Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"
"Uhalifu siyo ishu ya...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao walioko shuleni.
Makame alitoa wito huo mjini Tunduma wakati wa ziara maalum ya “Operation October 29”...
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari.
Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho Doyo Hassan Doyo wakati akizungumza na wakazi wa Kibamba, Dar...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, amesema kuwa Serikali ya CCM imeendelea kuthibitisha kujali elimu kwa vitendo, kwa kuwekeza kwenye misingi imara iliyopelekea kuzalisha wasomi wengi nchini.
Manara alitoa kauli hiyo leo aliposhiriki...
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Alawi Abdallah amewahakikishia Watanzania kuwa nchi yao ni tulivu na yenye usalama mkubwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
Alawi amebainisha hayo Mkoani Kagera wakati...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Jangwani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nassibu Hassan Kitabu, ametoa wito kwa wananchi wa kata hiyo kutoogopa vitisho vinavyoenezwa na baadhi ya watu wanaopanga kuzuia Uchaguzi Mkuu kupitia maandamano.
Akizungumza...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita.
Akizungumza...
Haina utofauti na UKAWA ambayo bado ilishindwa na hicho kichama cha Mafisadi CCM, hivyo siyo tu kuungana bali mikakati makini inahitajika kumnyanganya mtu tonge wakati na yeye ana njaa ni kipengele
Huyu Devotha mwenyewe kakimbia Chadema kwenda Chaumma alafu tena anataka waungane kwa nini...
Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho
Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya...
Msanii wa muziki wa Hip Hop Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema kundi la watu wanaotaka kuandamana siku ya Oktoba 29 wana hoja zenye nguvu,mashiko na hoja za msingi na huwezi kuzipuuza lakini zimekuja katika wakati ambao sio sahihi, amesema hata CCM katika ilani yao wana kipengele cha...
“Wananchi, msikubali kudanganywa na kuvuruga amani ya nchi yetu katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.”
— Insp. Canatus, Polisi wa Kata ya Dutwa, Bariadi, akizungumza na wananchi
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita.
Akizungumza leo...
Anawajaza upepo? au atafanya kweli? Ila kwa upande mwingine sina mashaka naye sana katika utendaji wake na kujitoa kwa namna fulani kwa wananchi
Tusubiri muda ufike tuone!
================
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amesema kuwa...
Mambo mengine ni kama Mungu kaamua kuwaumbua watesi wa Lissu hadharani.
Leo katika hali ya kushangaza shahidi wa upande wa serikali baada ya kuulizwa je bwana Luhaga Mpina angeweza kupata Haki yake kikatiba ya kugombea urais hasa ukizingatia watoa maamuzi ni majaji walioteuliwa na Rais ? Bwana...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kusimamia kukamilika kwa ujenzi wa tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mkoani Kagera, ambalo limefikia asilimia 70 ya utekelezaji. Amesema, iwapo ataendelea kuaminiwa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme, amefanya kikao cha ndani na wakazi wa Mjimwema ikiwa ni sehemu ya kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
Katika kikao hicho, Mndeme alikutana na makundi mbalimbali ya...
Mgombea wa Ubunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake haiwezi kukataa kuuza sukari nje ya Nchi Kwa sababu kuna baadhi ya watu wanaohoji kwanini Tanzania inauza sukari Nje ya Nchi kwamba Kutakuwa na upungufu wa Bidhaa hiyo
Bashe...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini
Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, amesema kuwa Chama Chake Cha Zamani Kwa sasa ni kimebaki kama NGOs
Wenje ameyasema hayo Leo Oct 16,2025 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mkoani Kagera kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.