uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mhagama: Nitashangaa mkienda kuwapigia kura wapinzani

    Wakuu, Huyu anazungumzia wapinzani gani? Kwa maana mimi kwenye uchaguzi huu sioni upinzani wowote Mgombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista Mhagama amesema atawashangaa wananchi wa jimbo la Peramiho wakatao wapigia kura vyama vya upinzani huku...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake

    Kada wa ACT Wazalendo Selemani Bungala (Bwege) anaeleza kuwa Mpina alipojiunga ACT yalitokea makundi mawili kwa kuwa Dorothy ndiye aliyepaswa kuwa mgombea kuna watu wakasema Dorthy atolewa na kuna watu walisema abaki lakini mwisho wa siku wakamtoa. "Walimtoa, yeye si alikuwa anakataa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Wanasema mkubwa hajambi, nchi hii ukitaka kupata taabu kosoa wakubwa

    Wakuu Bwege anasema Nchi hii, ukitaka kupata taabu, kosoa wakubwa. Wanachotaka ni ujikombe kwao; jambo zuri uwapigie makofi, baya pigie makofi. Ameyasema hayo wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi Tv. "Wanasema mkubwa hajambi, sisi wengine hatuamini tunaamini mkubwa anajamba na anapojamba...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amshinikiza Zitto kujibu tuhuma za CCM, adai kufukuzwa baada ya uchaguzi wa Oktoba

    Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Seleman Bungura maarufu kama Bwege, akizungumza na kituo cha Mwanahalisi TV leo Septemba 28, 2025, amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujitokeza na kujibu tuhuma zinazodai kuwa yeye ni sehemu ya "CCM B"...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Kigoma ina wasomi wengi lakini Bodaboda

    Madereva bodaboda wanaofanya shughuli zao katika eneo la Ujiji, Kigoma, wamelalamikia changamoto ya mikataba inayowakabili, ikiwemo kulazimika kurejesha Sh10,000 kila siku kwa muda wa miezi 18, hali inayokuwa ngumu zaidi wanapopata ajali na kushindwa kuendelea na kazi. Wakizungumza na mgombea...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Vituo vya afya vilivyojengwa chini Rais Samia ni kama hospitali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kwa miaka minne ya uongozi wake, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanikisha mambo makubwa, hivyo Watanzania wanapaswa kumrudisha madarakani ili aendelee kuleta maendeleo. Wasira amesema hayo leo, Septemba 27, 2025...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini wahimizwa kuelimisha matumizi ya mitandao ya kijamii

    Viongozi wa dini wametakiwa kuendelea kuelimisha na kusisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii hasa kwa vijana ili kuhakikisha inatumiwa katika maslahi ya maendeleo ya Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa jeshi la Polisi David Misime wakati wa Mkutano Mkuu wa 54 wa Jumuiya ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Kigoma kufanya uchunguzi tuhuma za vitambulisho vya kupiga kura kukusanywa na baadhi ya viongozi wa siasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limethibitisha linafanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazowahusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaodaiwa kupita mitaani katika Jimbo la Kigoma Kaskazini na kuwalaghai wananchi kukusanya na kuandika namba za vitambulisho vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadogosa awapokea Wanachama 35 Kutoka CHADEMA, UDP, CHAUMMA na ACT-Wazalendo

    Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa amewapokea wanachama kutoka vyama mbalimbali vya upinzani ambao wamejiunga na CCM wakati akinadi sera zake katika Kata ya Sapiwi Wanachama hao wanatoka Chadema, ACT- Wazalendo, UDP pamoja na CHAUMMA...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CUF awaonya wanaohamasisha Maandamano Oktoba 29, 2025

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Gombo, amewatahadharisha wale wanaohamasisha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisema nia yao ni kuichafua Tanzania huku wao wakiwa salama nchi za nje Gombo ametoa kauli hiyo leo, Jumamosi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Rais Samia amejenga Madarasa ambayo yana Vioo na Tiles

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Salum Hapi, amesema ukizungumzia yale ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan katika afya ni mengi sana na kwenye elimu ambapo imejenga shule mbalimbali za msingi na Sekondari. Akizungumza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Serikali Itabeba Gharama Matibabu ya Figo, Moyo, Kisukari na Cancer ndani ya siku 100 za Uongozi wa CCM

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote, changamoto zote zilizopo sasa kuhusiana na bima ikiwemo baadhi ya Maradhi kutotibiwa kwa Bima zitatatuliwa na bima hiyo itaweza kulipiamatibabu kwa magonjwa yote makubwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni nchi ya Pili kwa Afrika Mashariki kwenye Kupambana na Rushwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, jambo linalothibitishwa na takwimu za kimataifa. Akizungumza katika Jukwaa la Cafetalk lililofanyika Jumamosi, Prof. Kitila amesema...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Siku 100 za Rais Samia Zitamaliza Changamoto za Bima ya Afya

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, leo Septemba 27 katika mahojiano ya Cafe Talk Jijini Dar es salaam, akijibu swali lililoulizwa na Mwaandishi wa Habari Charles William, amesema utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote utasaidia kuondoa changamoto...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: CCM Watueleze wamefanya nini Miaka Mitano

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Samia rudi darasani bado matumizi ya maneno "UTU" na " Uzalendo" huyajui

    Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI. Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi anunua Tiketi zote Mechi ya Mlandege vs ETH. Insurance

    Katika kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) kati ya Mlandege FC ya Zanzibar na Insurance FC ya Ethiopia, unaotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi katika Uwanja wa New Amaan Complex kuanzia saa 10:15 jioni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Tanga waahidi kuwalinda waandishi wa habari wakati wa uchaguzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limesema litaendelea kushirikiana na waandishi wa habari,ikiwemo kuangalia usalama wao wanapokuwa kazini hasa kwa muda huu wa uchaguzi. Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi kwenye mdahalo wa ulinzi na usalama kwa waandishi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana JKT wahimizwa kutoa elimu ya Matumizi bora ya Mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

    Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na taifa kwa ujumla. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Operesheni Okoa Nishati safi, Mgeni rasmi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani CCM Kata ya Vibaoni, Marry Chambuya awaahidi wananchi kupata Stendi na Barabara za Mitaa

    Mgombea udiwani kata ya Vibaoni halmashauri ya Mji Handeni mkoani Tanga Marry Chambuya amewaahidi wananchi wa eneo hilo endapo watampa ridhaa ya kuwa diwani wao kwa kumchagua,atasimamia kupatikana kwa kituo cha mabasi jambo ambalo ni moja ya changamoto yao Akizungumza kwenye mkutano wake...
Back
Top Bottom