uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Nakyoto atoa wito wa Amani na Utulivu kipindi cha Uchaguzi

    Kabila la Wamwela kutoka wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi likiongozwa na kiongozi wa Kabila hilo Chifu Ismail Malibiche Nakotyo leo Septemba 18, 2025 limefanya ibada maalum ya kuombea taifa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu. Akizungumza wakati wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama kuna watu walizoea kutajirika, waambie Makonda anaingia kazini Oktoba 29

    Naona jamaa ameshajihakikishia nafasi mapema, hadi ameanza kupiga mikwara watu mapema ================= Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema yuko tayari kupambana na mafisadi wote wanaowaonea wananchi wanyonge. “Kama kuna watu walizoea...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Mchinga watu walizuiwa kuchukua fomu za ubunge, ili Salma Kikwete apite bila kupigwa. Ukweli wote huu hapa!

    Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana. Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka huu 2025 katika jimbo la Mchinga apite bila kupigwa kwenye kura za maoni na ndicho kilichotokea. Soma...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 asubuhi na mapema, FFU, Polisi, Magereza watakuwa wamesambaa mitaani wakifanya usafi, hayo maandamano yanaanzaje ?

    Oktoba 27 na 28 barabarani na mitaani kutakuwa na mazoezi ya utayari kuanzia FFU, Polisi, Magereza hadi JW. huku wakiimba chenja, wengine wamebeba zana, nyuma kuna malori ya maji ya kuwasha, halafu kuna gari ya matangazo inapiga playback "mtapata taabu sana" kwenye mahojiano kama kawaida...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Oktoba 29 Tokeni kapigeni kura hakuna jambo baya litatokea

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni leo Septemba 18, 2025 katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema kuwa nchi yetu Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya Ulinzi na Usalama na kuwataka wananchi kuondoa hofu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Ahadi ya CCM Miaka 5 ijayo ni kudumisha Demokrasia, Utawala Bora na kujenga Taifa linalojitegemea

    Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ nitaanzisha mfuko maalumu ambao nitauwekea Shilingi bilioni 1 watu watakopa bila riba

    Haya unayayasema Bw Zitto yakawe kweli pindi utakapo chaguliwa. Lakini hiyo bilioni 1 mpaka utafute misaada mhhh! mbona naona zoezi hili litaishia njiani? ========================== "Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ lazima kuwe na mbadala, na mbadala huo ni kuanzisha mfuko maalumu ambao...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama 7 wa CHADEMA wajiunga CCM

    Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?! Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga bana😂🤣🤣 ========= Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC)...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Padre Mwabena: Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika

    Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi. Pia...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu kuandamana

    Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Soma...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kesi ya uhaini ya Lissu ni ya uongo, haipaswi kuwa Mahakamani, amfananisha Lissu na Messi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii Kesi haisitahili kuwepo Mahakamani kwa sababu ni Kesi ya Uongo".
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shingo: Ukonga nichagueni niondee michango batili na kusimamia haki

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo, amesema uteuzi wake si wa bahati mbaya bali ni dhamira ya chama chake kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi wa Ukonga zinapatiwa ufumbuzi. Akizungumza Septemba 15, 2025 katika uzinduzi wa kampeni...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Vijana wanahudhuria kampeni kwa sera kweli, au ni kwa zawadi na burudani?

    Nimefuatilia mikutano kadhaa ya kampeni na nimeona kundi kubwa la vijana wakishiriki kikamilifu kuwasikiliza wagombea. Uwepo wao unaibua mjadala mkubwa kuhusu nafasi ya vijana katika siasa na mchango wao katika mustakabali wa taifa. Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kushiriki kwao katika...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mlezi wa Kata ya Kandawe, Dkt Stergomena Tax azindua Kampeni za CCM Kata ya Kandawe

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Kata ya Kandawe Wilaya ya Magu, tarehe 17 Septemba 2025, amezindua Kampeni za Uchaguzi katika Kata hiyo ambapo amemnadi na kumkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Udiwani wa Kata ya Kandawe ndugu Lucas Bomoa na viongozi wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sadifa Hamisi: Samia na Dkt. Mwinyi wanafaa kuendelea Miaka isiyopungua 20 huo ndio ukweli

    Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi ampa ujumbe mzito Zitto "tukiwapa kura msibadilike kama wenzenu, muwe wazalendo"

    Bora huyu mwanamama kasema ukweli mtupu! Maana hawa wanasiasa mida hii wanajua kuzisaka kura kweli kwa njia ila wakizipata wanatokemea kabisa hadi miaka 5 ipite. ================ "sisi hatupendi wawe karibu yetu wanapokuja kuomba kura hata wanapokuwa huko tuwaone tunahitaji mkiwa huko mtuone sio...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Katika watu wabaya Siasa za nchini ni Prof. Lipumba, ni mtu wa system na dalali wa CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani yeye ndio aliyechangia kudumaza Chama cha wananchi CUF.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir: Tumeshuhudia ongezeko la ajira chini ya uongozi wa Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi

    Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ameir, ambaye pia ni mgombea Ubunge Makunduchi, amesema, "Tumeshuhudia ongezeko la ajira kwa vijana katika sekta tofauti, hasa kwenye sekta ya uchumi wa bluu. Pia, tumeshuhudia mapinduzi ya uchumi wa watu, hasa kwa mtu mmoja mmoja."
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge CHAUMMA Amnadi diwani Act -Wazalendo Same

    Mgombea ubunge Same Magharibi Mkoa wa Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Gervas Mgonja, ametumia mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 17,2025 katika uwanja wa Cooperative, kumnadi mgombea udiwani wa Mhezi jimboni humo kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anthony...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

    CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho. ---- Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
Back
Top Bottom