uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutanunua drones 5 za kufukuzia Wanyama waharibifu

    Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani (Drones) tano ambazo zitasaidia zoezi la kufukuza wanyama waharibifu wanaovamia makazi na kuharibu mazao...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge ACT-Wazalendo, Hamad Hashimu, ahamia CCM

    Mgombea wa ACT-Wazalendo Jimbo la Nanyumbu, Hamad Hashimu ametangaza rasmi kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa CCM, Nanyumbu mkoani Mtwara.
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkituchagua tutakamilisha vituo vya Afya Nakapanya

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Septemba 23, 2025, ameendelea na kampeni zake katika eneo la Nakapanya, mkoani Ruvuma. Akizungumza kwenye mkutano uliohudhuriwa na wananchi, Dkt. Samia alisema endapo...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pemba: Vijana wanunuliwa na CCM kwa boflo na maji ya kunywa! Ama kweli ujinga unatutesa sana!

    Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda mpaka kufikia ukombozi kamili. Sasa hivi nimeanza kuelewa kwanini Mwalimu Julius Nyerere alikuwa anapambana sana Watanzania tuondokane na ujinga. Ona leo hii kinachoendelea, kijana wa Kitanzania mwenye akili timamu ananunuliwa kwa boflo tano na maji na...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Liwaka na wananchi wapiga simu kwa mgombea urais CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Nachingwea kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Fadhili ametuma ujumbe kwa Samia Suluhu Hassan mgombea Urais CCM kumuonyesha jinsi Wananchi wa Kata ya Namapwia wanavyomkubali na wapo tayari kupiga kura katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi October. Una maoni gani?
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Nyasa: Tunamkubali Rais Samia kwa Makubwa aliyotufanyia, Oktoba Tunatiki

    Wakazi wa Mbamba Bay Wilaya ya Nyasa wameeleza namna ambavyo Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweza kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa wananchi katika kipindi cha uongozi wake ikiwemo uduma za kijamii kama Maji, umeme pamoja na...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Upinzani umeshindwa kuonesha nguvu katika Kampeni

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025. Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shaban Mikongoti awaahidi mikopo ya asilimia 10 kwa vijana wa Mwendakulima, Kahama

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Mwendakulima, iliyopo katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaban Mikongoti, amewaahidi vijana wa kata hiyo kunufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kwa makundi ya vijana, wanawake na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenista Mhagama: Ruvuma hatuna mba mba mba, tutampa Samia Kura kwa Kishindo

    Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunaahidi na kutekeleza tofauti na vyama vingine

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema tofauti na vyama vingine vya siasa, CCM ndicho chama pekee chenye rekodi ya kutekeleza ahadi zake na kueleza wazi namna ya utekelezaji wake. Akihutubia maelfu ya wananchi mjini...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z: Oktoba 29 hawa wazee watatueleza imekuaje kuaje hadi nchi imeuzwa

    Wakuu tuliwekaje hili jambo kwanza kwa hawa wazee ambao walikuwa wanatazama tu nchi ikiwa inapigwa mnada? Tupite nao tu au tuwasamehe sisi tukomae na hayo mabeberu na hawa wazee wa ufafanuzi?
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Aahidi kutatua changamoto ya Ardhi

    Mgombea ubunge Kwa tiketi ya chama Cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameahidi Kutatua changamoto ya ardhi inayowakabili wananchi wengi iwapo atachaguliwa. Soma Pia: GE2025 - Zitto azindua Kampeni Kigoma Mjini aahidi kupigania haki za kiraia
  13. Criss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mara ya kwanza tarehe 29 Oktoba nitashiriki maandamano

    Mimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musa: Nitatoa ajira kwa vijana wa Mbarali

    Katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa kata ya Lugelele, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Mgombea Udiwani wa Kata hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ameahidi kutoa ajira kwa vijana wa kata hiyo endapo atapewa idhini ya kuwa Diwani. Musa ametaja ajira kwa...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: ACT kukosa Mgombea Katibu Mkuu ajiuzulu

    Kada wa chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa, Suleiman Bungara amemtaka katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ajiuzulu nafasi yake katika chama kama baada ya chama hicho kukosa mgombea wa Urais kwa kwa vipindi viwili mfululkizo ambapo yeye mwenye ameita ni...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Mnakuja kutuomba Kura, Dioniz Kipanya ametekwa, wewe Waziri Mkuu mstaafu ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote

    Mwananchi mmoja amembana Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, akidai kwamba wameenda kuomba Kura, huku Mtanzania mwenzeo Dioniz Kipanya ametekwa, na yeye kama Waziri Mkuu mstaafu ambaye ni mkazi wa Rukwa hujawahi kusema chochote.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu aenda kuzisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji kwa Baiskeli

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba, ameendelea na maigizo yao CCM kwa wananchi baada ya kupaki V8 yake na kutumia baiskeli kwenye kampeni, akizisaka Kura za CCM kitongoji kwa kitongoji. Sijui hawa Watu huwa wanawachukuliaje Wananchi Aise!
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Songea: Uchaguzi upo na Oktoba Tunatiki kwa Samia

    Baadhi ya wananchi wa Mji wa Songea Mkoa wa Ruvuma wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 uchaguzi wa Rais, wabunge pamoja na madiwani Wengi wao wameonyesha kumkubali Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan wakieleza yale...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haji Manara: Tuombee Mvua isinyeshe Oktoba 29, 2025 wasipate sababu, tukamchague Rais Samia

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Uchaguzi Mkuu nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Nitaisuka upya Kigamboni, Barabara za Lami na kufuta Tozo za Daraja na Vivuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko Nyerere ameahidi kuibadilisha Kigamboni kwa kuhakikisha barabara zote kuu zinawekwa lami. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, Yericko amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshindwa kukamilisha mradi wa...
Back
Top Bottom