DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa usanifu wa upanuzi wa Barabara ya Njia sita kutoka maili moja Hadi Chalinze lakini pia Kutakuwa na ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka kutoka Kibaha Hadi Chalinze itakayojengwa Kwa ubia kati Sekta ya UMMA na Sekta Binafsi(PPP)
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Viwanja vya Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 28,2025 Viwanja vya Sabasaba Kibaha Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025.