Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika sana kuhubiri amani na ushirikiano kati ya waumini na viongozi wa kisiasa. “Nafasi yetu kubwa ni...
Gari analotumia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA Salum Mwalim, limepigwa jiwe kwenye kioo cha nyuma na Mtu asiyejulikana muda mfupi baada ya kumshusha Mgombea huyo Hotelini Mafinga, Mkoani Iringa.
Mkuu wa msafara huo, John Mrema amesema tukio hilo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa.
Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na...
Mgombea Ubunge jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Khadija Rungwe amesema wakaazi wa jimbo hilo wanahitaji maendeleo ya elimu, afya, ajira na miundombinu.
Amesema wanahitaji kuichagua Chaumma ili kupata maendeleo hayo hivyo waachane na Chama cha Mapinduzi CCM...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika historia ya Taifa letu na tangia kuanza kwa mfumo wa Vyama vingi hapa Nchini. Rais wetu Mpendwa na Mama yetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakuwa Mgombea wa kwanza Mwenye Mvuto na shawishi Mkubwa sana kwa wapiga kura.
Ni...
Siyo siri, kuna watu wana roho ngumu, si mchezo!
Kipi si kweli katika makala hiyo?
Yanatokea Tanzania leo haya?
Kwamba ni kwa uchu tu wa madaraka? Looh!
Tukiwashangaa kina M7 na wenzao, kumbe hao walikuwa cha mtoto!
======
Tanzania: Deepening Repression Threatens Elections
Stop Wrongful...
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Sikonge, Felix Lyata amesema kama uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutegemee kuiona Tanzania iliyo gawika kwasababu itatokea kundi la watu litasema huyu ni Rais wetu, mbunge wetu kwa sababu tulimchagua sisi na wengine watasema huyu hatukumchagua sisi kila mtu...
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na...
Vita ya siasa inazidi kuwa tamu huko jimbo la Kigoma Mjini
=======================
Kutoka vijiweni hii ni baadhi ya mijadala ambayo inaendelea kujadiliwa na wananchi wa jimbo la kigoma mjini, kwa kupembua uwezo wa wahombea wao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Katika mjadala huu amesikika...
Vitisho vinaendelea! Ila nao wabongo wanaendelea kuzoom kusubiri siku ifike tuone kitachotokea
==============
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha usalama na utulivu vinaimarishwa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Jimbo la Kinondoni lina nafasi kubwa ya kuleta mageuzi ya kimaendeleo endapo litaongozwa na Kiongozi mwenye maono ya kweli, na kudai kuwa kwa sasa maeneo mengi yameuzwa ikiwemo Viwanja vya Biafra na ameahidi ACT ikishinda...
Ni kichaa, Mtu asiye na elimu, mjinga ma mbinafsi (hapa nawazungumzia wale wanaoonjeshwa asali au wanaonufaika na mfumo kisa ndugu zao wapo kwenye system pasipo kufikiria maslahi mapana ya taifa), Watu hawa pekee ndiyo wanaoweza kupoteza muda kwenda kupiga kura, Lakini hata kwa mtoto wa kidato...
Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana
Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga!
=================
Mchungaji Nyuki amejitokeza kuwa miongoni mwa wachungaji waliotoa mchango wao wa kipekee kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Yani Kila siku unasikia kuna hili mara lile huko alipo Paul Makonda! Hadi sasa bila shaka kuna pesa nyingi zimetumika katika kuyafanya hayo maandalizi ya kumpokea Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu.
Yani kila nikiangali uupuzi unaoendelea kufanyika hasira za kinyaru zinazidi kupanda kwa hawa...
Harakati za ahadi zisizo wezekana kutekelezeka zinazidi kuongezeka kwa CCM!
Ila wasituone Watanzania ni wajinga tunarekodi vyote na muda ukifika watakipata wanachostaili
Mimi nipo siti ya mbele nasubiri muda ufike
===================
Mgombea mwenza wa urais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi...
Wakuu! Namuonea sana huruma Samia na hizi ahaadi zake! Naona anavyoendelea kujichimbia shimo refu sana kwa wananchi.
Na sioni kama atafanikiwa kutekeleza hata kwa asilimia 20. Mimi nipo siti ya mbele nasubiri kuona :cool:
==================
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Sote tunafahamu kuwa Taifa letu hivi sasa linaangamizwa kwa kutisha na rushwa kubwa zinazofanywa na Wanasiasa na familia zao bila kusahau Viongozi wachache wa Serikali na vyombo ya Ulinzi na Usalama.
Haya yanafanyika huku Watanzania wengi wakikosa huduma bora za msingi kama Maji safi na salama...
Watawala wa Tanzania wamekua na tabia ya kuishi na kutawala kwa mazoea.
Kwa sasa serikali iwe makini na CCM sauti zinazodai maandamano ni nyingi na zinazidi kuongezaka zinazotaka mabadiliko.
Usipo ziba ufa utajenga ukuta. Watanzania sasa hivi mazindiko yenu hayawashiki tena wananchi watanzania...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, ameeleza kuwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, mkoa huo umejiandaa kikamilifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote, kwa kuwa Mkoa wa Arusha ni kivutio cha utalii hivyo kulinda usalama na amani ni mambo ya kipaumbele.
Kamanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.