Mgombea Udiwani kata ya Bunju Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Shabiri Akbal amezindua Kampeni za kuomba kura leo Septemba 19, 2025 katika viwanja vya Dovya.
Shabir amewaahidi wakazi wa Bunju maendeleo ikiwemo kuwapa mikopo Wananchi, kujenga Hospitali na Zahanati, kujenga...
Wanu mbona kama anajitetea sana! Ety anazijuwa shida maana urais wenyewe ni wameupata jana tu
===============
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amesema yeye anazifahamu changamoto zinazowakabili wananchi kwani kuwa mtoto wa...
Sera za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Salum Mwalim Akiwa Nyakanazi, Biharamulo mkoani Kagera, wakati akielekea mkoani Kigoma, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo.
Amesema, endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha...
Kabila la Wamwera kutoka wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi limefanya ibada maalum ya kuombea taifa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu
Akizungumza wakati wa ibada hiyo ya maombi, Kiongozi wa jadi wa Wamwela, Chief Nakyoto Ismail Hassan Malibiche...
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado amevifikia vijiji 40 vya Jimbo hilo kupitia kampeni yake ya Kijiji kwa Kijiji ambayo sasa imefikia siku ya 12 tangu uzinduzi wa kampeni yake tarehe 7 Septemba 2025
Katika kampeni zake amewahaidi...
Paschal Mayala ameipongeza Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuweka usawa kwa vyama vyote vinashiriki Uchaguzi Mkuu 2025.
Pia soma GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo kupitia mkutano wa hadhara
Katika mkutano huo Faris alionyesha masikitiko yake kwa...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewaahidi wananchi mkoani Kagera na maeneo mengine ya mipakani kuwa, kikipata ridhaa ya kuongoza dola, kitahakikisha hakuna raia anayebughudhiwa au kunyanyaswa kwa sababu ya uraia.
Chama hicho kimesema kitaunda Serikali itakayothamini rasilimali watu kwa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jimbo la Mbeya Mjini yawaweka kitanzini madiwani kumi wa chama cha Mapinduzi (CCM) ambao kwenye Kata zao hawana wapinzani, kwa kutotangazwa washindi endapo hawatapata Kura za kutosha kulingana na idadi ya wapiga kura.
Hayo yamebainishwa na msimamizi wa...
Msanii wa Vichekesho Oscar Nyerere amewahimiza Watanzania Kuilinda Amani ya nchi hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu akisisitiza kupuuzwa kwa wanaharakati wanaochochea kuwepo kwa Vurugu.
Akizugumza na Wanahabari katika Uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM Jimbo la Ikungi...
Mgombea Udiwani katika Kata ya Kinyerezi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, John Ryoba Mrema (Wahenga aluminium) amesema endapo atachaguliwa kuwa diwani katika hiyo hatakuwa tayari kuona maturubai katika kipindi cha mvua kwenye bàadhi ya mitaa ikiwemo Mtaa wa Kanga.
Wahenga ametoa kauli hiyo...
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed anaisistiza kwamba suala la kuandamana sio mawazo ya Watanzania walio wengi bali ni baadhi ya watu.
Jawadu Amesisitiza Hilo Kufuatia Vuguvugu la Baadhi ya Wanasiasa na Wanaharakati wa Haki za Binaadamu Wanaoishi Ndani na Nje ya Nchi...
1. Naam... Sababu kubwa ni Siasa kwa maana ya siasa kuelekea uchaguzi, huku ikikolezwa na mafahari wawili wakimataifa wasioweza kukaa katika zizi moja.
Hao mafahari wananguvu na wanaingilia hadi mambo nyeti ni wakongwe katika gemu ya siasa mithili ya kungwi/somo ambaye ana mingle katika ndoa ya...
Chama cha ACT WAZALENDO kimeahirisha mkutano wake wa kampeni za ubunge katika jimbo la kigoma mjini chini ya mgombea ZITTO KABWE, uliopangwa kufanyika siku ya jana september 18 mwaka 2025 katika maeneo ya meti sokoni katika jimbo la kigoma mjini.
Licha ya maandalizi ya mkutano huo kukamilika...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya kisiasa kwa njia ya mtandao, akizungumza kwa uwazi kuhusu masuala ya demokrasia, haki za binadamu, na mustakabali wa vyama vya upinzani nchini Tanzania.
Akizungumza kwa njia ya mtandao leo Septemba 19...
wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha.
Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha.
Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
Tukubali kuwa mfumo wa vyama vingi uchaguzi huu umeonesha kufeli na kwamba wanatuchezea akili kwa sababu kila ninakopita mabango ninayoyaona ni ya CCM tu kwanzia mgombea wa Urais, wabunge hadi madiwani. Hivi tuna uhakika kweli kama hivi vyama vingine viko tayari kushiriki uchaguzi au...
Mtendaji wa kata katika ya Mwandege, jimbo la mkuranga Mkoa wa Pwani, Ally Mkawa na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Luguruni B katika kijiji cha lugwadu, Shukuru Mkumba Wameingia katika tuhuma za kumshawishi na kumtisha Mgombea wa Chama cha Act Wazalendo katika kata hiyo Ramadhani Lugome kujitoa...
Ni wakati sasa viongozi wa dini waoneshe ujasiri wa kweli kwa kuandaa matembezi ya amani yenye lengo mahsusi la kukemea vitendo vya utekaji, ukatili na uonevu vinavyowakumba raia wasio na hatia. Sio haya matukio yao wakitoka wanapewa posho ✊
=================
Kamati Ya Amani na Viongozi Wa Dini...
Bi mkubwa anaendelea kutupangilia. Mimi nipo siti ya mbele kupata hizo fursa za kupata vipato
====================
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya chama hicho ikipata tena ridhaa ya kuongoza dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.