uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Mlimba wasukuma gari la mgombea urais wa CHAUMMA, Salum Mwalim

    Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza kunadi sera za chama hicho. Akizungumza na vijana hao akiwa njiani kuelekea Ifakara kuendelea na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fundi Ally dereva bodaboda: Kiongozi siyo lazima atekeleze ahadi zote, Tujitokeze kupiga kura tusifanye fujo

    Fundi Ally dereva bodaboda anayefanya shughuli zake kila siku Mtwara Mjini amewasihi vijana kujitokeza na kupiga kura Oktoba 29 ili kuchagua kiongozi anayefaa kuongoza pia amewasihi vijana kuepuka fujo hasa wakati wa uchaguzi inaweza kusababisha uvunjifu wa Amani ameyasema hayo leo wakati...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof Mkumbo: CCM inaogopa rushwa, CCM pia inapambana na rushwa

    CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo. Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu? ============= Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkulima auza tani 11 za mbaazi, kuzunguka kwenye kampeni za Samia

    Mkulima na pia Balozi wa Shina namba 2, Kitongoji cha Mkwajuni, Kijiji na Kata ya Mwenge Mtapika, Wilaya ya Masasi, Nickson Amlima, ametangaza kutumia fedha alizopata kutokana na mauzo ya zao la mbaazi tani 11, kufadhili safari yake ya kuzunguka nchi nzima na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wanaoshawishi fujo wana pa kwenda, familia zao haziko Tanzania

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kushawishika na watu wenye nia ovu kuharibu amani ya nchi, kwani wanaofanya hivyo wanapo pakukimbilia
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiduku na Farida waachiwa kwa dhamana, wataendelea kuripoti polisi kila siku

    Wanaharakati wa mitandaoni, Innocent Paul Chuwa maarufu kama Kiduku, na Farida Mikoroti, waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya mtandao, wameachiwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati (Central Police) Dar es Salaam, Jumatano Oktoba 01, 2025. Wawili hao wameshikiliwa kwa takribani...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape Nnauye: Wanaompinga Samia waje na takwimu

    Nape Nnauye, amesema wanaompinga Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanapaswa kuja na takwimu na si maneno matupu. Nape amesema tangu alipoingia madarakani mwaka 2021, Dkt. Samia ameweka rekodi ya kipekee ya uadilifu katika kusimamia rasilimali za taifa na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Wale wenye mashaka na Samia waache porojo za barabarani

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliangalia rekodi ya Mgombea wa Urais CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uadilifu, uzalendo,Maadili na utu wake katika kusimamia rasilimali za Taifa Nape ameyasema hayo Leo Oct 1,2025 wakati...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msafara wa kumpokea Samia Arusha

    Leo oktoba 01, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasili katika Mkoa wa Arusha Katika Jimbo la Arusha Mjini kuanza Mikutano yake ya Kuomba Kampeni kuomba Kura kwa Wananchi. Kupitia Ujio huo Wadau mbali mbali wa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila: Samia amepunguza gharama za maisha amekuza kipato cha mtanzania

    “Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAZECHA walalamika kupata huduma duni kwenye huduma za afya na mafao ya uzeeni zinazosababishwa na demokrasia duni na uchaguzi usio wa haki

    Katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yanayofanyika leo oktoba 1, 2025, baraza la Wazee Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) kanda zote limefanya majadiliano kwa njia ya mtandao kuhusu hali ya wazee katika ushirikishwaji wa mambo ya kisiasa na huduma za kijamii. Katika majadiliano...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Wana CCM wametangaza tarehe 29 Oktoba ni Samia Day

    Mgombea mwenza wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi amesema Wana-CCM na Wakazi wa ilala wametangaza kuwa siku ya uchaguzi Oktoba 29 ni samia Day Nchimbi amesema hayo Leo Oktoba 1, 2025 akiwa katika mkutano wa kampeni maeneo ya Machinga Complex jimbo la...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eveline: Mkichagua NCCR-Mageuzi usalama kazini ni uhakika

    Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR–Mageuzi, Dkt. Eveline Munisi, amesema kuwa endapo wananchi watamchagua mgombea urais wa chama hicho, serikali yao itaweka mazingira bora na salama kwa watumishi wa umma katika kipindi chote watakapokuwa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Serikali ya mama haikuwa na matundu ya rushwa

    Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Same wampongeza Samia kusikiliza wanyonge

    Wananchi wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameonesha imani yao kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan wakieleza kuwa watampatia ushindi wa kishindo. - Wakizungumza leo Septemba 30 kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wilayani Same...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Naenda kuwa Mbunge wa International, Arusha ndiyo Jimbo la Wajanja

    Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, ameeleza jinsi atakavyokuwa mbunge wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa atawakilisha jimbo ambalo ni makao makuu ya Afrika Mashariki na lenye shughuli nyingi za utalii Kauli hiyo imetolewa Septemba 30, 2025, Jijini...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia aahidi ukarabati wa madarasa Uyole

    Akiwa katika Muendelezo wa kampeni za Ubunge katika Jimbo la Uyole, Mgombea ubunge wa jimbo hilo dkt Tulia Ackson ameahidi kuboresha Elimu pamoja na Miundombinu ya barabara kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya Uchaguzi Ya CCM Akihutubia Mkutano wa Kampeni katika kata ya Iduda, Dkt Tulia amesema...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakazi wa Kitunda Relini: Rais Samia ni Mkombozi wa Watoto wetu

    Wakazi wa Kitunda Relini kata ya Kitunda Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule mpya na ya kisasa yenye madarasa 14, maabara 4, maktaba 1, chumba maalum cha kompyuta (ICT) ,ofisi za walimu 12, pamoja na stoo kubwa 2 Shule hiyo ni...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge jimbo la Tabora mjini aahidi kukomesha tatizo la Mafuriko kata ya Mwinyi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua. Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua...
Back
Top Bottom