uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa Chama cha Democratic Party (DP) Zanzibar asimamishwa uanachama kwa kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi

    Chama cha Democratic Party (DP) kimemsimamisha uachamaa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Peter Agaton Magwira pamoja na wanachama wengine saba kwa tuhuma za kumuunga mkono mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Alhaji Dk. Husein Ally Mwinyi. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fataki zapigwa Arusha Mjini katika maandalizi ya kumpokea Rais Samia

    Gharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi? Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Binafsi mimi siwezi kutoka kwenda kusikiliza Mgombea yoyote yule

    Mimi binafsi siwezi kutoka kwenda kusikiliza Mgombea yoyote yule. Naona hakuna jipya wanaloweza kunieleza nikawaelewa. Miaka yote ya uhuru matatizo ni yale yale ambayo yameshidwa kutatulika. Kama tu nchi yenye watu milion 65 tumeshidwa kuendesha mradi tu mdogo wa mwendo kasi. Hapo naweza...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester: Msikubali kutumika chagueni viongozi wa kuwatumikia na sio kuwatumikisha ninyi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana kupitia chama cha ACT Wazalendo, Ester Thomas amewataka wananchi wasikubali kutumika na wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi na badala yake siku ya uchaguzi wachague viongozi watakaokwenda kuwatumikia. "Msikubali kuambiwa mmebadilishiwa mgombea ili hali...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 UDP kugawa nusu mshahara wa rais kwa wananchi, umeme na maji bure

    Chama cha Siasa cha UDP (United Democratic Party) kimeahidi mageuzi makubwa ya kiuchumi na kiutawala, ikiwemo kutoa asilimia 50 ya mshahara wa Rais moja kwa moja kwa wananchi kwa ajili ya kutekeleza shughuli za maendeleo. Ahadi hiyo ya kufurahisha, pamoja na ile ya kutoa umeme na maji bure kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wagombea urais na ubunge wanatuonaje watanzania?

    Hivi hawa watu wanagombea nafasi mbali mbali za kisiasa wanatuonaje. Mmoja kasema akipata urais vijana wataruhusiwa kulima bhangi, mwingine kasema kila mtanzania atapewa simu janja na vocha bure, mwingine atamleta mcheza cinema maarufu Arusha, mwingine anasema vitanda vya sita kwa sita itakua...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unaiba hela zetu tunawauliza "kwanini wewe mnaiba hela zetu", mnaanza kujitetea

    Mnatuonaga sisi ni mafala sana sio? Unaiba hela zetu tunawauliza "kwanini wewe mnaiba hela zetu", mnaanza kujitetea "Nyie mmetumwa na UPINZANI, mnataka kuondoa AMANI nchini, hamuwezi" Okay sawa
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo, ila akini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo

    “Toka nimeingia Mtwara kila jimbo nasikia watu wanashukuru kwa maendeleo. Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo kwa sababu wameshazoea. Lakini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo tena makubwa. Hatuwezi kuyapuuza,” amesema Dkt. Samia. Amesisitiza...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Lengo letu ni kwamba ifikapo miaka mitano ijayo kila Mtanzania awe karibu na maji safi na salama

    Hadi leo bado tunapiga porojo za sera za maji? 🤔 Hii ni aibu kweli! Nchi nyingine wanasonga mbele na teknolojia za kisasa, sisi bado tunajadili kama maji yatamiminika kwenye bomba au kwenye ndoo. Kwa kweli safari yetu ni ndefu kuliko hata msafara wa ngamia jangwani! 🐪 ================= “Lengo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Bilioni 726 zimetumika kwaajili ya mbolea, na pembejeo

    Mgombea Urais wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan amesema tangu kuanza kwa mpango wa serikali wa kutoa ruzuku za mbolea pamoja na pembejezo za Kilimo mwaka 2021/22, serikali imetumia takribani Sh. Bilioni 726 kwaajili ya kunufaisha wakulima wa Tanzania. Akiomba kura kwa mamia ya wananchi wa Mtwara...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wenyewe wataamua Mgombea udiwani awajibu wanaodai hajafanya chochote

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Muhaji Bushako, amejibu tuhuma za baadhi ya watu waliodai kwamba hajafanya lolote muhimu kwa maendeleo ya kata hiyo. Akizungumza mbele ya mgeni rasmi, Mgombea Ubunge wa Buchosa Eric Shigongo, Bushako alisema kwamba alipoanza kazi yake kama diwani alikuta...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya siasa Zanzibar vyasitisha kampeni kuomboleza kifo cha Abbas

    Baadhi ya vyama vya siasa visiwani Zanzibar vimesitisha mikutano yake ya kampeni kufuatia kifo cha mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abass Ali Mwinyi, kilichotokea jana. Miongoni mwa vyama vilivyositisha shughuli zake ni CCM pamoja na Chama cha ACT Wazalendo...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA aahidi kujenga Bongo technology city

    Mgombea urais kupitia Chama cha ADA TADEA, George Bussungu, amesema iwapo atachaguliwa, serikali yake itajenga mji maalum wa teknolojia unaoitwa Bongo Technological City, ambapo vijana wenye vipaji kutoka mikoa yote watapelekwa kwenda kuvumbua na kuendeleza miradi mbalimbali ya kiteknolojia...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unafiki unaendelea, Shigongo amepiga magoti anaomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini. Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi hadi leo wagombea bado tu wanatatua kero ya maji tutapiga hatua sehemu nyingine kweli?

    Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Manara: Wamiliki wa Malori fuateni Sheria, bora mtunyime Kura lakini Malori yatoke Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo. ‎ ‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikipewa nchi, napiga marufuku kampuni zote zinazoleta kausha damu kwa wananchi

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu. Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
Back
Top Bottom