapo leo. Hili ni wazo la kifalsafa na kidini ambalo...
  9. JamiiForums Tanzania Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 10 Bora kwa Ukuaji Uchumi Duniani

    Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana na uchumi: Njia za kweli za kujikwamua kiuchumi katika enzi ya gharama kubwa za maisha

    Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka kwa kasi, vijana wengi wamejikuta wakikata tamaa, wakiamini mafanikio ya kiuchumi yanahitaji mtaji mkubwa, connection au bahati ya kipekee. Ukweli ni kwamba uchumi wa mtu hauanzi kwenye kiasi kikubwa cha fedha, unaanzia kwenye fikra...
  12. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  16. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel wazidi kupaa licha ya Vita vyake na Iran

    Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz. Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuingia deal ya mafuta na Uganda Game changer ama risk kwa uchumi?

    Kenya imechukua hatua kubwa baada ya William Ruto kutangaza kuwa nchi itawekeza kwenye refinery ya mafuta ya Uganda yenye thamani ya zaidi ya Ksh.500 billion. Hii si deal ndogo ni move inayoweza kubadilisha mwelekeo wa energy sector Afrika Mashariki. Akiongea katika Africa We Build Summit 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…