uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Leo ni Kama Tufanyapo Uchaguzi, Anayeshinda X Anatangazwa Y. Leo Maandamano Wamealikwa Wengine Wanaandamana Polisi!

    Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu. Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Oktoba 29 inaniumiza sana, nailaani serikali. Hakukuwa na uchaguzi ni Uchafuzi

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia. Akizungumza...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Maswa Mashariki akiri kutoa pesa wakati wa uchaguzi 2025 na kusalitiwa

    Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
  4. JamiiForums Tanzania Sigrada: Wanaosema bunge ni haramu siwapingi, kwasababu ya namna Uchaguzi ulivyoendeshwa

    Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema madai ya kwamba Bunge la sasa ni "Bunge haramu" yanatokana na namna uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa, akieleza kuwa hata yeye na wabunge wengine wa upinzani hukumbana na kauli zinazowaita...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo. Amesema hayo katika mahojiano...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kukamilika hatuwezi kukaa vyama vyote tukaunda serikali pamoja?

    Habari Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili mradi ana uwezo mzuri wa kufanya kazi sio lazima waziri atoke ccm inawezekana akatoka chauma au act...
  8. JamiiForums Tanzania Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

    Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Confirms 2027 Election Date – Uchaguzi Kufanyika Agosti 10

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imetangaza rasmi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika Jumanne, Agosti 10, 2027. Hii ilitangazwa na Commissioner Ann Nderitu, Mwenyekiti wa Kamati ya Operesheni za Uchaguzi, wakati wa uzinduzi wa Election Operations Plan (EOP) 2025–2027. EOP...
  11. JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
  12. JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

    Mpo eeeh Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata Na...
  13. JamiiForums Tanzania CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026. Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani ambalo Lina Tarafa tatu ikiwemo Ismani, Idodi na Pawaga...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  15. T

    JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kujidanganya- maridhiano bila Chadema ni kupoteza muda, chadema walisema no reform no election mkadharau, je uchaguzi ulifanyika?

    CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA. Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
  16. JamiiForums Tanzania Eti kwakuwa Chadema waliamua wao kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 wanalazimisha kila kitu kuwa ni haramu kwao

    Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025. Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi. Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu, Wanataka...
  17. JamiiForums Tanzania UDOM yazindua rasmi kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi (UDOSO 2026/27)

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2026 katika ukumbi wa CIVE Auditorium, amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOSO) katika hafla iliyowakutanisha viongozi wa chuo, Tume ya Uchaguzi, wagombea...
  18. JamiiForums Tanzania Nani aliwalipata vijana walioingia barabarani October 29, 2025 siku ya uchaguzi?

    Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale. Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa? Makundi ya vijana kuratibu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe na kuunganishwa kwenye kesi za Lissu kwa kauli zake zilizochochea vurugu za uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Inapaswa kwa sasa asiwepo Mitaani,inapaswa awe ndani ,inapaswa awe kwenye ulinzi mkali wa Magereza ,inapaswa awe kwenye Mfululizo wa mahojiano na kujibu mashitaka ya kauli zake za kuchochea vurugu wakati wa uchaguzi,anapaswa kuunganishwa katika kesi...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…