uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote

    Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote tunamini katika nguvu kazi ya taifa ni wananchi kuwa na afya njema.
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge 8 ambao wamepita bila kupingwa mpaka Sasa

    Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana. Majina yao ni yafuatayo: 1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa 2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela 3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda 4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki 5. Yohana...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais UDP Saum Hussein: Tukiingia madarakani UDP tutajenga viwanda vikubwa kila mkoa

    Saum Hussein Rashid, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, basi serikali yake itaweka nguvu kwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata malighafi kila mkoa ili kujihimarisha na kujikwamua katika uchumi. Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni yao ilifanyika Kijiji cha Mahaha Mkoani Mwanza
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Dugange: Wananchi endeleeni kuiamini CCM

    Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Wanging’ombe, mkoani Njombe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Festo Dugange, amezindua rasmi kampeni za chama hicho na kuwataka wananchi kushiriki kwa wingi kupiga kura. Akizungumza katika uzinduzi huo, Dk. Dugange aliwahimiza wananchi kuendelea kuiamini CCM...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania INEC yafafanua mchakato pingamizi na rufaa za udiwani

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kuwa kwa mujibu wa kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, baada ya uteuzi kufanyika, wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya uteuzi. Soma pia: INEC yawaita wagombea...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ameir amerudia tena kusema 'kila mzanzibari atapokea 500,000 kila mwezi' wakimchagua kuwa Rais Tanzania visiwani

    Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama Demokrasia Makini, Ameir Hassan Ameir (kushoto), amesema iwapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kupata ridhaa ya wananchi kuwa Rais, kila Mzanzibari atalipwa Sh500,000 kwa mwezi ili kuondoa daraja lililopo la wenye nacho, kwa kuwa wengine...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Nitashinda ubunge kwa 98%, sitaruhusu kuibiwa kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia ACT Wazalendo Cyprian Musiba ameahidi kuzilinda kura zote atakazopigiwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Musiba amesema hayo Agosti 31, 2025 akizungumza na waandishi wa habari wilayani Bunda akiwaomba wananchi kumpigia kura kwa wingi na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, ahadi zinazotolewa na wagombea wa kisiasa wakati wa uchaguzi zinaendana na changamoto na mahitaji?

    Wakuu ==== kampeni zimeanza! Kila mgombea wa urais anaahidi mambo ili kupata ridhaa ya wananchi. Lakini je, ahadi hizi zinaendana na mahitaji halisi ya taifa letu katika karne hii? Kwa mfano, ahadi za ‘ubwabwa hospitalini’, sera za kujua kusoma na kuandika darasa la tatu, na nyinginezo — ni...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Watu wenye akili walio upinzani tutawaleta CCM

    Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani wenye akili ili kushirikiana nao katika kuleta maendeleo nchini. Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 31...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka viwanja vya furahisha Mwanza

    Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwa katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Katika uzinduzi wa kampeni hizo, mgombea Urais wa Jamhuri...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA ikishika dola, itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Afrika

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika. Akizungumza leo katika Viwanja vya...
  12. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalim: Mkinichagua mshahara kima cha chini ni 800,000

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim amesema Serikali yake ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha huduma mbalimbali yakiwemo maboresho ya sera ya habari ili vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi na kuifanya tasnia...
  13. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu: Rais Samia ameimarisha amani, utulivu na haki nchini.

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini. Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Mgonjwa akifika hospitali apewe Ubwabwa

    Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CHAUMMA kwenye uzinduzi wa kampeni.
  15. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA wafurika kusikiliza sera za wagombea wao

    Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 31, 2025. Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaojitokeza kwenye mikutano ya kampeni za CCM wengi wanaonekana kuwa ni wanawake. Hii maana yake nini?

    Wakuu Nimekuwa nikifatilia mikutano ya kampeni ya CCM kwa ukaribu na most of the time wale wahudhuriaji wanakuwa ni wanawake. Ukiangalia live zao Youtube wanaoonekana kuhudhuria kwenye mikutno ni wanawake, sauti zinazosikika kushngilia ni za wanawake na hata picha za social media zinazopostiwa...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  18. toto2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kututembelea Chamwino leo

    Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo. Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi Mungu afya njema, hekima na nguvu katika safari yako ya uchaguzi 2025-2030 Tanzania. Umoja na Maendeleo
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chemba: Hotuba ya Mgombea Urais kupitia CCM Dkt Samia yatikisa, Wananchi walipuka kwa Shangwe

    "Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Chemba, Dodoma.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo, Crown Media na Mwananchi wamechapisha kuwa'RC Mtaka anashirikiana na Denis Ekwabi kuihujumu CCM, Ukabila wahusishwa'

    Wakuu ==== Kuna ukweli wa taarifa hizi?
Back
Top Bottom