uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 KIGWEA: Tulipewa TSH. 20,000 ili tuonekane tumejivua CHAUMMA kutoka CHADEMA

    Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama chao na kujiunga na CHADEMA. Soma pia: Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: CCM inajali utu wa watu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema Watanzania wanapaswa kukichagua chama hicho kwakuwa kinajali utu wa wananchi. Soma pia: Kazi na utu, elewa maana ya “utu” tanzagiza!
  4. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi CCM, hekaheka zote hizi za nini kwenye Self election?

    Hii nchi ina vituko sijawahi kuona. CCM inasumbua watu sana huku matawini. As I speak, Nimeshangaa Nimekutana na wanafunzi wameagizwa wafuate vitambulisho vyao vya kura majumbani, wawapelekee walimu. Nikawauliza nyie mmefikisha miaka 18? wakanyamaza. Nikawauliza tena mlijiandikisha na mkapewa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais (AAFP): Ukifanya Fujo Zanzibar upelekwe Guantanamo

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Mgombea huyo ameutaka Umoja wa mataifa, Jumuiya ya madola SADC...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wenje: Ambao bado wamebaki CHADEMA ni mashujaa

    Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote ambao bado wapo ndani ya chama hicho ni mashujaa. Soma pia: Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa'

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema, "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo...
  8. alexjosephat

    JamiiForums Tanzania GE2025 Komesha ahadi feki kipindi cha kugombea

    Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini? Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
  9. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwl. Mbelwa Petro asema ikiwa Rais Samia hatapata 99.9% ya kura zitakazopigwa Biharamulo oktoba 29 ashitakiwe mahakamani

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro baada ya kuidhinishwa na Halmashauri kuu ya chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025 amesema ikiwa kura za Dkt. Samia Suluhu Hassan hazitafika...
  10. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwl. Mbelwa Petro ateuliwa kuongoza timu ya kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025. Akizungumza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Mwl. Mbelwa Petro alisema...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole,Sauti ya Wananchi na Gwajima ndio wanazuia kupatikana muafaka wa kitaifa

    Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi. Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka. Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani. Kukosekana kwa washindani...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuitoa CCM Madarakani, hivyo AAFP itakubali kumpa ushirikiano Dk. Hussein

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Pia Said Soud amewaambia ACT WAZALENDO hawana nuwezo wa kuitoa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso aeleza sababu za kujiunga CCM ambazo ni pamoja na kuvutiwa na sera pamoja na siasa za maridhiano

    Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ameeleza sababu za kujiunga na chama hicho ambazo ni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

    Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na...
  15. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoshiriki Uchaguzi: Faida ya Usalama kwa Wagombea na Wanachama

    Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama kuliko kama wangeshiriki. Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kuzinduliwa kampeni hatujasikia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Mwanza Wawakumbusha Mgambo Kuheshimu Sheria Kipindi cha Kampeni na Uchaguzi

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na kuelekea siku ya tarehe 29 ya mwezi wa kumi ambapo itakuwa siku ya kupiga kura ya kuchagua Madiwani...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde apigilia msumari kwamba akiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia

    “Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tatizo la umeme kumalizwa kabisa mkoani Songwe

    Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, amesema moja kati ya dhamira na kipaumbele chake ni kujenga barabara za kiwango cha lami katika wilaya zote ili kuziunganisha na makao makuu ya mikoa yote nchi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiwaangalia Wagombea Urais wa JMT kupitia Vyama vya Upinzani utagundua Vyama hivyo havina Watu kabisa

    Fikiria kwa mfano CUF kutoka kwa Prof Lipumba hadi huyu mgombea wa sasa bwana Gambo Inasikitisha mno
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yavitaka Vyombo vya Habari kuomba vibali vya kuripoti Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Chombo cha Habari...
Back
Top Bottom