Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu.
"Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni Rais aliyeletwa na Mwenyezi Mungu akieleza kuwa hilo linathibitishwa na namna alivyofanya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 anafikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa...
"Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri."
"Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
Mwanamuziki wa Gospel kutoka Ambwene Mwasongwe ametokea hadharani na kuwaomba radhi watu wote walio chukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika jukwaa la siasa.
Ambwene ameomba radhi na amefafanua kwa mgombea aliyekwenda kumuunga mkono ni jamaa yake wa siku nyingi na alimualika katika ufunguzi...
Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Kigamboni za Mwanajukwaa mkongwe Yericko Nyerere yamepamba moto tayari ameachia wimbo wa Kigamboni na sera zake,
Wimbo👇
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea Dar es Salaam kupitia CHAUMMA Ndugu Agnesta Kaiza amsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Mamilioni kwa ajili ya kuwakopesha Wanawake na Vijana wote Nchini bila riba.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho.
Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuhakikisha wanapita kwenye daraja la Nyerere (maarufu kama Daraja la Kigamboni) hawalipi fedha yoyote endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Ameyasema hayo Septemba 06, 2025 akiwa katika...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
BABA WA TAIFA ALITUFANYA TUWE WAJANJA, SIO WAJINGA
Mgombe urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha viwanda vya kuchakata mazao yanayolimwa nchini hasa mkoani Arusha kunakotoka Vitunguu, na...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amezindua rasmi kampeni za ubunge na udiwani kwa chama hicho katika mkoa mzima wa Kigoma.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Zitto amesisitiza dhamira yake ya kupigania haki za kiraia kwa wazawa wa Kigoma.
Mbali...
Wiki moja imepita tangu pazia la kampeni za urais na ubunge kufunguliwa rasmi Agosti 28, 2025, lakini chama cha NCCR-Mageuzi hakijaonekana kuanza mikutano yake ya kampeni.
Katika ratiba ya kampeni za wagombea urais iliyotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), chama hicho licha ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Isihaka Mchinjita, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akitokea kwenye Uzinduzi wa Kampeni ambayo imezinduliwa leo katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mpilili.
Kukamatwa kwa Mchinjita kumeambatana wasaidizi wake wa chama hicho huku mabomu ya machozi...
"Leo nimerudi tena kwenu kwa ajili ya kuwaomba mnitume niende nikakamilishe kazi ambayo niliianza mwaka 2015 ikakayishwa mwaka 2020 tulifanya Kazi kubwa sana tulijenga heshima ya mji wetu tulijenga heshima ya mkoa wetu, tuliibua miradi mingi sana ambayo inakwenda kubadilisha uchumi wa mji wetu"...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa kuendelee kuiongoza Zanzibar.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro aliyemaliza muda wake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Njau, amefika katika Jimbo la Hai na kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo lililopo mkoani Kilimanjaro, akiwaomba kura za mgombea urais, ubunge na madiwani wa CCM.
Njau ametumia...
RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025 ameendelea kuonesha uongozi thabiti na dira ya maendeleo alipohutubia maelfu ya wananchi wa Makambako...
Mgombea urais kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, akiendelea na kampeni zake mkoani Morogoro, amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini wanaoingilia masuala ya kisiasa badala ya kusimamia majukumu yao ya kiroho na kuhubiri neno la Mungu
Akihutubia...
Wazee wa Mbarali wamesema wanaimani na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kumpa tena ridhaa ya kumchagua na kuiongoza Tanzania;
Kwani alipotoka ni pagumu na akaweza hivyo wana kila sababu ya kumuombea afya njema ili afanye zaidi ya aliyofanya kwa...