GE2025 Mgombea urais NRA ashindwa kunadi sera Zanzibar

GE2025 Mgombea urais NRA ashindwa kunadi sera Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,152
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan ameshindwa kufanya mkutano wa kampeni kwa muda baada ya maafisa wa polisi kufika eneo lake la mkutano na kumtaka ashuke katika gari alilokuwa akilitumia kuzungumza na wananchi.

Hata hivyo mgombea mwenzake kwa nafasi ya Urais kwa Zanzibar Khamisi Faki Mgau alifanikiwa kunadi sera za chama hicho.

Pia Soma: GE2025 - NRA Zanzibar yaahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja
 
Sababu mboni hujazieleza sababu ni nini kaenda kinyume na script aliyopewa au?
 
Sababu mboni hujazieleza sababu ni nini kaenda kinyume na script aliyopewa au?
 
Back
Top Bottom