GE2025 Mkeka Oktoba 29: Nani atatamba na odds zake?

GE2025 Mkeka Oktoba 29: Nani atatamba na odds zake?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Unatabiri nini kitatokea Oktoba 29, 2025?

  • 1. Wananchi hawatoandamana, uchaguzi utafanyika na Samia atachaguliwa kwa kishindo🤪

    Votes: 0 0.0%
  • 4. Samia atajiuzulu, uchaguzi utaghairishwa na kusogezwa mbele, CHADEMA wanarudi mzigoni🫡

    Votes: 0 0.0%
  • 5. Wapinzani wa mchongo watachukua kijiti mapema kabisa😁

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    7
  • Poll closed .

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,975
Reaction score
8,159
Wakuu,

IMG_20251014_185640_481.jpg

Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi.

ile tar 29 tukipata neno toka kwa tesha, 70% zitakuwa 200%😂😂😂 mambo yatataradadi, afu Gwajima akija kumalizia msumari aaaaaah, mbona vikwazo vyote vitakuwa vimeisha, tena tutaanza usiku huo huo kupiga nduru za mafanikio😂😂 tunahitaji cheche moja tu, mooojaaaaaa tu biashara imeisha.

Bila unafiki unadhani nini kitatokea siku ya uchaguzi? Utafanyika au reforms zitashinda? Lete mkeka huoooo
 
Iwe kwa maandamano ama njia yeyote, Samia haendelei tena kwa miaka mitano ijayo, kila sehemu amekataliwa, si taasisi za kidini hadi jeshini.

Hivi hiki kinachofanyika ni uchaguzi? hata kwenye kura za maoni kwenye CCM ilikuwa hamna kitu, wenyewe kwa wenyewe wakaanza kutofautiana hapo.

Piga ua, iwe mvua ama jua huyu bibi haendelei tena kwa miaka mitano, tupo hapa.
 
Wakuu,

Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi.

ile tar 29 tukipata neno toka kwa tesha, 70% zitakuwa 200%😂😂😂 mambo yatataradadi, afu Gwajima akija kumalizia msumari aaaaaah, mbona vikwazo vyote vitakuwa vimeisha, tena tutaanza usiku huo huo kupiga nduru za mafanikio😂😂 tunahitaji cheche moja tu, mooojaaaaaa tu biashara imeisha.

Bila unafiki unadhani nini kitatokea siku ya uchaguzi? Utafanyika au reforms zitashinda? Lete mkeka huoooo
Mpina ameshatolewa kwenye igizo, sasa wamebaki goigoi ili kuhakikisha ushindi wa 95% wa mama Kizimkazi, presha ya maandano ikiwa kubwa:elmoFire::elmoFire::elmoFire:
 
Back
Top Bottom