uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Nchimbi: CCM tutaongeza upatikanaji wa ruzuku ya mbolea vijijini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza ruzuku ya mbolea kwa wakulima, ikiwa ni mkakati wa kuongeza tija ya kilimo, kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha ya wakulima hususan wa maeneo ya vijijini mkoani Iringa. Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, Hakuna anayetudai

    Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan. Shigongo amewaambia...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais AAFP asisitiza 'Sina mzaha kufuga mamba ikulu' Mafisadi Dawa yao ni kuwafanya chakula cha mamba

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema dhamira yake ya kufuga mamba Ikulu kwa ajili ya kuwala mafisadi si mzaha, bali ni mkakati mahsusi wa kupambana na ufisadi nchini. Mwiru amesema wapo waliodhani kauli hiyo ni masihara ya kisiasa au porojo za kampeni...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea udiwani Isevya: Mwaifunga alikuwa mbunge wa low profile sasa anaibuka juu

    Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora ambaye kwa sasa ni Mgombe wa nafasi ya udiwani Kata ya Isevya kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ramadhani Kapela amezindua rasmi kampeni ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa kata hiyo Akizungumza na kumuombea kura Rais na Mgombea Ubunge Jimbo la...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30. Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Karimu Chipola: Rais Samia ameboresha maisha yetu

    "Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM kwa kazi kubwa aliyoifanya hasa kugusa maisha ya wakulima na kutukwamua kiuchumi. Ni Rais pekee ndani ya kipindi cha miaka minne na Nusu ameweza kutugusa sisi kwa kuboresha maisha yetu. Aliweza kufanya uthubutu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

    Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi. Huwezi kuahidi wananchi kuwa...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haran Sanga: Nitamaliza kero za nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji. Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yaahirisha uchaguzi Fuoni, sababu ni kifo cha mgombea Abbas Mwinyi

    Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi pale itakapopanga tarehe nyingine ya uteuzi wa wagombea. Abbas ambaye ni kaka mkubwa wa Rais wa Zanzibar...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CCM amshutumu Mpinzani kwa kuwa na Wanawake wengi na Watoto kila mahali kwenye Kampeni

    Mgombea Udiwani katika Kata ya Mvumi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Hassan Mkopi baada ya kuwasilisha sera zake kwa Wananchi ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo ya jamii, ametumia jukwaa hilo kumshutumu mpinzani wake akisema hana maadili ya uongozi kwa kuwa na...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kazi ya miaka 4 ya Rais Samia ni sawa na miaka 40

    Wakizungumza leo Septemba 25, 2025 wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika mjini Lindi, baadhi ya wanawake wakazi wa Mkoa huo wamesema maendeleo yaliyopatikana katik kipindi cha Miaka minne (04) ya uongozi wa Dkt. Samia yangeweza...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Jamaa aliniuliza maisha yangu baada ya uchaguzi yatakuwaje, nikamwambia hakuna uchaguzi hii ni kiini macho tu

    Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof Kitila: Pesa za mfuko wa jimbo za kwanza nitawakumbuka mabondia wa Mabibo

    Kitila aliitembelea mitaa mbalimbali ya kata hiyo kunadi sera, kueleza aliyotekeleza, kusema atakayofanya akishinda, kusikiliza changamoto na kutoa majibu ya suluhu zake. Katika kuendelea na kampeni hizo Kitila alikutana na mabondia ambao pia ni wafanyabiashara katika soko la Ndizi Mabibo na...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mihayo: Kila chombo cha habari kuwa kiungo cha ukweli, siyo propaganda, hasa katika kipindi cha mitazamo tofauti

    Vyombo vya habari nchini vimeaswa kusimamia ukweli na kuepuka propaganda kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, katika kipindi ambacho jamii ina mitazamo, sera na itikadi mbalimbali. Wito huo umetolewa leo Septemba 25, 2025 jijini Dar es Salaam na Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, aliyewahi kuwa Rais wa nne...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Tulia: CCM ndio wenye ahadi za kweli zinazotekelezeka

    Ujanja mwingi sana hakuna lolote hapo! Kila uchaguzi ajenda ni madawati oh matundu ya choo, tokeki hapa na sera za kishamba kila uchaguzi! ================== Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Uyole amesema kwa miaka mitano tangu 2020 mpaka 2025 Serikali imefanya...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 ADC: Tutaongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar

    Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimezindua rasmi kampeni zake hii leo, ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kuimarisha mfumo wa uvuvi ili kuongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar. Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia, wananchi hawakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM

    Polepole: Wananchi awakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM na wahanga ni Tanzania nzima Nikusihi usirudie tena kuwatisha waTanzania kwa dhamana waliyokupa.
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Madiwani acheni kutafua Uenyekiti na Umeya kabla ya uchaguzi kuisha "Siwatishi"

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaonya baadhi ya wagombea udiwani katika maeneo mbalimbali ambao wameanza harakati za kusaka uenyekiti wa halmashauri na umeya, kabla ya uchaguzi. "Kwa madiwani ninawaomba sana sio hapa Mkinga, hapa sijaambiwa lakini huko...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
Back
Top Bottom