uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Kakulukulu: Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde

    Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Wakizungumza kwa pamoja, viongozi hao wamesema...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura

    Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura. Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano ===================== Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, hawana mipango, hawana mikakati

    "kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, mchana na usiku na kazi yao ni kutukana, hawana mipango, hawana mikakati- wamegota. Mimi ninaamini katika taifa tunapaswa kutofautiana kwenye sera za kilimo, afya, maji lakini linapokuja suala la ulinzi na usalama na amani ya nchi yetu hilo ni...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Shoo: Ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura

    Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka. Akizungumza leo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yakifanyika kwenye vituo vya Kura, uchaguzi unaharishwa

    Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano. Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na vingine vinakuwa havina ulinzi wala usimamizi. Polisi wakisema watumie nguvu kutawanya watu, watawanya...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Judith Mhina: Kila mtu ana jukumu katika kuhimiza amani nchini

    Wakati taifa likielekea katika uchaguzi mkuu, wa kuwachagua viongozi mbalimbali akiwemo Rais, Wabunge na Madiwani, Taasisi ya mwanamke na nguvu ya kijani nchini, imeandaa kongamano la viongozi wa dini, wafanyabiashara vijana na taasisi mbalimbali lengo likiwa kuhamasisha amani. Akitoa taarifa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Chama kinachosusia uchaguzi ni cha fujo, nimepata wokovu CCM

    Wenje tangu ahamie CCM amecharuka zaidi :Alien: :Alien::Alien: Vituko vinaendelea huko Wenje anasema amepata wokovu CCM leo hii anaiponda CHADEMA eti ni hawana mipango wanashinda Mtandaoni kazi yao nge nge nge nge nge Uchawa ni mbaya yaani kama vile siyo Wenje wa enzi zile -----------...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madereva bodaboda Dar es salaam: Tuko tayari kutiki Oktoba 29 na tutawabeba bure watakaoenda kupiga kura

    Shirikisho la madereva pikipiki wa mkoa wa Dar es salaam(SHIVYAMAPIDA)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wametambulisha kampeni yao mahsusi kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumuunga mkono mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), Dkt...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo ajibu ombi la mwananchi 'Nimesikia kilio cha watu wangu Kagera'

    Baada ya mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Kagera kueleza kero wanazokumbana nazo akimuomba Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo kuwa endapo atapata ridhaa ya nafasi hiyo basi awasaidie Miongoni mwa Kero alizoeleza ni Kodi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda atua kwa Mafundi Gereji Kuomba kura kwa Rais Samia, waahidi Mitano tena

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni ndani ya jimbo hilo ambapo alikutana na Umoja wa Mafundi wa Suye Garage, ambapo aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 Akizungumza...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu Nchemba: Wapuuzeni wanaosema tumechapisha fedha, nchi ina akiba ya Dola Bilioni 6.7 (sawa na Trilioni 16)

    Mgombea Ubunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za uongo mtandaoni kwamba serikali imechapisha fedha kwa ajili ya kufadhili shughuli za Uchaguzi Mkuu ujao. Amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda wa Polisi Morogoro, SACP Alex Mkama: Hatufanyi Mazoezi ili kutisha watu

    Code zenu tunazijua wakuu na hamuwezi kufunguka maana tayari mmejawa woga kuhusu hatua inayofuata Wananchi wamechoka ujinga unaoendelea ------------- Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mkoani Morogoro leo Oktoba 18, 2025, yamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuimarisha mshikamano, ushirikiano...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Rufiji: Tukapige kura tuache kufuata maneno ya wanasiasa ya kuandamana, Oktoba 29 Tiki 3 kwa CCM

    Hawa ndo vijana wanaotegemewa kukomboa Taifa :FeelsWeirdMan: :FeelsWeirdMan::FeelsWeirdMan: ----------- “October ni uchaguzi, na uchaguzi ni wa wananchi! Wananchi ndiyo wenye mamlaka ya mwisho ya kuamua mustakabali wa Taifa lao. Sauti ya wananchi ndiyo sauti ya Mungu. Tarehe 29 October...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Tabora: Mtu mmoja akamatwa Tabora kwa kuhamasisha maandamano. Wananchi jitokezeni kupiga kura

    Vyombo vya Usalama mkoa wa Tabora vimemkamata na kumshikilia mwanaume mmoja kwa makosa ya kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, akidaiwa kuandika maneno yenye nia hiyo kwenye nyumba za watu, ambapo Mkuu wa Mkoa huo Paulo Chacha ametoa tamko rasmi la kuanza oparesheni...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wangu ameninyang'anya simu. Amesema atanirudishia mpaka uchaguzi upite, hataki yanikute

    MKE WANGU AMENINYANG'ANYA SIMU AMESEMA ATANIRUDISHIA MPAKA UCHAGUZI UPITE. HATAKI YANIKUTE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kiukweli nimetukanwa na wadau sana. Wanasema mke wangu ameniweka kiganjani. Amenikalia na sifurukuti. 2. TaikonMaster unawezaje kunyang'anywa simu na mwanamke? 3...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Sauti ya wananchi inasikika kwenye sanduku la kupiga kura, Tupeni kura za kutosha tupiganie maendeleo

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wana wajibu na haki ya kushiriki uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29, 2025 akibainisha kuwa sauti yao inasikika zaidi kupitia kura wanazopiga kuwachagua viongozi wanaowataka. Akizungumza na wazee katika...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 SAU watupia lawama INEC kwa dosari za uratibu wa ratiba za kampeni

    Mgombea urais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara ameilalamikia Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) akidai kuwepo kwa changamoto katika uratibu wa ratiba za kampeni, jambo linalosababisha mkanganyiko na migongano katika maeneo ya mikutano...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila: Watakaojizima Data Oktoba 29 , tutawawasha Data

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli ya Mamlaka iliyotolewa Na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila kuwaasa wale wote watakao kufanya kujitoa akili au kujizima Data na kutaka kuleta vurugu siku ya uchaguzi. Amesema ya kuwa...
  19. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yawaonya CCM Kigoma mjini, 'Msiharibu uchaguzi'

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, David Rwazo, imetoa onyo kali kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma baada ya Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo hilo kubaini vitendo kadhaa vinavyokiuka maadili ya uchaguzi vinavyofanywa...
  20. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kanali Evans Mtambi: Ukipandisha homa ya uchaguzi, usilete fujo tutakushughulikia

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa onyo kali kwa watu wote watakaothubutu kuvuruga amani kwa kile alichokiita homa ya uchaguzi akisema Serikali haitamvumilia yeyote atakayehatarisha utulivu katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 Akizungumza Oktoba 16, 2025...
Back
Top Bottom