uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Hakuna atakayeleta Nyonyonyoo Oktoba 29, halafu tumuangalie tu!

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewatoa hofu Wafanyabiashara wa Ubungo, Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuwa tarehe 29 hakuna atakayewasumbua kwa kudai kuwa kuna maandamano badala yake wajiandae kufanya biashara kama kawaida kwani ulinzi na usalama utakuwa wa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Msisubiri hadi Oktoba 29, tokeni leo

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Wakili Albert Msando, amewataka wafanyabiashara wilayni humo na Watanzania kwa ujumla kuondoa hofu kuhusu taarifa za kuwepo maandamano Oktoba 29, akisisitiza kuwa siku hiyo kutakuwa na amani na shughuli zitaendelea kama kawaida. Akizungumza Oktoba...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Kwa miaka minne Samia ameonesha uwezo mkubwa na ujasiri wa kuongoza Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo inayowafanya Watanzania wampe miaka mingine mitano ya kuongoza. Amesema kukamilika kwa miradi mikubwa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wachagueni Madiwani wa CCM, mkiwachanganya na wa vyama vingine mtajicheleweshea Maendeleo

    Akiomba kura kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge kwenye majimbo na Kata za Mkoa wa Rukwa leo Jumapili Oktoba 19, 2025, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi kuwachagua wagombea hao na kutowachanganya na wengine, ili iwe...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Tuishi katika Misingi Imara ya Kiroho na maadili mema

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, leo ameshiriki ibada maalum na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Ngarenaro, lililopo katika Kata ya Ngarenaro, Jimbo la Arusha Mjini. Katika ibada hiyo ya...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Udiwani Ilala: Atakayemkwamisha Samia tutaanza naye kabla yake

    Mgombea udiwani wa kata ya ilala Saady Khimji( Home Boy) amesema Chama Cha Mapinduzi, CCM Kinafanya jitihada kubwa ya kuinadi ilani yake kupitia majukwaa na Kampeni mbambali zinazofanywa na Wagombea wa Chama hicho Akizungumza Leo Oktoba 18, 2025 katika Mkutano wa kuwatambulisha na kuwanadi...
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Serikali ya Samia imevunja rekodi ya kuajiri vijana wengi zaidi

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka rekodi ya...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini tunasema kuna mtu mwingine anaendesha nchi? Hatuamini Samia anaweza kuwa ndio msimamia shoo mwanzo mwisho?

    Wakuu, Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike! Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi: Hatutawaacha nyuma waendesha Bajaji na Boda Boda

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kujenga masoko katika kila wilaya na mkoa ili kuandaa mazingira bora zaidi kwa wajasiriamali nchini...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Kamanda Mutafungwa awatoa hofu wananchi. Asema ulinzi umeimarishwa kila kona

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Wilbrod Mutafungwa, amewahakikishia wananchi usalama na kuwataka kushiriki shughuli za kisiasa bila hofu yoyote, kwani Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limeimarisha ulinzi katika maeneo yote...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ na Polisi Morogoro wafanya mazoezi ya pamoja kujiimarisha kiulinzi na usalama

    Majeshi ya Ulinzi na Usalama mkoani Morogoro Oktoba 18, 2025, yamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuimarisha mshikamano, ushirikiano na utayari wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao. Akizungumza wakati wa mazoezi hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Mgombea ubunge jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa akipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa wapiga kura wake

    Innocent Bashungwa Mgombea ubunge jimbo la Karagwe kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika...... "Rugera - Karagwe Upendo wa Wanakaragwe ni wa kipekee, kila ninapokutana na mwananchi mmoja mmoja au makundi mbalimbali, nimeendelea kushuhudia upendo, imani na mshikamano mkubwa, hususan...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumuiya ya maridhiano Shinyanga yaiahidi serikali kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi mkuu

    Jumuiya ya Maridhiano ya Mkoa wa Shinyanga imewasihi wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29 mwaka huu, wakisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kutimiza haki ya kikatiba ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kuanzia ngazi ya kata. Tamko hilo limetolewa leo...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Bulaya aingia kwa Boda Boda kampeni mtaa kwa mtaa

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Ester Bulaya ameendelea kampeni za Mtaa kwa Mtaa akiomba kura Jimboni humo ambapo leo Mtaa wa Kiwasi Kata ya Waliku akivamia kata hiyo kwa Boda boda.
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tusivurugane Akili, Lengo Linabaki Lilelile: No reforms, No election

    Oktoba 29 dhumuni ni lile lile Watanzania walilo jiwekea: Bila ya Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi. Sasa kwa nini tuanze tena kutafuta visababu vya kupotezeana akili? Maandamano nchi nzima ni nyenzo muhimu ya kuzuia uchafuzi huo aliojipangia Samia na Genge lake ili abaki madarakani kwa nguvu. Kwa...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

    Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria. Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Makini Chawaonya Watanzania Kutojihusisha na Maandamano Siku ya Uchaguzi

    Chama Cha Makini kimetoa rai kwa Watanzania kutoshabikia au kushiriki maandamano yanayohamasishwa kufanyika siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, na badala yake wajitokeze kwa wingi kupiga kura kisha kurejea majumbani kusubiri matokeo kwa amani. Kauli hiyo imetolewa na mgombea urais wa Jamhuri ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tupeni kazi tukawaheshimishe

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya upendo yaliyotamkwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yamwaga bilioni 1.6 kwa wananchi wa Uvinza walioachia eneo la SGR kama fidia

    CCM wanambinu zao za dakika zajioni katika kuzitafuta kura. Lakini kama uchaguzi usikuwepo mwaka huu basi bila shaka wananchi wakeendela kuteseka katika kudai fidia zao ==================== Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imelipa zaidi ya shilingi bilioni 1.6 kwa wananchi 213 wa...
Back
Top Bottom