uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji akiomba kwenye kampeni asema 'Yanayotabiriwa mitandaoni yawe ya kweli au si ya kweli, Tumuachie Mungu'

    "Kama kuna wakati ambao tunamhitaji Mungu kuliko wakati mwingine katika nchi yetu ni sasa, kila mmoja anajua, awe amesoma, awe hajasoma, awe ni kiongozi au siyo kiongozi...yanayoendelea katika mitandao tunayaona, Mungu pekee ndiye anayeweza kulisaidia taifa la Tanzania sasa hivi", - Mch...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye Vurugu na Fujo akidai kuwa Amani yetu ndiyo Maendeleo yetu.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akemea Siasa za Udini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo, amekemea vikali siasa za udini katika kuomba ridhaa kwa wananchi, akisema kuwa siasa za aina hiyo hazina tija katika maendeleo ya jamii. Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Biteko: Tufanye toba ya kweli kupata Amani

    Baada ya hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia mkesha...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kujenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa Pemba

    Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akipata ridhaa ya kupewa Miaka Mitano zaidi atahakikisha anajenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa katika visiwa vya Pemba ili kufungua zaidi kisiwa hicho kiuchumi na kuongeza watalii ambapo uwanja huo utaruhusu ndege kubwa kabisa kutua katika...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mimi ni Mpemba mwenzenu, nimekuja kuomba Kura

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kutokuwa tayari kufanya vitendo vya kujipendekeza 'uchawa' bungeni ili apendelewe, badala yake ataendelea kupigania haki za wananchi wake kwa nguvu zote, ikibidi hata kwa kufoka. Amesema hayo Septemba...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Glory Tausi: G55 tulitoa mawazo mazuri CHADEMA, lakini yalipuuzwa

    Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Nitatatua changamoto ya usafiri wa mwendokasi Kimara

    Huyu naye kama alikuwa hayupo Dar hivi miaka yote hiyo, leo hii ndio aseme atatatua changamoto ya mwendokasi Kwamba siku zote alikuwa wapi? Uongo mwingine ni wakishamba sana. Analipambania tumbo lake tu hapo hakuna lolote ==================== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Manara: Nitamfikia kila mpiga kura wa Kata ya Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ameahidi kuwafikia wapiga kura wote wa kata hiyo ili kuwaomba kura, akisisitiza kuwa bado ana nguvu na ari ya kufanya kazi hiyo kikamilifu. Soma Pia: Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, nachokozwa sana ila sichokozeki

    Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo ==================== “Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu; nikichokozwa msichokozeki. Niwaombe sana mtunze amani na utulivu. Tumejipanga vyema, kwa hiyo hakutakuwa na pepe wala...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni kisa polisi kuingilia na kukuta gari iliyobandikwa picha ya Rais Samia

    Hiki ni kituko au ni bwebwe kuonyesha nao wanamsimamo mkali? Yani picha tu ndio uharishe mkutano, vipi gharama za kuandaa huo mkutano, vipi watu walifika? Kwani kulikuwa na shida gani kuondoa gari hilo =============== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashe: Serikali kujenga kiwanda kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amesema serikali inajenga kiwanda kikubwa cha kuchakata zao la Tumbaku mkoani Tabora, huku maandalizi yakiendelea kwa ujenzi wa kiwanda kingine cha kuzalisha mbolea ya zao hilo, ikiwa ni mkakati wa kuongeza uzalishaji na ubora wa Tumbaku ya Tanzania kwenye...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Mboni Mhita: Shinyanga ipo salama kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Oktoba 29 mwaka huu, mkuu wa mkoa wa Shinyanga ameahidi uwepo wa usalama kwa kila mtu kwenda kutimiza haki yake ya kupiga kura kwa uhuru na amani..
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moza: Tunalipa kodi ya serikali asilimia 18%, kwahiyo hatuna sababu wanawake kulipia magharama ya kujifungua hospitali

    "hii inawezekanaje? tunalipa kodi ya serikali kila kitu unachokwenda kununua unalipa asilimia 18% hatuna sababu wanawake kulipia magharama ya kujifungua hospitali" amesema Moza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijani!

    Hivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo? Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii😝😝 Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma agalagala barabarani kuziomba kura za Rais Samia

    Vituko na vibwanga vya wanasiasa vinazidi kuendelea. Huyu mbunge wa viti maalum akiwa na wanachama wengine wameonyesha ushamba na uchawa wa pro max katika kuomba kura. Nipo pale mbele naendelea kushuhudia vituko vya karne =============== Katika kipindi hiki cha kampeni za Urais, Ubunge na...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Glory Tausi apita nyumba kwa nyumba, biashara kwa biashara kuzitafuta kura jimbo la Kawe

    Kura zinatafutwa haswa jamani! ==================== Mgombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Shayo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba akiwa na wagombea udiwani wa kata za Kunduchi, Kawe, Bunju na Mbezi Juu. Shayo na timu yake leo Jumamosi Septemba 20...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele

    "Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono...
Back
Top Bottom