Uchumi wa Tanzania

Uchumi wa Tanzania

Anti-tozo

Senior Member
Joined
May 23, 2015
Posts
116
Reaction score
93
Ukisikia uchumi wa hili taifa unakuwa inabidi utafakari na kunywa maji mengi sana maana dah!
Screenshot (222).png
 

Attachments

  • Screenshot (223).png
    Screenshot (223).png
    77.2 KB · Views: 1
Mambo ya kuwaambia wadanganyika hali halisi uchumi wa nchi yao haituhusu.

Kama uchumi umekufa au umeenda kuzimu, mtajua wenyewe.

Sisi kazi yetu ni kuwaambia kile kitu mnachotaka kusikia e.g. uchumi umepanda, tutawaletea maendeleo, maisha bora kwa kila mdanganyika,
hapa kazi tu,
kazi iendelee, baaasi.
 
Back
Top Bottom