CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa.
"Watu wameng'ang'ania maofisi, vijana wenye elimu wanahangaika, CCK tukiingia madarakani ni kuwaondoa hao na kuwapa nafasi...
“Watoto wetu wengi hawaendi mbali kielimu, wanasalia njiani. Nimejipanga kubadilisha hili. Elimu lazima iwe bora na ya kuvutia ili watoto wamalize shule,” amesema Khadija.
Akizungumza na mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Kibaha Picha ya Ndege, Halmashauri ya...
"alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi alikaa mezani na vyama vya siasa alihakikisha shughuli za kisiasa zinaendelea kwa sababu anatambua umuhimu wa shughuli za kisiasa tukizingatia nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia" ameongeza Paresso
Hayo...
Ukiangalia kwa makini ,wagombea wa nafasi za urais ambao angalau angalau wanasikika tena kwa mbali sana ni Luhaga Mpina na Salum Mwalimu.
Mpina amepigwa pini kugombea, na mwanachama mwenzake pia (Zito) amemnadi Samia apewe nafasi ya urais.
Tukija kwa Salum Mwalimu yeye anagombea ili mradi ku...
"Chama chetu mnamo Agosti 06, kiliteua mgombea Urais na Mgombea Mwenza ndugu Luhaga Mpina na Mama Farma Ferej lakini Kwa sababu wanamuogopa sana mgombea wetu wakaanza kuweka vizingiti kumzuia mgombea wetu"
Hayo yamesemwa leo Septemba 22, 2025 na Zitto Kabwe Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...
Kipindi cha nyuma Lissu hakuwa na wafuasi wengi kama ilivyo hivi sasa ,ndio maana hata alipogombea urais 2020/2025 dhidi ya Magufuli alibwaga kirahisi tu kulinganisha na Magufuli dhidi ya Lowasa 2015/2020.
Na mpaka kufikia mwanzoni mwa mwaka huu bado hakuwa na kundi kubwa kiasi hicho kuanzia...
CCM wanaendelea na mambo ya upako bhana siyo tu Makonda aliyelia na kutoa wapiga kura wake mapepo Wengine wanaombewa kutokuwa mafisadi
-----------
Padre Sixbet Kiondo amefanya maombi maalumu ya kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Moris Makoi, pamoja na...
"Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Shirika la Chakula na Kilimo (NAFCO) limetoa hekari 3,000 kutoka katika mashamba yake kwa ajili ya Wakulima wa Namtumbo mkoani Ruvuma ili kuendeleza shughuli...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dtk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Serikali itajenga soko kubwa la Kinyasini lenye miundombinu ya kisasa kwa ajili ya wafanyabiashara na wakulima.
Dkt. Mwinyi mesema kuwa ujenzi wa soko hilo utaleta ajira...
Nikiwa mwanafunzi Shule ya Msingi adhabu kubwa tuliyokuwa tukipewa kama wapiga kelele ilikuwa kupiga magoti kwenye kokoto alafu ni kwenye jua, nilidhani ni kwa sababu sisi ni watoto ndo maana tunapewa adhabu hiyo ila leo katika umri huu wa utu uzima naona ndugu zake Lucas Mwashambwa wanasujudu...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, akizungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu ambako inaendelea kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema amesikia kuwa wapo watu waliomfuata Lissu na kumwambia akubali kuachiliwa huru kwa sharti la kuondoka...
Wakili Deogratias Mahinyila aliye upande wa jopo la Mawakili wa Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema mapingamizi yaliyowekwa na Lissu yametupiliwa mbali, kesi ya msingi ikaendelea ndipo...
Akizungumza na Wakili tv kwa njia ya mtandao rais wa Tanganyika Law society TLS Wakili Mwabukusi amesema kuwa kitendo cha jeshi la polisi kuzingira ofisi za cha hicho wamelichukulia kwa uzito mkubwa huku akiikumbusha jeshi la polisi kuwa TLS ipo kwa mujibu wa sheria.
Pia Soma: GE2025 - Ofisi ya...
Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikisisitiza kuwa kuwa Luhaga Mpina sio mgombea urais wa.Jamhuri ya Muungano kwa kuwa alienguliwa, chama cha ACT Wazalendo kimesema bado Mpina ni mgombea wao mpaka kesi mbili zilizofunguliwa ziamuliwe.
Mpina alienguliwa Septemba 15, 2025 baada ya INEC...
Jeshi la polisi Mkoa wa Kagera, limesema haliko tayari kuruhusu baadhi ya watu wasiopenda amani kuruvuga uchaguzi mkuu, na kuwaonya wenye nia hiyo kuacha mara moja, kwani watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Pia Soma: GE2025 - Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya...
James Mbowe mgombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA apiga kampeni za kuwania ubunge akiwa amevalia sare za chama chake cha zamani cha Chadema, ikumbukwe kuwa James Mbowe alikuwa mwanachama wa chama hicho kabla ya kuhamia CHAUMMA
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujengwa kwa reli ya kisasa yenye urefu wa takribani kilomita 1,000 itakayoanzia Mtwara hadi Mbamba Bay, mkoani Ruvuma.
Akihutubia mkutano wa kampeni leo Septemba 22, 2025 mjini Songea, Samia amesema reli...
Mratibu wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mikoa ya Kanda ya Kati, Dk Bashiru Ally, amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
Akizungumza Septemba 21, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Parking, Nzega Mjini, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.