uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye majina ya viongozi wa tume ya uchaguzi Tanzania atusaidie kuna tatizo

    Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020? Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president? Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urusi: App ya Navalny yaondolewa Apple na Google Store

    'Smart Voting App' ya Kiongozi wa Upinzani Nchini humo, Alexei Navalny imeondolewa Google na Apple Store katika siku ambayo Wananchi wanaanza kupiga kura kwenye Uchanguzi wa Bunge. Mamlaka zilitishia kuzitoza faini Kampuni hizo ikiwa zitakataa kuiondoa. Uchaguzi utafanyika kwa siku tatu kuanzia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za Uchaguzi wa 2025 zinamng'oa Rais wa CWT kiulaini

    Huyu mama amekuwa na msimamo ambao umemfanya atofautiane na Katibu Mkuu wake Ndugu Seif. Katibu Mkuu wake huyo pamoja na kuwa na kesi ya jinai inayohusu ubadhirifu wa fedha za CWT Mahakamani hajaweza kusimamishwa kazi na ndiye ameendelea kukiongoza Chama kupitia Kamati Tendaji. Amekuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania ECOWAS yatangaza vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Guinea

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6. Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania CCM wanawaza kubaki madarakani, hawawazi Uchaguzi Huru na hawataki Katiba Mpya

    Wasalaam, Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume. Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
  7. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa waongezeka kuelekea Uchaguzi nchini Ujerumani

    Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa. Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Bidhaa 9 zinazoongoza kununuliwa zaidi mitandaoni/online. Fanya uchaguzi sahihi

    Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ushindi wa 2025 uchaguzi mkuu ni lazima - Tunafuta tozo za aina yote kwa mteja

    Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri wa nchi zenye kufukuwa petroli,kiujumla na zaidi ,mafuta yapo Tanzania ,serikali iliyopo na ambayo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Kama hamtaki Katiba mpya kwasasa, basi ruhusuni CCM isimame kwa miguu yake nyakati za uchaguzi

    Hizo organs nilizozitaja hapo juu; Majeshi Vyombo vya usalama Deep state Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo. Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu kufanyika Oktoba 9, 2021

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Uchaguzi Mdogo katika Majimbo ya Konde (Mkoa wa Kaskazini Pemba) na Ushetu (Shinyanga) utafanyika Oktoba 09, 2021 Wagombea watachukua fomu kuanzia 13-19 Septemba, uteuzi utafanyika Septemba 19 na Kampeni zitaanza 20 Septemba hadi 08 Oktoba Jimbo la Konde...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara uchaguzi wa mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (UPU)

    Abidjan, Ivory Coast, Tarehe 26 Agost,2021. TANZANIA YANG’ARA UCHAGUZI WA MABARAZA YA UMOJA WA POSTA DUNIANI(UPU) Tanzania imefanikiwa kupeperusha vema bendera yake kwenye Mkutano Mkuu wa 27 wa Umoja wa Posta Duniani unaoendelea jijini Abidjan, Ivory Coast, baada ya kuibuka kidedea katika...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Ufilipino akubali kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2022

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amekubali kuwa Mgombea Mwenza wa Chama Tawala cha Nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa 2022, hali inayoandaa mazingira kwa Kiongozi huyo kubaki madarakani hata baada ya muda wake kumalizika. Nchini humo ukomo wa muda wa Urais ni muhula mmoja wenye miaka 6, na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameona kasoro pekee Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kuwa ni ujazwaji uliokosewa wa wagombea wa upinzani?

    Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari alizoziita ndogo, zilizofanywa na Tume ya uchaguzi Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Ni mwendo wa kususa.Cuf nao wasusia ripoti ya uchaguzi mkuu 2020.

  17. JamiiForums Tanzania National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

    Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msaada katika uchaguzi wa kozi

    Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community Development 2: Bachelor in Human Resources Management 3: Bachelor in Economics 4: Bachelor in...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mambo yaliyofanya kilichokuwa chama tawala cha Edgar Lungu kuanguka Uchaguzi Mkuu ni haya

    Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…