uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upande wa Jamhuri walalamikia taarifa za Upotoshaji kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama. Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?

    Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika uwanja wa Veta Songea Mkoani Ruvuma Kwaajili ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo ikiwa ni muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kundo: Rais Samia ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli, amebeba matamanio ya Watanzania, kwa miaka mitano ameongea kwa vitendo

    Septemba 21, 2025 Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na makada wa chama hicho wakiongozwa na mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi mjini, Kundo Andrew Methew wamefanya maandamano ya amani kwa lengo la kuhamasisha wananchi kumchagua rais Samia Suluhu hassan kutokana na utekelezaji wa...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika Mahakamani Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu akiwa na T-shirt yenye ujumbe wa Biblia kuhusu Haki

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo ameonekana katika Ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam akihudhuria Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Kilichovutia macho ya wengi ni mavazi yake, ambapo Mnyika alivaa fulana...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Hati ya Mashtaka

    Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Tundu Lissu kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka pamoja na maelezo ya mashahidi ambayo yanadaiwa kuandikwa kinyume cha sheria. Lissu alidai hati hiyo pamoja na viambatanisho vyake, ikiwemo maelezo ya mashahidi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda Mbinga: Tunadaiwa na Rais Samia

    Kwani hivi vikundi huwa vinalipwa kuja kumsifia Samia au ni kwa matakwa yao binafsi wamependezwa n utendaji kazi wake maana utasikia bodaboda wanamkubali mama, Mama ntilie wanamkubali mama mara Fundi ujenzi nao wanamkubali mama Kwa hali hii naona ni watu wa Daslam ndo wanawaza kuandamana ila...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msukuma: Kocha akifanya vizuri anaongezwa mkataba, Tabasamu amefanya makubwa, mpeni Kura za Heshima

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku 'Msukuma' amesema wananchi wa Sengerema wanapaswa kumpa kura za heshima mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Tabasamu kutokana na mambo mengi makubwa ya kimaendeleo aliyowafanyia. Msukuma amesema kocha anapofanya...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Mchagueni Samia. Yuko tayari kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania. Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yasisitiza kuwa Act- Wazalendo hawana mgombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima imeeleza hivi: “Katika tovuti rasmi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT -Wazalendo)...
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025

    Hali ilivyo kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22.2025. Ambapo Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena Mahakamani hapo leo. Mahakama kupitia jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia awashona Midomo waliosema ameuza Bandari. Uwekezaji wake wazaa Matunda kwa kupokea Meli yenye uwezo wa kubeba Magari Elfu 9 kwa mpigo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele. Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Mchagueni Dkt. Samia yupo tayari kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania. Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani. Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADC aahidi kila halmashauri kuwa na magari ya kisasa ya kuchimbia visima vya maji

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema serikali ya ADC itahakikisha kila halmashauri nchini inakuwa na magari ya kisasa ya kuchimba visima vya maji, ili kumaliza kabisa tatizo la maji safi na salama...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunasikiliza malalamiko ya watu na tunayafanya Kazi

    Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwa ikiwa Chama hicho kitapewa ridhaa Oktoba, 29, 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, zitaendelea kushirikiana pamoja katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: Hakuna kususia Uchaguzi, tukapige na kuzilinda Kura

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia mgombea urais huyo ameitaka Tume huru ya uchaguzi kutenda haki na usawa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaniki: Mkinichagua nitashughulikia Mgambo kuwakamata Bodaboda na Kero ya michango Shuleni kwa wazazi

    Mgombea Udiwani Kata ya Zingiziwa Jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Selemani Kaniki ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa elimu kwa Jeshi la akiba (Mgambo) kufuata taratibu za kisheria katika ukamatamaji wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda huko...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kina Mama wagalagala chini wakimpokea Samia Mbinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Judith Kappinga, ameongoza akina mama wa Kabila la Wamatengo kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa njia ya kiutamaduni iliyohusisha wimbo maalum na kugalagala chini kama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarimba anasikitika Wananchi wake kukosa Maji, kama hakuwa Mbunge akijinadi kusimamia Uwajibikaji Kinondoni

    Mgombea wa ubunge jimbo la Kinondoni Jijini Dar es asalaam kupitia chama cha mapinduzi CCM Abbas Tarimba amezindua rasmi kampeni za siasa kuelekea uchaguzi mkuu akijinadi kusimamia uwajibikaji endapo atapewa ridhaa ya kuongoza jimbo kwa muhula mwingine. Katika mkutano wake wa hadhara ulifanyika...
Back
Top Bottom