Vituko na vibwanga vya wanasiasa vinazidi kuendelea. Huyu mbunge wa viti maalum akiwa na wanachama wengine wameonyesha ushamba na uchawa wa pro max katika kuomba kura.
Nipo pale mbele naendelea kushuhudia vituko vya karne
===============
Katika kipindi hiki cha kampeni za Urais, Ubunge na...
Kura zinatafutwa haswa jamani!
====================
Mgombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Shayo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba akiwa na wagombea udiwani wa kata za Kunduchi, Kawe, Bunju na Mbezi Juu.
Shayo na timu yake leo Jumamosi Septemba 20...
"Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono...
Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu.
=======================
“Wenzetu wanayolalamikia hakuna...
Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu zozote wala chochote na kuwataka wananchi waende kupiga kura siku ya uchaguzi na kurudi Nyumbani.
Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima watakuwa kwenye vituo vya kupigia kura na barabarani nchi nzima kwa idadi hiyo ?
Sasa inamaana wananchi watawaogopa askari wawili watatu barabarani au kuruhusu mmoja wao apigwe au kukamatwa, kumbuka maandamano sio kosa la jinai...
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewasihi wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaotaka katika uchaguzi mkuu. Makonda ametoa rai hiyo leo Jumamosi Septemba 20, 2026 alipokuwa akizungumza baada ya kushiriki ibada ya maombi...
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
Wakuu
Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.
Makonda ameeleza...
Hizi ni baadhi ya picha za watu ambao wameshaweka bayana kuwa wataingia road kukiamsha. Huko Tiktok kimeshanuka balaa, watu wanaonesha msimamo wa ajabu sana.
Kama nawaona maafisa usalama wanavyowatazama na kujiandaa kwenda kutoa roho za watu ili kutetea masilahi ya viongozi.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, ndugu Faris Buruhani ameendelea kuwanadi wagombea wa udiwani na ubunge kwenye kata na majimbo mbalimbali ya mkoa wa Kagera, huku akiendelea kusisitiza na kuwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kuwachagua wagombea wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi, ili...
Mgombea ubunge Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema kuwa endapo wakazi wa mtaa wa Amani kata ya Liwiti watamchagua kuwa Mbunge, atahakikisha kwa kushirikiana na Diwani wa kata hiyo kupitia chama hicho, watashughulikia changamoto zinazowakabili...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele jana Septemba 19, 2025 alitembelea Halmashauri ya Jiji la Mbeya katika Majimbo ya Uchaguzi ya Mbeya Mjini na Uyole na kupokea taarifa ya mkoa kutoka kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia ACT Wazalendo, Glory Tausi ameeleza kuwa No reforms No Election ya Mbowe ilikuwa na mlango wa kutokea kuelekea kwenye Uchaguzi, na anaamini wangeshinda na kutangazwa lakini No Reforms No election ya pili (ya Lissu) imekuja na nginjanginya ingawa bado...
Simulizi ya Luhaga Mpina imebaki kama moja ya hadithi za kisiasa yenye kusisimua zaidi katika historia ya uchaguzi wa Tanzania. Fikiria Kutoka kwenye kura 92.3% za uteuzi ndani ya chama chake, kisha kuwekewa pingamizi mara ya kwanza na kulishinda kwa kesi mahakamani, kisha kuangukia pua kwa mara...
Jana 19.09.2025 kulikuwa na kampeni za Urais mjini Sumbawanga. Mgombea Urais kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bw. Ambari Khamis akiambatana na Mgombea mwenza wake Dr Evelyna walitarajwa kufanya kampeni za nguvu Kuomba kura za Wana Sumbawanga.
Lakini walichokikuta siyo walichotarajia na hivyo Mgombea...
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha wanasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.
Mbunge wa Viti Maalum mstaafu kupitia CHADEMA, Felista Njau, ameendelea na mbinu yake ya kampeni kwa kuingia moja kwa moja sokoni badala ya mikutano ya hadhara, akiwahimiza wananchi kumpa kura ya urais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao wa Oktoba 29.
Akiwa katika Soko la Kiboriloni...
Vijana wa kiume tuhamine Zenji tukaoe wake wengi :cool::D:D
============================
Mgombea Urais kwa tiketi ya NRA Zanzibar, Khamis Faki Mgau ameahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja pamoja na kuwalipa mshahara ili waweze kujikimu kimaisha.
Mgombea Urais wa Muungano kupitia CHAUMMA, Salum Mwalimu akizungumza Kasulu mkoani Kigoma amesema kuwa pamoja na Tanzania kujaaliwa rasilimali nyingi za asili bado Serikali iliyopo madarakani imeshindwa kubadilisha hali za wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.