uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila: Mmeteseka sana na mwendokasi ila juzi Rais ametoa amri mabasi yaingie watu wake waache kuteseka

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia CCM , Professa Kitila Mkumbo amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua kadhia wanayopitia wananchi juu ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) alielekeza kuharakishwa kwa taratibu za kuondosha mabasi bandarini ili yaanze kazi haraka na...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Wanaohamasisha maandamano si wenzetu, bali ni wahuni tu, na tutawakabili kwa kila namna

    Geofrey Kiliba, Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), amesisitiza kuwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kote nchini watashiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vinavyoshiriki uchaguzi bandia vifutwe

    Vyama vinavyoshiriki uchaguzi bandia vifutwe , wagombea wote wa vyama hivyo wakamatwe na kuhojiwa hawatufai. Viongozi wa dini wanao support uchaguzi bandia waondolewe kwenye nafasi zao kushiriki kwenye uovu kwa viongozi hao kunapoteza nafasi ya wao kuendelea kuwaongoza wengine kwenye haki.
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele

    "Dkt. Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele" Paresso Ameongeza akisema "miaka minne iliyopita Dkt. Samia Suluhu Hassan si kwamba tumemsikia kwa maneno lakini pia tumemshuhidia kwa vitendo vya kimaendeleo" Amesema Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Mwinyi Aahidi Ujenzi wa Gati Tumbatu Kuondoa Usumbufu wa Usafiri

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga gati katika kijiji cha Tumbatu ili kuwaondolea wananchi usumbufu wa kusafiri kufuata huduma nje ya kisiwa chao. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Hatutajificha, tutashinda dhidi ya uovu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche, amesema yeye pamoja na na wenzake hawatojificha na kwamba Watashinda dhidi ya uovu unaopangwa dhidi yao. Heche ameandika hayo leo baada ya kupokea taarifa kwamba Mahakama ya Tanzania imeombwa kutoa kibali cha kukamatwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rahma Mwita: Wanasiasa wanawake wanapitia ukatili mtandaoni, acheni matusi dhidi yao

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita amewataka wanaofuatilia siasa mitandaoni kuacha tabia ya kutukana viongozi kwa sababu ni udhalilishaji wa mwanamke na wazazi wao wenyewe.
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Faki: Mkinichagua marufuku kuoa mke mmoja, ukikutwa na mke mmoja jela miaka 6

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha NRA, Khamis Faki, amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, Serikali yake itaweka sheria itakayowataka vijana wa Kizanzibari kuoa wake zaidi ya mmoja. Faki ameeleza kuwa kijana yeyote atakayekaidi...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Nitaifanya Tumbatu kuwa Wilaya

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu katika miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanya kisiwa hicho kuwa wilaya. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika mkutano wa kampeni...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pauline Gekul: Samia ametufanyia mengi hatumdai, ila yeye anatudai

    Mbunge mstaafu wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema wananchi wa babati hawana deni kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan kwani ni kama ameipendelea Babati kwa kufanya mambo mengi makubwa. Gekul ametoa kauli hiyo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za Samia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mshahara ni kwa ajili ya mfanyakazi, si familia. Hata ukilipwa Milioni 50 hautoshi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza leo Oktoba 4, 2025 Kwenye Kongamano la Mawakili Wanawake kuelekea Uchaguzi Mkuu amesema "Hakuna Taasisi inayokulipa mshahara kwa ajili ya familia yako, mshahara unaolipwa ni kwa ajili yako wewe. Hata ungelipwa Mil 50 bado mshahara huo...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Usijenge kipindi hiki cha Uchaguzi bila Kibali, ukidhani eti hawafatilii, unajidanganya na tutabomoa

    Akizungumza na Wenyeviti wa Mitaa, DC Albert Gasper Msando amewataka viongozi hao kusimamia vizuri makusanyo ili miradi irudi kwao. Huku akisisitiza kuwa wanaojenga bila vibali watachukuliwa hatua, akisema: "Usijenge kipindi hiki cha Uchaguzi bila kibali, ukidhani eti hawafatilii, unajidanganya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Duniani kote jambo la kwanza amani, natamani Afrika iwe na Rais mmoja

    "Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jambo la kwanza wanapigania Amani" Deodatus Balile - Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania. Soma zaidi Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu wakati wa kuchimba hivyo kwa kushirikiana na Viongozi wenzake watakwenda kununua Mashine tatu ili kuondoa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Gugu: Jeshi la Uhamiaji imarisheni doria na misako kuelekea Uchaguzi Mkuu, na mshirikiane na Tume ya Uchaguzi

    Wakuu, mmesikia huko? Jeshi la Uhamiaji limeagizwa kuimarisha doria na misako kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. === Jeshi la Uhamiaji limetakiwa kuimarisha doria na misako katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa kuwachagua madiwani, wabunge, na Rais unaotarajiwa kufanyika...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: ACT Wazalendo wanataka nifukuzwe, wamenitoa kwenye Group mtandaoni

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa vipindi viwili mfululizo, Selemani Said Bungara maarufu kama Bwege, amesema kuna juhudi za baadhi ya wanachama wa ACT Wazalendo kutaka afukuzwe kutokana na ukosoaji anaoufanya ndani ya chama hicho, na kufichua kuwa tayari ameondolewa kwenye kundi la...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia azama Gereji kunadi sera, mafundi waibuka na ufinyu wa eneo la kazi

    Mgombea ubunge jimbo la Uyole, jijini Mbeya, Dkt. Tulia Ackson, ameahidi kumalizia kazi aliyoianza ya kufanikisha upatikanaji wa maeneo kwaajili ya mafundi wa magari ambao hufanya shughuli zao maeneo ya magerejini kata ya Mwakibete. Akiendelea na kampeni zake za kata kwa kata Dkt. Tulia amesema...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni siku ya kuifuta CCM na kulikomboa Taifa

    Kama upo karibu na Ofisi yeyote ya CCM iwe ya Mtaa, Kata au Wilaya kazi kubwa ni kuhakikisha hiyo Ofisi inafutika Kama upo jirani na Kiongozi yeyote wa CCM kazi iliyobaki ni kuhakikisha nyumba yake inafutika Kama upo jirani na Ofisi za Taasisi zinazojulikana kwa kukandamiza raia kama Mahakama...
Back
Top Bottom