uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Nyumba yangu inauzwa na bank naomba Baba Levo anisaidie

    Mama mjane anayedai kudaiwa pesa na kampuni ya benk ya nmb amezungumza na seven media akimuomba baba levo anusuru nyumba yake iliyopangwa kuuzwa kaajili ya kufiidia deni ambalo anadaiwa katika benki hiyo. Christina alikopa Tsh milioni 50 kwenye bank hiyo na kuiingiza kwenye biashara lakini...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yaahidi kufuta kigezo cha leseni kwa wavuvi

    Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Bandari ya Mangapwani kukamilika ndani ya miaka miwili, uchumi wa Zanzibar kuimarika

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili ijayo Bandari Jumuishi ya Mangapwani itakuwa imekamilika kwa lengo la kuinua uchumi wa Zanzibar na kufungua fursa pana za biashara, ajira na uwekezaji. Akizungumza...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia: Tujitokeze kupiga Kura usikubali mtu yeyote akushawishi ubaki nyumbani Oktoba 29, 2025

    Mgombea ubunge wa jimbo la Uyole jijini Mbeya Dkt Tulia Ackson, amewaomba wananchi kujitokeza kupiga kura siku ya oktoba 29 ili kuchagua viongozi wanao wahitaji kuwaongoza baada ya uchaguzi mkuu. Dkt Tulia ameeleza hayo wakati akinadi sera kwa wakazi wa kata ya Ilemi ambapo amewaambia kua...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Olengurumwa: Harakati za Gen- Z ni sehemu ya historia ya demokrasia

    Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema harakati za vijana na maandamano ya kudai haki si jambo jipya, bali ni mwendelezo wa historia ndefu ya mapambano ya kidemokrasia duniani. Akizungumza katika kipindi cha Maswali na...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi alivyopanda Jukwaani kucheza na Yammi

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, aliibua shamrashamra za aina yake baada ya kuinuka na kucheza jukwaani pamoja na msanii maarufu wa muziki nchini Tanzania, Yammi . Tukio hilo lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Olengurumwa: Katiba mpya inakwamishwa na wanaonufaika na mifumo iliyopo

    Wakili Onesmo Olengurumwa, Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), amesema kuwa changamoto ya kupata Katiba mpya inachangiwa na watu wachache wanaonufaika na mifumo iliyopo na hivyo kuona mabadiliko kama tishio kwa masilahi yao binafsi. Akizungumza na...
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Daraja la Mkuyuni; Mgombea Urais kupitia CCM (Rais Samia) atakua na hoja gani Oktoba 8, 2025 ili wananchi wakamsikilize

    Kwa jiografia ya Mwanza, mji huu una njia kuu mbili za kutoka katikati ya jiji na kuliunganisha jiji la Mwanza na mikoa jirani, yaani kwa kifupi hizi njia mbili zikipata hitilafu, mji hauingiliki wala kutoka, inakua kero tupu. Daraja la Mkuyuni kwa msiofahamu lipo njia kuu ya Mwanza mjini...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi ahaidi kuvuka lengo la ajira 300,000 Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza Zanzibar kwa miaka mitano ijayo atahakikisha anavuka lengo la utoaji wa ajira 300,000. Kauli hiyo ameitoa wakati akihutubia wananchi wa Bumbwini...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Mashimo; Niliwahi kufuatwa na kundi la watu wakitaka niichafue serikali

    Mchungaji Daudi Mashimo aibuka na kudai baadhi ya viongozi wa dini wakiongea mabaya kwa serikali badala ya kuwa kitu kimoja na kuiombea nchi.
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Katiba iache tusubiri tumalize Uchaguzi, Wanaosusa waache wasusue

    “Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania DMZ: Kwanini sasa kuelekea uchaguzi jeshi la polisi wanasema matukio ya sasa kuwa umewamaliza ?

    Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi. Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa kifo ambavyo vitasemwa kuwa biashara,madeni,mapenzi na n.k. Usalama naomba DMZ mtakuja kujutua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna haja ya kusumbuka Oct 29.Kura haibadili chochote, na haihitajiki

    Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU. Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu. Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki. Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa minajili gani, kama sio upumbavu tu. Ukiacha hayo kila mtu anajua kuhusu Polisi watakaokuwa mitaani...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimbi: Huyu kabujanja tulimpa miaka 15 Jimbo la Kigoma Mjini na Vijijini lakini kila mwaka ni hati chafu

    Huyu bi mkubwa ameongea heeee! hivi Huyu kabujanja ndio bwana Zitto Kabwe bila shaka? =============== Aliyekuwa katibu wa ACT tawi la mwanga kaskazini, NIMBI MUSSA KINYOTA ambaye kwasasa amekihama chama hicho, amewahasa wanawake wajane keendelea kukiamini chama cha mapinduzi pamoja na wagombea...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenista Mhagama awapigia magoti wananchi Jimbo la Peramiho kuwaomba kura za ubunge

    Mama huyu anapenda kupiga magoti sana! kwenye kuomba jambo lake, maana si mara ya kwanza kupiga magoti akiwa katika harakati zake za kisiasa za uchawa Je hadi mumewe anampigia goti akimkosea au unafiki wake huku nje? :D :D :D =============== Mgombea Ubunge Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Serikali Kurejesha Mashamba ya Kiliflora na Arusha Blooms Serikalini

    Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi amesema serikali ya awamu ya sita imeunda timu ya Makatibu Wakuu wa Wizara ili kufanya tathmini na kuanza mchakato aa kuyarejesha serikalini mashamba matatu ya Kiliflora Usa River, Kiliflora Nduruma...
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Kwa Hakika Rais Samia Ni Chaguo La Mungu Kwa Haya Mafuriko Ya Wana Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Haihitaji Elimu ya Dini kulitambua hili, haihitaji uoteshwe ndoto kulifahamu hili. Kwa hakika Pasipo shaka wala wasiwasi wala kigugumizi wala simile wala hofu ni dhahiri na wazi kabisa kwa ishara zote ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadogosa aahidi Kuboresha Miundombinu ya Barabara Bariadi kukuza uchumi wa wananchi

    Wenzetu bado wanafurahia kupewa baiskeli jamani, ila wakumbuke hiyo mitano tena watasaga meno bila maendeleo maana hela ndo hizo wamenunuliwa baiskeli :Alien::Alien::Alien: ------------- Mgombea ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masanja Kadogosa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Watanzania wengi ukikutana nao wanasema hawatashiriki huu uchaguzi?

    Nimeshangaa sana ni kama kuna wazo linaambukizwa kwa watanzania vichwani mwao. Wengi wao wanasema hawatashiriki uchaguzi? Kwa nini? Kwani hawaoni kama kuna uchaguzi?
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Samia Umekaa kwenye kiti kwa Mapenzi ya Mungu, atakupa tena Oktoba 29 urudi Ikulu, Usiogope

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani kwa mapenzi ya Mungu na mapenzi ya Mungu yatatimia tena kwani Dk Samia atashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Makonda...
Back
Top Bottom