uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Sitaki kuahidi vitu ambavyo ni ngumu kutekelezeka

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema “Sisi hatutaki kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki ndio na kama vibanda hivyo havitajengwa basi nikija tena mnifukuze” Pia Soma: Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona kama wameanza kuogopa kuhusu oktoba 29?

    Wakuu ukiiskiliza hii video kwa makini ni kama wameanza kuogopa kuhusu kutoka oktoba Walidhani wananchi tunatania, sasa hivi kila anapoenda kusoma risala lazima agusie kuhusu oktoba tunatoka. Wakuu tukazie hapohapo hadi kufika 29 oktoba tutakua tumeelewana tu Soma pia: Haji Manara: Hii nchi...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais SAU: Serikali yangu itatoa vifaa bure kwa walemavu

    Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi serikali yake itatoa vifaa bure kwa walemavu wa aina zote ili viwasaidia katika maisha. Soma > Mgombea urais SAU aahidi ajira milion 10 kwa watanzania Akizungumza na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, Polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa

    Kizungumza kupitia Clouds TV, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa.”
  5. Criss

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Kikwete ni dharau kubwa sana kwa Taifa

    Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla . Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko Pwani inadhihirisha siyo tu ameshindwa kuheshimu thamani ya demokrasia na vilio vya watu waliyonyimwa...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Hatukukurupuka kumpitisha Samia kuwa mgombea urais

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema kuwa katika vikao vyake CCM haikukurupuka kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali walijiridhisha kuwa mgombea huyo anatosha...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Pangani wasafisha barabara kumshukuru Samia kwa mradi kutekelezwa

    Wakuu Huko Pangani Wananchi wamesafisha barabara kumshukuru Samia kwa mradi kutekelezwa wakisema Oktoba ''Tunatiki'' na Mgombea hana deni kwao
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zainabu: Rais Samia amedumisha Amani na Nchi ina maendeleo

    Mgombea Ubunge wa Viti maalumu akiwakilisha kundi la Vijana Zainabu Abdallah amesema kuwa watanzania wanataka vitu viwili pekee ambavyo ni Amani na Maendeleo na Kueleza kuwa Dkt. Samia ameweza kudumisha Amani nchini na Nchi Ina maendeleo hivyo kuwataka wananchi Oktoba 29 kwenda kupiga Kura.
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pangani: Aliyesema Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na kutangaza, ataka wanaoshawishi maandamano kupuuzwa

    Nape Nnauye, amempongeza Mgombea Urais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa kwa kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita amethibitisha kuwa na utu pamoja na uwezo wa kipekee wa kuongoza taifa. Akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo, Jumatatu Septemba 29...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Juma Aweso aomba bandari ya mifugo Pangani

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso amemuomba Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapopata Ridhaa ya kuongoza Tena Serikali awajengee Wakazi wa Pangani Bandari ya Mifugo Awesome ameyasema hayo Leo Sept 29,2025...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wafugaji waahidi kumchagua Samia Oktoba 29, 2025

    Wafugaji waliojitokeza kusikiliza mkutano wa Kampeni za mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan wamesema watamchagua kwa kuwa amelisaidia kundi hilo kwa kuwapatia ruzuku bure ya dawa na utekelezaji wa mpango wa kujenga majosho katika vijiji vyote vilivyo na wafugaji.
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shetta: Tuilinde amani yetu kwa wivu Mkubwa Kwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 tukachague viongozi bora kutoka CCM

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea Udiwani kata ya Mchikichi Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Bilal Juma (Shetta) ameandika: "Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu zangu watanzania ! Kwa kujitokeza kwa wingi tarehe 29 oktoba tukapige kura kwa amani tukawachague...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amedai kuwa Kampeni za uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 zimejaa hoja; "Nimeshuhudia kampeni za miaka mingi lakini kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi lakini mazingira yamebadilika watu wana Smart phone na bahati mbaya hizi (simu)...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa ADC Shaban Itutu: Kauli ya Rais Mstaafu Kikwete ya 'Pumba na Mchele' inakejeli Upinzani na kuumiza Demokrasia, ajitokeze aombe radhi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu, amemtaka Rais mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuomba radhi kwa umma wa Watanzania kutokana na kauli yake kuhusu ushindi wa CCM katika uchaguzi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Msando: Tundu Lissu anajitetea mwenyewe, Je, Mahinyila alikamatwa pale kama Wakili au Mwenyekiti wa BAVICHA?

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza suala la Wakili Mahinyila kukamatwa katika eneo la Mahakama “Sote tunajua kuwa Tundu Lissu anajitetea mwenyewe mahakamani, lazima...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo atakayoyafanya Agnesta Kaiza ndani ya siku 100 akiwa mbunge Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema akichaguliwa kuwa mbunge ndani ya siku mia moja atahakikisha wakinamama wa jimbo hilo wanapata mikopo ili kuwainua kiuchumi. Agnesta ametoa ahadi hiyo alipokuwa akiongea na wakazi wa kata ya...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani vyama vingine havifanyi kampeni mikoani? Au ndio wamechukua hela za ruzuku na kutia mfukoni?

    Wakuu, nimekuwa na safari ya wiki zima nikikatiza mikoa kadhaa na kwa namna upepo wa sasa ulivyo nilitegemea mambo yamechangamka huko lakini ajabu ni kwamba kila mkoa nilioingia nimekuta mabango ya CCM yamechafua kila mahali na kampeni zao ndizo zinaoendelea. Kuanzia Njombe, Iringa hadi...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vigogo CCM wapita 'chocho' kwa 'chocho' kusaka kura

    MGOMBEA nafasi ya udiwani wa Kata ya Mbweni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulkadir Mgheni, ameendelea na kampeni zake leo akishirikiana na vigogo wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida, na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi Mkoa, Shyrose...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Watu mtandaoni wanajizima data au sijui hamnazo? Tanzania kuna maendeleo hadi vjijini

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema; "Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini kwetu. Mimi natokea Bukoba Vijijini kuna kijiji kinaitwa Nyanga. "Nina ndugu zangu wapo kijiji...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Nikipata urais Zanzibar vikosi vya SMZ vitafanya kazi ya kulima minazi na mikarafuu

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party, Said Soud, ameendelea na kampeni zake huku akiahidi kwamba vikosi vya SMZ vitashirikishwa katika kilimo cha nazi na karafuu ili kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa Zanzibar. Pia Soma: GE2025 - Said Soud Said...
Back
Top Bottom