uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AVANTES

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushindi wa Kishindo lakini Kimya Kimetawala, Huko kwenu vipi?

    Baada ya matokeo kutangazwa, tofauti na ilivyozoeleka walioshinda huwa, wanasherehekea ushindi wao, tena wa 97.6% katika historia ya nchi yetu ni ushindi mkubwa kuwahi kutokea tangu tuanze kupiga kura. Lakini huku kwetu hali imekuwa tofauti, hakuna tofauti kati ya aliyeshinda na aliyeshindwa...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

    Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli? Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli ya Innocent Bashungwa kwa Rais Samia baada ya mkeka mpya wa baraza la Mawaziri

    . Naomba kumshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa fursa adimu uliyonipa katika vipindi mbalimbali kuwatumikia watanzania. Naomba nikuahidi tutaendelea kuunga mkono juhudi na maono mazuri ya uongozi wako pamoja na Serikali ya Awamu ya 6 unayoiongoza...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu 2025: "Kumbukumbu zilizochorwa kwa damu za waliolala kabla ya alfajiri ya Haki"

    Ni majira ya saa tisa usiku. Dunia imelala, lakini macho yangu yamekataa mapumziko. Usingizi umetoweka kama kivuli kinachokimbia mwanga. Ghafla, sauti isiyo na uso inanong’ona ndani ya kichwa changu: “Andika kuhusu matukio ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kabla, wakati, na baada.” Nageuka kulia...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aliongoza Bunge kusimama kwa dakika 1 kuwaombea waliofariki kwenye vurugu siku ya uchaguzi

    Rais Samia awaambia wabungge na waliohudhuria bunggeni kusimama kwa dk 1 kuwaombea wote waliopeta maisha, waliojeruhiwa wapone haraka, na pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kipindi hiko. Akisema yeye binafsi ameumia sana. Amessma serikali imeunda tume kuchunguza kilichofanyika, akisema...
  6. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malumbano ya Hoja ITV- Maoni yangu ya nini kifanyike baada ya madhila ya MO29

    Jana nimeangalia kipindi cha MAlumbano ya Hoja ITV, mwanzo hadi mwisho. Si kawaida yangu sana kutazama ila jana nimekimaliza. Niwapongeze wote waliohudhuria na kutoa maoni yao katika mjadala ule. Nami kama mwananchi na mdau nina maoni yangu kama ifuatavyo; 1. Mzee Nyerere aliacha maadui watatu...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali inasema waandamanaji sio watanzania, waandamanaji wanasema wanajeshi sio watanzania!

    Hivi mna uhakika kweli tupo Tanzania?
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Uchaguzi wa Udiwani Kata ya Malangali kufanyika tarehe 22 Januari, 2026

    Dodoma, 13 Novemba, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea taarifa kuhusu kifo cha cha Ndugu Anthony Peter Choma aliyekuwa mgombea wa Udiwani katika Kata ya Malangali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichotokea tarehe 29 Oktoba, 2025 saa 6:00 Mchana kabla ya kumalizika upigaji wa kura...
  9. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe aomba ufanyike uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Tanzania katika uchaguzi mkuu 2025.

    "Tunatoa wito wa uchunguzi huru na usio na upendeleo kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika. Mwanga wa ukweli na uangaze kila kitendo cha kikatili, kila amri iliyotolewa, kila uhai uliozimwa. Ili kusafisha majeraha haya, ni lazima tuchukue haki ya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

    Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa. Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto Kabwe tulikuonya uache uchawa hukusikia, sasa umeishia kuwekwa Selo na wafuasi wako kushtakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana

    Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi. Inadaiwa aliposhindwa kulinda kura kama alivyojinasibisha kabla, Zitto alianzisha vurugu akipinga ushindi wa Baba Levo, na hatimaye...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chama cha Mawakili wa serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali

    Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kinalaani vikali vurugu, mauaji, na uharibifu wa mali vilivyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025, na kinatoa pole kwa wote waliopoteza ndugu au mali. TPBA inaunga mkono agizo la Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kufanya uchunguzi wa kina na...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    Mwalimu wa masuala ya dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Rusaganya, amewajia juu viongozi wa dini nyingine kwa kutoa matamko kuhusu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa Rais Samia anatukanwa sana, hivyo ni vyema viongozi wa dini nyingine wakaacha kutoa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nov 12: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

    Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

    Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TLS kuwasaidia kisheria bila malipo watuhumiwa waliokamatwa au kufunguliwa mashtaka kuhusiana na matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na mashirika ya haki za binadamu nchini, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kinapenda kuutangazia umma kuwa kitatoa msaada wa kisheria bure kwa watuhumiwa wote...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale sina mpinzani jimboni Morogoro Kusini Mashariki, ndio maana nimeshinda kwa asilimia 91

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mch. Stephen Ling'hwa: Hapo jirani na Kanisa letu wameuliwa watu 13, tukimsikia mtu anasema wameuliwa watu 10 nchi nzima tunamshangaa

    “TUNAPOSIKIA MTU AKISEMA WAMEKUFA WATU 10 TU NCHI NZIMA, TUNAMSHANGAA SISI KAMA WATUMISHI WA MUNGU” "Hapo juu kanisani kwetu watu 13 wamekufa kwa mpigo, na maeneo mengine katika mji wetu, ilionekana miili imelala mabarabrani. Kwa hiyo tunaposikia mtu anasema wamekufa watu 10 nchi nzima...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Stephano Musomba: Tunawaombea waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu, kwa sababu hawa hawajaumwa walipigwa risasi

    Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu Stephano Lameck Musomba O.S.A “Tunaadhimisha misa hii nia zetu tatu, kwanza tunawaombea waliouawa...
Back
Top Bottom