uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Mikopo ya Asilimia 10% ni haki yenu

    Mtiania wa ubunge Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameendelea na ziara zake za vikao vya ndani ambapo Agosti 16, 2025, alikutana na wanachama pamoja na wadau katika Kata ya Vingunguti, Mtaa wa Kombo. Akizungumza kwenye kikao...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yaahidi kuondoa njaa na magonjwa ya lishe

    Mtiania mwenza wa urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amesema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata lishe bora kupitia mpango wao wa “ubwabwa kwa wote”. Mpango huo, amesema, unalenga kuondoa njaa na kupunguza magonjwa yanayohusiana...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Bungeni Nimefukuzwa Kwa Kutetea Wananchi, wanataka Wabunge Wagonga Meza tu!

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na hata suala la kufungiwa makanisa, na kusisitiza kuwa amedhamiria...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania CCM naona tunaka kutimiza kama yale yaliyotokea kwa Pharao wakati Mungu alipoamua kuwakomboa wana wa Israel

    mropokaji sasa ameanza kuropoka mazito. Hivi tunaamini kwamba hakuwezi kutokea mabadiriko ya kiungozi ambapo wanaotajwa watapoteza kila walichonacho?mabadiriko ya kiungozi yakitokea katika hali ya amani hata wastafu wanakuwa na uhakika wa ulinzi wa mali zao,na uhai wao.sasa kwa anayoyaongea...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Bado ni Tetesi kutokea maeneo ya Bahari Motors Kijitonyama jirani na KKKT Ngoja tuone
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Tumewasamehe Polepole na Gwajima

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika kutetea haki na masilahi ya Watanzania. Sugu ameyasema hayo siku ya Jumatano akizungumza na...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani wa Tanzania umepoteza golden opportunity dhidi ya CCM

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani. Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Obad: Msikubali kusaliti mapambano ya kudai haki kivyovyote vile

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti mapambano ya kudai haki nchini. Akizungumza na JAMBO TV siku ya Jumatano, Obad amedai siku za hivi...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa: Dorothy ni kiongozi mzuri kuliko Mpina

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa: Kila ikifika wakati wa uchaguzi tunachukua watu wa CCM

    Akizungumza na kituo cha East Afrika Redio leo Agosti 20, 2025 Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anaweka wazi kuwa hakubaliani na hii dhana kwamba kila ikifika wakati wa uchaguzi basi wao wanachukua wagombea kutoka chama cha mapinduzi (CCM)...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Iwapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipobadilisha mifumo ya uchaguzi hatutashiriki uchaguzi

    Amani Golugwa ambaye ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA akizungumza na jambo Tv Agosti 19, 2025 amesema kuwa endapo serikali na vyombo vinavyosimamia uchaguzi wasipo badilisha mifumo ya uchaguzi msimamo wao wa kutoshiriki uchaguzi hautabadilika, hii ni kutokana kile walichokiona katika chaguzi za...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo anapinga Mpina Kugombea Urais, ahoji 'Kwanini anavaa T-shirt yenye picha ya Magufuli?

    Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni Binadamu wa kawaida...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, uchawa au kujipendekeza kwa wagombea ndicho chanzo pekee kinachovuruga demokrasia na haki za wapiga kura?

    Wakuu! Tuko kwenye joto la uchaguzi, lakini kuna wimbi la baadhi ya watu mashuhuri kujipendekeza — au kwa lugha nyepesi, uchawa. Tabia hii binafsi siipendi, kwa sababu ina madhara makubwa kwenye mfumo wa uongozi na mustakabali wa taifa letu. Kilicho hatari zaidi ni kwamba hawa “machawa”...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

    Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba. Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani ajenga kiwanda cha bilioni 14

    Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha bilioni kumi na nne kitakachoajiri vijana 400 na kusaidia kutatua changamoto ya ajira. Bw. Musa...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa anaendelea kukabia kooni issue ya Mpina kugombea urais ACT

    Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu? Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Tarimo atandakiwa kanga na Watu wa Kilimanjaro kwenda kuchukua fomu ya uteuzi kugombea udiwani

    Wananchi wa Kata ya Mwika Kusini Jimbo la Vunjo Wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro wamelazimika kutandika kanga, na mgombea udiwani John Tarimo (CCM) kupita juu yake kwa ombi moja la kuhakikisha anawapatia wananchi hao huduma ya maji safi na salama. Wakizungumza Agosti 18, 2025 wakati mgombea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud Said Mgombea Urais AAFP Zanzibar: Nikiwa Rais Vijana watalima bangi na si kuokota Makopo

    Mgombea Urais kupitia chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP) Zanzibar, Said Soud Said amesema akiwa Rais vijana wataweza kujihusisha na kilimo cha bangi ili waweze kupata fedha za kutosha na za kigeni kununua magari, kujenga majumba na kuweza kuoa wake watatu hadi wanne...
  20. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Naona inawezekana Watanzania wote kufanya shughuli zao tarehe 29.10.2025 kutoenda kwenye vituo vya kupiga kura

    Kwasababu serikali yetu siyo sikivu na inaamua nani awe nani asiwe wote kwa pamoja tunaweza kuacha kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29.10.2025 👉Ushahidi upo wazi kama mama alisema magwajina yote hayatakiwi kwenye chama kwa kukemea utekaji iweje atuhamasishe tupigie kura watekaji waendelee...
Back
Top Bottom