Wana JF,
Huu uzi ni wa kumbukumbu. Weka hapa mambo yote ya kusikitisha yaliyotokea katika uchaguzi mkuu wa 2020. JF ni sehemu ya kuelimishana na kutunza kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Bila kujali mwelekeo wako kiitikadi, tafadhali weka hapa picha, video, maelezo, ama visa vya mambo...