uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Frederick Sumaye: Same watachapa Tiki kwa Dkt. Samia Oktoba 29, 2025

    Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye amesema wakazi wa kanda ya Kaskazini wanataka kuwahakikishia Watanzania Wanafuta mitazamo ya baadhi ya watu kuwa kanda hiyo Kuna maeneo Chama Cha Mapinduzi(CCM)kimeshindwa kujipambanua Sumaye ameyasema hayo Leo Sept 30,2025 Viwanja vya Stendi ya Mabasi Same...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia: Serikali ya CCM itaendelea kutoa Ruzuku kwenye Pembejeo za Kilimo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole Dkt. Tulia Ackson amesema ili kuinua secta ya kilimo ndani ya Kata ya Iganjo jijini Mbeya watahakikisha Mbolea za Ruzuku na Pembejeo zote za kilimo zinapatikana kwa wingi ili kuongeza tuja katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa wakazi wa kata...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii. Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam kujionea hali ilivyo...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM Kigoma Mjini: ACT walikuja kuniomba kura nikaibiwa simu yangu

    Wakuu, Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi. Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September...
  5. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mfanano uliopo kati ya Lyatonga Mrema na Polepole

    Wote Mrema na Polepole walijiuzulu kutoka nafasi zao za juu ndani ya chama na serikali. Wote baada ya kujiuzulu nafasi zao ndani ya chama na serikali wakawa wakosoaji wakuu wa chama na serikali hiyo hiyo waliyokuwa wanafanya kazi awali. Wote Mrema na Polepole wakateka hisia za wananchi wanyonge...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais NCCR, Dkt. Munisi: Amani ya taifa letu ni dhamana yetu sisi wenyewe usisubiri askari aje kwaajili ya amani

    Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR Mageuzi Dkt. Eveline Munisi amesema usalama katika nchii utaimarika sana na ataweka mazingira mazuri kwa watumishi wa umma katika kipindi ambacho ataingia madarakani pindi wananchi watakapo mpa kura za...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasaidieni waumini kujitenga na uovu. Tangazeni Oktoba 29 iwe ni siku ya waliotekwa na kupotea

    Kazi kubwa ya kiongozi yeyote wa dini, ni kuwasaidia waumini wake kujitenga na uovu/dhambi. Kiuhalisia, uchaguzi unastahili kuwa tendo takatifu, hasa pale maamuzi yote wanapopewa wananchi. Kwani kwa kupitia wananchi hawa, Mungu, huwapatia wanadamu wake viongozi. Lakini kwa mazingira ya...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Ilala: Watanzania wenyewe wana hamu ya amani, hakuna Mtanzania mwenye hamu ya vurugu

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam , amesema Watanzania kwa asili yao wana hamu ya kuishi kwa amani na siyo vurugu, akisisitiza kuwa baadhi ya kauli zinazohusiana na uvunjifu wa amani mara nyingi hazina mashiko. “Watanzania wenyewe wana hamu ya amani, hakuna Mtanzania mwenye hamu ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalimu: Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa sababu uko katikati ya Bandari ya Dar na Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewataka wananchi wa Mkoa wa Morogoro kujiandaa kunufaika na neema ya sera ya viwanda, kikiahidi kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa kitovu cha viwanda kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere. “Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sms za kukumbusha kupiga kura: Je, ni kuhamasisha au kero kwa wananchi?

    Katika siku za hivi karibuni, simu za Watanzania zimefurika na ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) unaosema: “Kura yako ina thamani, kuwa sehemu ya mabadiliko unayoyataka, hakikisha unapiga kura tarehe 27.11.2024 kumchagua kiongozi unayemtaka kwenye Kijiji, Kitongoji au Mtaa wako.” Kwa wengine...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Diwani Mwanga Kusini CCM awaomba wananchi kura za kurundika

    MGOMBEA Udiwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mwanga Kusini mkoani Kigoma Mussa Maulid amezindua kampeni yake kwa kuwaomba wakazi hao wampigie kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mtindo wa kurundika. Maulid alisema wakazi hao...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 UWT Arusha tunatarajia kuwa na wanawake zaidi ya elfu 25 katika mkutano wa mgombea Urais CCM Oktoba 2

    Arusha kuna mambo jamaani, hizi bwebwe zote bila shaka anaye ratibu ni huyo mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda. Naendelea kunoti kitu huyu Makonda kuna jambo lake zito anazidi kulitengeneza kwenye uongozi soon litakuwa rasmi. ================= Hamasa ya mapokezi ya mgombea urais...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya Seneti ya Marekani yaionya Tanzania Ukandamizaji Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozua wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025, utakuwa huru na wa haki, Shirika la Human Rights Watch limesema leo. Mamlaka zimekandamiza upinzani wa kisiasa na wakosoaji wa chama tawala...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamis Kigwangalla ni kama anataka Maandamano lakini hawezi kusema wazi, kaweka maoni yake Instagram

    Leo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Mwanasiasa Hamis Kigwangalla ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa mwaka huu na maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima tarehe 29 Octoba, 2015. Ameandika Na kuchapisha post kama 7 hivi zikiwa na ujumbe ufuatao OKTOBA TUNATIKI VS OKTOBA TUNATOKA...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tumeongeza makusanyo ya mapato ndani ya nchi kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada kutoka nje

    Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea mkoani Kilimanjaro, mgombea Urais kupitia chama hicho Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali ya Chama hicho imeongeza mapato ya ndani ili kuepuka manyanyaso ya mikopo na misaada ya nje. Ameyasema hayo leo Septemba 30, 2025 katika...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yaweka wazi watakaopiga kura Zanzibar, watu 8,325 wakosa sifa

    Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza kuwa jumla ya wapiga kura 717,557 ndiyo walioidhinishwa kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, baada ya kukamilika kwa mchakato wa uhakiki wa daftari la kudumu la wapigakura. Akizungumza katika mkutano na wadau wa uchaguzi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Moshi: Hatufungui Biashara Tunaenda kwa Rais Samia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara za kampeni mkoani Kilimanjaro ambapo leo Septemba 30, 2025 anafanya kampeni katika Wilaya ya Same, huku vijana wa Moshi Mjini wakieleza kuwa wako tayari kumpokea na kuhudhuria mkutano wa kampeni...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Hakuna mwanamke anayepaswa kufariki wakati wa kujifungua

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema dhamira ya serikali ya awamu ya sita ni kuhakikisha akina mama wanajifungua salama bila kupoteza maisha, akisisitiza kuwa kuleta maisha mapya isiwe sababu ya kifo cha mama...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mabelele: CHADEMA ilipowafukuza Wabunge 19, Msajili alichukua Maamuzi gani? Mpina arudishwe kwenye Kinyanganyiro, yanayoendelea ni kuchafua CCM

    Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Buluba Mabelele amezungumzia utendaji wa haki kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na yanayoendelea katika vyama vya siasa nchini akisisitiza Tume huru ya Uchaguzi (INEC) kumrejesha Mgombea Urais kupitia Chama cha...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tujitokeze kwa wingi Oktoba 29 tuwazibe midomo

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kila mwananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kukichagua CCM kwenye uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kuendelea kuwatumikia wananchi kwa kusogeza huduma za...
Back
Top Bottom