Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, amewataka Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu, akisisitiza kwamba bima haziwezi kumlinda mtu anayejiletea madhara kwa makusudi kutokana na kushiriki vurugu wakati wa uchaguzi. Akizungumza jijini...
Tatizo la kifedha sio la CHAUMMA pekee yake, tatizo la fedha ni la vyama vyote vya upinzani, kwasababu havina msingi imara wa mapato. Kwahiyo kampeni za vyama vya upinzani zinategemea kwa sehemu kubwa mapato ya mgombea binafsi mfano chama kama CHAUMMA akina ruzuku kinapata , kwahiyo ni nguvu ya...
Kuna tofauti, uchaguzi wa 2020 ulianza changamoto kuanzia kwenye uteuzi watu walienguliwa sana bila sababu watu wengi walikataliwa kupewa hata fomu za serikali, watu wengi pia walikataliwa kurudisha fomu za serikali na waliporudisha walienguliwa bila sababu kitu hicho mwaka huu 2025 akikuwepo...
Kulingana na mijadala iliyojitokeza kuhusiana na Kesi ya Mgombea Urais Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, Kuzuiliwa KUgombea Urais na Tume huru ya Uchaguzi ikidaiwa hana sifa za kuwa mgombea, Chombo cha habari EATV imemuhoji Wakili Maduhu William, wakili wa kujitegemea ambaye alieleza kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP (Mst) Balozi Simon Sirro ameongoza mazoezi ya pamoja yaliyohusisha vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani humo na kusisitiza kuwa lengo ni kuonesha kuwa vyombo hivyo vipo imara kutekeleza majukumu yao na wananchi waendelee kutekeleza shughuli zao za Maendeleo kwa Amani na...
Operesheni ofisa mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakary Kunga Oktoba 17, 2025 ameongoza jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kufanya mazoezi ya pamoja kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanya matembezi ya pamoja kwa kutembea maeneo mbalimbali mkoani Njombe...
Huko Karagwe, mkoani Kagera, shamrashamra za kampeni za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, zimevutia siyo tu wakazi wa eneo hilo bali pia wageni kutoka Denmark waliokuwa wakifanya kazi zao maalumu katika eneo hilo.
Ripota wetu ameshuhudia wageni hao wakivutiwa na...
Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania na waliosafiri kwa ajili ya biashara na masuala mengine Kimataifa na wenye haki ya kupiga kura hapo Oktoba 29, 2025, wamehimizwa kurejea nchini na kushiriki kikamiifu zoezi la Upigaji wa kura ili kushiriki katika kufanya maamuzi kwa nchi yao kwa kuchagua...
Maombi na dua maalum imefanyika ili kuliombea Taifa katik kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
Mgombea Udiwani wa kata ya Segerea Robert Manangwa ameongoza Dua/Maombi ya kuliombea Taifa amani
Dua hiyo imefanyika kwa kushirikiana na kamati ya...
Wakati Watanzania wengi wakingoja kutumia haki yao ya kikatiba kwa ajili ya kupiga kura tarehe 29 Oktoba, imeelezwa kuwa wapo wanaopotosha ili wanaowafuatilia walipie maudhui yao (subscription).
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Richard Thadei Mchomvu amesema wanaofanya hivyo...
Ukitazama uchaguzi wa mwaka huu, utagundua kuwa vyombo vyetu vya habari vimekuwa vikiweka msisitizo mkubwa kwenye masuala ya amani na haki. Hili si jambo baya, lakini ni muhimu watambue kwamba, wakati wakihubiri amani, kuna kundi la watu ambalo limekuwa likipaza sauti kuhusu utekaji, upoteaji wa...
Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo suala la Usalama wa Raia kwao siku hizi halionekani kuwa ndo msingi mkuu
Jeshi la wananchi mpaka mmeitwa jeshi la wananchi maana yake mkisema muwatoe wananchi ninyi sio jeshi tena, hamjaitwa jeshi la wanasiasa, hamjaitwa jeshi la serikali, hamjaitwa...
Wakuu,
Hapa hata kama unakuwa huelewi matamko makubwa makubwa, sijui maandiko marefu, hapa unaelewa! Ujumbe unafikishwa kama utani lakini ndio umefika hivyo, na unakaa akilini vizuri.
Kama wanavyotumia sanaa kuhamasisha watu kuachana na maandamano, amani bila haki, na propaganda za kipuuzi...
Wakuu,
Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni
M - Maandamano
O - October
29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe!
Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amewataka vijana nchini kutanguliza hekima na kujitambua wakati wa uchaguzi, akisisitiza kuwa kuna maisha marefu baada ya kura kupigwa. Amesema si sahihi mtu kujitumbukiza kwenye vurugu au migogoro ya kisiasa kwa sababu ya siku moja ya uchaguzi na...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.
BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo...
Mapema leo nchini Marekani kunatarajiwa kuwa na maandamano ya amani ambayo yatafanywa na watanzania waishio Marekani wakihitaji mambo kadhaa ambayo pia yanaendana na mahitaji ya ya maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Kesho tutafanya maandamano ya amani mjini Washington DC kwa ajili ya:
Demokrasia...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"
"Uhalifu siyo ishu ya...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao walioko shuleni.
Makame alitoa wito huo mjini Tunduma wakati wa ziara maalum ya “Operation October 29”...
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari.
Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho Doyo Hassan Doyo wakati akizungumza na wakazi wa Kibamba, Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.