Mgombea Ubunge wa Viti maalumu kupitia Kundi la Vijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha, Lulu Mwacha amemshukuru Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaamini Vijana katika nafasi za uongozi pamoja na kutoa fursa za Ajira kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini Costa Kibonde ametoa ahadi ya kugawa boda boda Milioni moja na kuzigawa bure kabisa, lakini lazima wanufaika wapate cheti cha mafunzo endapo atachaguliwa kuwa Rais.
Ndugu Kibonde ameyasema hayo wakati akinadi sera zake...
Ahadi tulizozoea kusikiliza tukidanganywa kama hatuna fikra na kubaki kuwa ndoto kwa wananchi kutoka kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kwenye Kampeni Kigoma Kusini
-----------
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakari maarufu Kandahari, amesema...
Kumbe saini nayo ni kitu cha kuringia :FeelsWeirdMan:
---------------
Mkali wa Muziki wa Zenji Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Mabawa amesema tukio la kupata saini ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi limekuwa ni tukio kubwa sana kwani haijawahi kutokea kwa Msanii wowote na yeye anakuwa wa...
Jamii ya Wahdzabe wanaopatikana Eyasi, Karatu mkoani Arusha wamesema wapo tayari kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 ili kuchagua kiongozi atakayewatambua kama sehemu ya Watanzania.
Mmoja wa wanakabila hilo anayefahamika kwa jina la Dudukwe amesema: “Sisi kama...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba.
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dkt. Mwinyi amesema serikali...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba, Dar es Salaam Ernest Mgawe anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikielezwa kuwa anatuhumiwa kutenda makosa mawili (2) ambayo ni kuhamasisha maandamano, na kuhamasisha watu kufanya fujo kwenye vituo na magari ya mwendokasi...
Kupitia ukurusa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ameelezea sakata lililotokea la mama kudai kuibiwa simu baada ya kutembelewa na wanachama wa ACT-Wazalendo kuomba kura nyumba kwa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kusimamia na kusisitiza mfumo wa stakabadhi kwa wakulima na kwamba chama chochote kitakachokuja na sera ya kuufuta kinataka kuleta wizi na dhuluma kwa wakulima.
Hayo yameelezwa Oktoba 1, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo na mbolea kwa wakulima kwa lengo la kuongeza uzajilishaji wa chakula.
Akizungumza na wananchi wa Arumeru mkoani Arusha, Oktoba Mosi 2025, Samia alisema sababu ya...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameendelea kujinadi kwa Watanzania akieleza dhamira yake ya kufungua fursa za kibiashara kwa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) hadi Kagera pamoja na kununua ndege ya mizigo.
Kwa sasa, reli hiyo ya kisasa imejengwa kutoka Dar es Salaam hadi...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, William Simon Mwakilema amewahimiza Wananchi wa Wilaya ya Korogwe na Wananchi wa maeneo mengine waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Soma: Samia: Tujitokeze...
Mawakili wakinyukana kwa vifungu vya sheria, kama kuna kosa la kisheria kutishia au kujaribu kuzuia uchaguzi uliopangwa kwa mujibu wa sheria..?
Pia Soma: Wakili Peter Madeleka: CHADEMA kuzuia Uchaguzi 2025 kwa kigezo hakuna "reforms" ni kosa la Jinai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inalenga kuviimarisha viwanja vya michezo nchini ili viwe bora na kukidhi viwango vya kimataifa.
Amesema Serikali imewekeza fedha nyingi kuhakikisha inajenga viwanja zaidi vya kisasa vitakavyotoa...
Wakuu, huu ndiyo msimu wa miujiza kila kitu kinawezekana! 😂
Eti sasa Mgombea Ubunge Abdallah Chaurembo, kageuka mwongoza mazoezi kwa vijana wa hamasa Chamazi. Kwanini haya mazoezi ya uzalendo hayafanyiki mara kwa mara kabla ya Uchaguzi?, ila muda wa kampeni ghafla tunaona?
Soma: Mbunge...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo jipya la Uyole kwa ujumla, licha ya kumpigia magoti akiomba ujenzi wa barabara za lami katika mtaa wa...
"Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ijayo itaendeleza jitihada za kuboresha huduma za afya mkoani Kilimanjaro, ikiwemo kuimarisha hospitali, kuongeza watumishi na kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana kwa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.