uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Afrika inaamka, ndani ya miezi mwili tayari GenZ wameshusha nchi tatu zenye utawala mbovu. Jana ilikuwa Madagascar. Je, Tanzania kufuata?

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, siku ya Jumatatu alisema anavunja serikali kufuatia maandamano yaliyoongozwa na vijana kuhusu kukatika kwa maji na umeme, ambapo Umoja wa Mataifa unasema angalau watu 22 wameuawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa. Yakiwahamasisha na maandamano ya kizazi cha “Gen Z”...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasanii wa Tanzania ajabu sana, yaani nchi iko mrama wao wanakazana kutoa nyimbo za mapenzi kwamba hawaoni hali inayoendelea?

    Na watanzania tulivyo wa ajabu, na licha ya kuwa tulitukanwa kuwa hatufanyi kazi bado tumejazana kwenye kuview nyimbo zao. Inashangaza sana kuona wasanii tena wakubwa waitanzania ambao wanahamasa kubwa kujifanya hawaoni hali inayoendelea Tanzania kwasasa, wanaendeshaa sanaa zaoo kama wao sio...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Tutampigania Mpina hadi atakaporejeshwa, tunaamini Mahakama itatenda haki

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha Act Wazalendo Zitto Kabwe, amesisitiza kuwa chama hicho kimejipanga kikamilifu kupambana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao, kwa lengo la kuhakikisha demokrasia ya kweli inatamalaki nchini. Zitto ameyaeleza hayo Septemba 29, 2025 akiwa Same Mashariki...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Twaakyondo: Wanaotaka Vurugu wanatikisa tu Kiberiti

    Mzee Paulo Twaakyondo wa mkoani Tanga, ambaye ni mwalimu mstaafu anasema wanaofikiria kufanya vurugu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao hawatoweza, kwani amani ya nchi ndio kipaumbele cha kwanza. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makamba: wingi wa wanatanga katika mikutano ya Samia ni ishara ya ushindi Oktoba 29

    liyekuwa Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mhe. January Makamba ameelezea mapokezi ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga ambapo amesema kuwa wingi wa wanatanga katika Mikutano ya Dkt. Samia ni ishara Tosha itakapofika Oct 29,2025...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chege: Oktoba 29, 2025 msiende Ziwani kuvua Samaki, mkapige Kura. Mkinipa diwani kutoka ACT ni kama mmenifukuza

    Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya, Jafari Chege, ameendelea kuwaomba wananchi kura za mafiga matatu—yaani Rais, Mbunge na Diwani—akisisitiza umuhimu wa kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025. Kwa kuwa shughuli kuu ya wananchi wa Wilaya ya Rorya ni...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi kuja na mpango wa uwekezaji mkubwa hoteli ya Bwawani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameahidi endapo atapewa tena ridhaa ya kuongoza Zanzibar kushirikisha sekta binafsi kuja na uwekezaji Mkubwa katika eneo la Bwawani ili kuchochea hadhi ya eneo hilo na uchumi wa Zanzibar Dkt. Mwinyi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Tulia: Tutaleta Lami Iduda, hii ndio ilani ya CCM

    Mgombea ubunge wa jimbo jipya la Uyole, jijini Mbeya, Dkt Tulia Ackson, amewaondoa hofu wananchi wa kata ya Iduda, kuwa ilani ya chama cha mapinduzi inaeleza namna itakavyo boresha miundombinu ya barabara inayounganisha kata hiyo na Mbeya vijijini hadi Rungwe ambayo imekua shida kwa wakazi wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Marcus Alban: Kuzuia Uchaguzi ni Kosa Kubwa katika Taifa

    "Uchaguzi ni mamlaka ya Umma, ni mamlaka yetu sisi raia, sisi raia tumekubaliana kwa mujibu wa katiba kila baada ya miaka 5 tufanye tathmini, kwa kufanya hivyo tutapitia ahadi wanazozileta zile za elfu mbii kuja 25, ssa kuzuia uchauzi ni sawa na kusema wwe unataka kutuzuia sisi raia kutekeleza...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Andrew Nyerere ampiga marufuku Rais Samia kuzuru kaburi la Hayati Mwalimu Nyerere kutokana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi

    Mtoto Mkubwa wa Nyerere, Andrew Nyerere Kwa niaba ya Wanafamilia, amechukizwa na Kitendo Cha Mahakama kutoitendea Haki CHADEMA. Andrew Kambarage Nyerere Asante umenyooka kama ilivyo! Tatizo hawa viongozi wa sasa wanataka kutumia legacy ya Mwalimu Nyerere kama hirizi iwakinge na hasira za...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi apiga selfie na wapiga makachu Forodhani, aahidi kuwarasimisha

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na vijana wa Makachu katika eneo la Forodhani, Unguja na kuwaahidi kuwa serikali itarasimisha rasmi kazi hiyo ili watambulikane kisheria. Dkt. Mwinyi amesema vijana hao wamekuwa mabalozi wa...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakuu hii itabidi itumike 0ktoba 29, "wanaume zaidi ya 1,000 wamefunga barabara mbeya kuadhimisha umoja wao wa kusaidiana na kuinuana"

    Wanaume zaidi ya 1,000 katika mji wa Tunduma mapema leo wamefunga barabara kwa saa kadhaa wakifanya matembezi ya kuadhimisha mwaka mmoja wa mafanikio ya kikundi chao cha “Wanaume Familiy Tunduma – Songwe” chenye lengo la kuinuana na kusaidiana. Soma pia: Gharama ni nafuu zaidi kubadili utawala...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Serikali kushirikiana na sekta binafsi kuendesha mradi wa Mwendokasi

    Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na huduma za kijamii nchini. Akizungumza katika mkutano wa kampeni, Dkt. Nchimbi alisema utafiti wa kina...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kufufua viwanda vya chai Njombe

    Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano, kupitia chama cha Ukombozi wa UUMA (CHAUMMA) Bw. Salum Mwalim ameahidi kufufua viwanda vya chai vilivyofungwa nchini, kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ili kuchechemua shughuli za uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa baada ya zao la chai kudorora. Soma pia...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii, kuna Uhamasishaji wa Uasi na Picha chafu kinyume na maadili ya Dini

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime akiongea Septemba 27, 2025 kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya amesema yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kuna uhamasishaji wa uasi na picha chafu kinyume na maadili ya dini na ni katazo la maandiko matakatifu. Ameongeza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: Katiba inapiga marufuku Kupinga au kuhoji Matokeo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume

    Akizungumza akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea mchakato wa uchaguzi na Matokeo ya uchaguzi ambapo Ibara ya 74 ibara ndogo ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapiga Marufuku kupinga au kuhoji Maamuzi au Matokeo ya...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Massaburi aanza kazi kabla hajapata ubunge, apiga marufuku Watendaji wa mitaa kutoza pesa bodaboda Kivule

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule, Dougras Massaburi ameanza kazi kabla hajapata Ubunge akipiga marufuku Watendaji wa Mitaa kutoza pesa Bodaboda. Massaburi amesema Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa vijana hivyo haina haja kuwatoza pesa Bodaboda.
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania: Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini wasitumike vibaya

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika sana kuhubiri amani na ushirikiano kati ya waumini na viongozi wa kisiasa. “Nafasi yetu kubwa ni...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gari la mgombea urais CHAUMMA Salum Mwalimu lapigwa jiwe Mafinga

    Gari analotumia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA Salum Mwalim, limepigwa jiwe kwenye kioo cha nyuma na Mtu asiyejulikana muda mfupi baada ya kumshusha Mgombea huyo Hotelini Mafinga, Mkoani Iringa. Mkuu wa msafara huo, John Mrema amesema tukio hilo...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moza: Nitasimamia huduma ya mama na mtoto iwe bure kweli

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure kikamilifu kama ambavyo inatakiwa. Moza ameyasema hayo leo Septemba 29, 2025 akizungumza na...
Back
Top Bottom