uchawi

  1. JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  2. JamiiForums Tanzania Uchawi wa macho. Upo na unaishi

    Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nilicho kula hakitoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila...
  3. JamiiForums Tanzania Je, China imetengeneza jua bandia? Tusahihishe mjadala

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu taarifa kuwa “China imetengeneza jua bandia”. Watu wengi wamedhani hii inamaanisha jua halisi linang’aa angani, linalotoa mwanga na joto kama jua tunaloliona kila siku. Lakini huu ni upotoshaji wa kisayansi unaotakiwa kusahihishwa. Kwa kweli, kile kinachoitwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

    Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie! Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mvua ndio uchawi wa simba, mwarabu atakuwa anateleza tu na kulala. Ili Simba avuke lazima apate magoli mapema

    Mvua inanyesha dar Simba wanafurahia
  6. JamiiForums Tanzania Huu uchawi wa kibongo wakurogana haufai serikali inabidi kuingilia kati.

    Huu uchawi ndo waliutumia kumroga chidi benzi Wakamroga nuhu mziwanda Yaani kila ukipata hela unawaza mitungi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry

    Dini na uchawi ni Simba na Yanga, Mungu na shetani ni Tom and Jerry. mmojawapo akiwa hayupo mwingine nae anakufa. na movie inaisha
  8. JamiiForums Tanzania Uchawi katika nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi wenye nguvu zisizoonekana kama kupaa na ungo ni haupo, ila imani juu ya uchawi ipo kwenye mindset za watu

    UCHAWI NI NINI ? Uchawi ni matumizi ya nguvu za ajabu au zisizoeleweka ili kufanikisha jambo fulani. Mara nyingi, huonekana kama uwezo wa mtu kufanya mambo yasiyo ya kawaida kwa njia za kisiri, kama vile mazingaombwe, hirizi, au ushirikina. MIUJIZA NI NINI ? Miujiza ni matukio ya ajabu na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha uchawi kidigitali

    Katika ufalme mdogo wa kidijitali, watu waligombana mara kwa mara kuhusu nani anamiliki nini. Kulikuwa na vitabu vingi vyenye hadithi tofauti, jambo lililosababisha machafuko na udanganyifu. Siku moja, mvumbuzi mwenye hekima alitengeneza kitabu cha kichawi kinachoitwa Blockchain. Kitabu hiki...
  12. JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma: Mwanamke Aliyekutwa Ofisi za TANESCO Hana Uhusiano na Uchawi, Ana Tatizo la Akili

    Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya Mashuhuda wakisema alianguka na ungo wa kichawi wakati akipita juu ya Ofisi hizo. Soma Pia: Apata...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna uchawi ambao ni hatari japo nasikiaga wa kutumia vinavyo husika mazao na kilimo

    Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao. Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo yatakuwa yakianguka basi ndio mtakavyo anguka kwenu ijalishi ni kifo au mengine wanayotaka. Hii mada...
  14. JamiiForums Tanzania INAARIFIWA: Yanga kwenda Uwanjani 08/03/2025 mechi ilipoahirishwa ni kufuata majini yao na kuondoa uchawi wao.

    Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna nyingine ya kuhamisha uchawi wao mara baada ya bodi ya ligi kutangaza mechi haipo. Sasa wanaingiaje...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania baadhi ya watu wameendekeza imani za kishirikina

    1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi. Pia viongozi na mashabiki wa hizi timu wamekuwa wakiamini ktk ushirikina mpk wameunda kitu kinaitwa "Kamati ya Ufundi". Leo...
  16. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  17. JamiiForums Tanzania Matukio ya Kushangaza Duniani Yanayodaiwa Kusababishwa na Uchawi

    Hebu leo twende huku na kule duniani tuangalie matukio yaliyotokea miaka ya nyuma, yanayoaminika kuwa yalisababishwa na uchawi au nguvu za giza. Baadaye ntakueleza njia za kuwashinda wachawi na mashetani kama umekuwa ukiwaogopa. Uingereza: Poltergeist ni tukio lililotokea Uingereza. Tukio hili...
  18. JamiiForums Tanzania Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

    Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
  19. JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uamini Uchawi upo?

    Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…