uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Butiku: Tishio la kupigwa risasi liliwafanya watu kukaa ndani. watu milioni 5 mliambiwa mkae ndani na mlikaa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani watu milioni tano waliambiwa wabaki ndani na walitii agizo hilo. Ameongeza kuwa vijana...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamati Kuu ACT Wazalendo kukutana Januari 18, Dar kujadili ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Katika kikao hicho, Kamati Kuu inatarajia kupokea na kujadili taarifa ya Sekretarieti ya Chama Taifa na kutoa maelekezo ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa - vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

    Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi. "Kwa bahati mbaya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

    Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marafiki wapya wa Samia baada ya Uchaguzi Mkuu, wataweza kusapoti miradi ya utunzaji wa mazingira kweli?

    Wakuu, Tushazoea kuona nchi za Ulaya, Marekani ambao walikuwa ni partners wetu wa maendeleo kwa muda mrefu wakiwa wanajali kuhusu mazingira Kuna projects nyingi sana ambazo zilianzishwa na nchi za Kimagharibi regarding mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi. Lakini kutokana na yale...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asha Hussein Saleh wa CCM ashinda kiti cha Ubunge Fuoni

    Chama Cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa mbunge Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Matokeo ya uchaguzi huo yalitangazwa usiku wa jana Desemba 30, 2025 katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Wilaya ya Magharibi B, Msimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Godwin Mollel ashinda ubunge jimbo la Siha kwa asilimia 78.4 dhidi ya wapinzani wake

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwa ndiye mshindi wa Ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. Uchaguzi huo mdogo ulifanyika jana Desemba 30, 2025 baada ya kusogezwa mbele kutokana na aliyekuwa...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAWACHA: Uchaguzi mkuu wa 2025 ni batili

    BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema kuwa linaunga mkono tamko la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, la kupinga uchaguzi mkuu wa 2025 na kueleza kuwa uchaguzi huo ni batili. Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 20 Desemba 2025, Sharifa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kada wa CCM, Dkt. Marcossy: Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi

    Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi" Soma: Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe Kweli CDM nidhaifu mbele ya CCM hii? ambayo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini adai walitumika kubeba miili ya waliouawa kwenda kuwazika Makaburi ya Kondo

    Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo. "Dada...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Wanjohi wa Kenya: Mmeona Ripoti ya Madowo jinsi watu walivyouawa Tanzania? Kama ni kweli, naomba ICC iingilie

    Sehemu ya mahubiri ya Mchungaji Dr.John Chege Wanjohi (PhD), kutoka nchini Kenya ambaye pia ni Balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa. Nimeweka tafsiri isiyo rasmi; "Mmeona ripoti ya Larry Madowo na jinsi watu walivyouawa Tanzania? Kama tulichoona ni kweli, serikali imeua watu wengi kiasi kile...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umekataliwa hadi na SADC, AU halafu umeripotiwa kote Duniani kuwa umeua maelfu then unaomba sympathy EU? Na bado

    Hata kabla ya Uchaguzi, Bunge la Umoja wa Ulaya lilikuzungumzia sana namna unavyoteka na kupoteza watu. Ulivyo na kiburi uliwapuuza. Ukazidi kuwateka, kuwafira, kuwaua na kuwafungulia kesi za Uongo Watanganyika. Ukamkamata mwenyekiti wa Chadema wakakuambia muachie ukasema wewe hupangiwi...
  15. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

    Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. adriz de mbusii
  16. sanalii

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilipigwa risasi kwenye maandamano, nimepona, ila Samia ni sehemu ndogo sana ya tatizo kati ya matatizo makubwa tuliyo nayo

    Labda nianze kuuliza kimombo, "Have you ever thought that you will witness someone who is killing people very passionately and proudly, like it is something he was always dreaming of and it is now happening?" Binafsi nilidhamiria kuandamana hata ningekuwa peke yangu, kuonesha kuwa sikubaliani...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuendesha uchaguzi usiokizi vigezo ni uhaini, matumizi Mbaya ya fedha za Tanzania ni uhaini, Kusingizia watu kesi za uhaini ni uhaini, kubaka na kujua

    Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi. Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
  19. je parle

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyeshauri Watu kuuliwa bila sababu za kueleweka ni nani?

    Tangu internet imeachiwa sijapata hisia za mwanamke kabisa yani Kila nikiona hizo videos mtandaoni watu wamekufa kama mbuzi yan Sikudhani kama ingefika siku watanzania tukafanyiana vitendo vya kinyama kiasi hiki.? Unaua tu hata kama umetumwa lakin pia askari muwe mnatumia hata akili za kawaida...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ezekiah Wenje: Waliogombea Urais Tanzania hawakupinga ushindi wa Samia

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu...
Back
Top Bottom