uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais TLP: Uchaguzi upo, yeyote anayesema hakuna Uchaguzi Mitandaoni atachukuliwa hatua

    Mgombea Urais wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema chama hicho hakiungi mkono vyama ambavyo vinanadi uchaguzi usifanyike,na badala yake kuwataka wananchi wajitokeze kupiga kura kwa wingi Oktoba 29. Akizungumza kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika viwanja vya...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sumbawanga: Mtoto wa mgombea udiwani Kata ya Msua apanda jukwaani kumnadi baba yake

    Mgombea wa udiwani Kata ya Msua Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Juma Thomas Mnanka amezindua kampeni Septemba 28, 2025 eneo la John Kella. Katika hali iliyowavutia wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Mkutano huo wa kampeni, ni kitendo cha mtoto wa kwanza...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda Msata: Tutamchagua Rais Samia ametupunguzia faini za barabarani

    Bodaboda wa eneo la Msata Mkoani Pwani wameahidi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa amesaidia kuwapunguzia gharama za faini kutoka shilingi 30,000 hadi 10,000 pindi wanapopatikana na makosa ya barabarani. Aidha, wamewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wadudu: Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo

    Mkoani Arusha kuna kikundi cha vijana maarufu kwa jina la Wadudu, ambapo baadhi ya vijana kutoka kikundi hicho wamesema wapo tayari kushiriki uchaguzi mkuu ili wawachague viongozi watakaosimamia ndoto zao. “Tunahitaji viongozi wenye maadili na utu ili watuletee maendeleo,” amesema Kenyenyo...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Kibaha waahidi kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura

    Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu. Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Samia Suluhu zimevunja rekodi, hazijawahi kutokea

    Kwa umri wangu sijawahi kushuhudia kampeni za namna hii. Hivi mnajua kama kampeni za uchaguzi huu zimeanza tangu 2021? Hiyo mibango ipo tangu 2021. Yaani umepiga kampeni kwa miaka minne lakini bado unaogopa kushindana, hii sio kawaida kabisa katika historia yetu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkinichagua nitamalizia ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Wewe unanung'unika tu maandamano utakula maandamano?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kunung'unika na kufikisha ujumbe wa changamoto mbalimbali kwa njia ya maandamano kumepitwa na wakati Amesema Watanzania wanataka maendeleo ukiwemo ujenzi wa miundombinu muhimu ambayo itarahisisha shughuli za...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga uwanja mkubwa wa michezo Msoga kumuenzi Kikwete

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali yake itajenga uwanja mkubwa wa michezo katika eneo la Msoga, Chalinze, mkoani Pwani iwapo atapata ridhaa ya wananchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Hakutakuwa na tishio lolote la kiusalama siku ya Uchaguzi

    Mtu anataka kuhalalisha uoga uliopo tayari. Ungekuwa kweli hakuna hofu, basi isingehitajika kutamka hivi. ================= "Tunaomba kura zenu Wanamsata, la muhimu sana Wanamsata, tarehe 29 mwezi wa 10, Mwenyezimungu tumuombe atuamshe salama, ukitoka kuelekea kituo cha kura, tunasema twende...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Usanifu wa barabara njia 6 ya Maili moja- Chalinze unaendelea

    Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Maelfu kwa maelfu ya Wananchi wakiongozwa na mstaafu Kikwete wamempokea kwa kishindo Rais Samia Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amepokelewa kishujaa kwa mapokezi mazito na ya kihistoria Chalinze Mkoani Pwani. Ambapo katika Mapokezi hayo Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi Wakiongozwa Na Rais wetu...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: Nikuwa Rais katiba mpya itakuwa ndani ya siku 100

    MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa. Gombo aliyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi atoa ahadi upanuzi maegesho kivuko cha magogoni pamoja na kigamboni, kudhibiti msongamano

    Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi leo Septemba 28, 2025 ametoa ahadi ya Upanuzi kwenye maegesho ya Kivuko cha Magogoni na Kigamboni Shabaha ikiwa ni kuondoa foleni pamoja na kuboresha huduma katika kivuko hicho. Dkt Nchimbi ametoa ahadi hiyo leo...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wabunge wote wa Pwani bunge lijalo watatoka CCM, hatuko tayari kuchanganya pumba na mchele

    Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho kikwete amesema kuwa anaamini Bunge lijalo wabunge wa Pwani wote watakuwa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na pia anaamini hiyo itakuwa Kwa Nchi nzima. Dkt. Jakaya ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Kiwanja Cha Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wanasema sijasoma siwezi kuwa mbunge , hizi hoja nazitoa wapi?

    Nimekaa na wagombea wa nafasi za udiwani na nimewaambia siwezi kuomba barabara alafu diwani anaenda kumpa Tarura barabara laini laini,huyo diwani hawezi kunifaa kwenye jimbo langu,na wanasema sijasoma sasa hizi hoja natoa wapi?
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Zitto aahidi kuwapambania waliovunjiwa nyumba zao mwaka 2023, mtaa wa Machinjioni walipwe fidia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Katika mazungumzo yangu na wakazi wa Kata ya Machinjioni nilielezwa dhahma iliyowakuta tarehe 17/01/2023 ambapo walivunjiwa nyumba zao kupisha eneo la uwekezaji la KISEZ. Kwa uchungu mkubwa wananchi walinieleza namna wamefukarishwa na Serikali ya CCM...
  18. LICHADI

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano wa CCM Kibaha ni aibu

    Hapa picha ya ndege kuna dala dala za mbagala kawe,kinondoni,almost daladala za mjini kama 100 zimechota watu mjini zimewaleta huku nimejiuliza kibaha hakuna watu
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Nchi yetu ina umoja na utulivu, maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanapatikana

    "Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kwenye kampeni Kibaha mkoani Pwani
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z anayekosoa Uchaguzi na kukubali maandamano, Frida Mikoroti amekamatwa na Polisi lakini mpaka sasa hajulikani alipo

    Wakuu, Binti huyu anayefahamika kwa jina la Frida Mikoroti, amekuwa akikosoa kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea wakati huu kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii, akiwachana CCM kutokuwa na mpinzani wa kweli lakini pia kutoa ahadi za kipuuzi katika mambo ambayo walipaswa kuwa...
Back
Top Bottom