Na. M. M. Mwanakijiji
Oktoba 29, 2025 yaweza kuwa siku itakayoamua mwelekeo wa demokrasia katika Tanzania. Siku hiyo inaweza kuamua yale yatakayoendelea kutokea katika nchi yetu kuanzia Oktoba 30 na kuendelea kwa miaka mingi ijayo. Tukio moja limepangwa na huwa linatabirika; Uchaguzi Mkuu wa...
Akizungumza katika Kongamano la Amani la Viongozi wa Dini mbalimbali linalofanyika Mwanza leo Oktoba 20, 2025 Mwenyekiti wa amani mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassana Kabeke amesema kuwa tunapoenda kupiga kura Oktoba 29, 2025 hatuendi kuchagua dini wala jinsia bali tunaenda kuchagua kiongozi...
Shabiki wa Klabu ya Yanga, Mzee Mpili amesema kuwa wanaotaka kuandamana Oct 29,2025 wanatafuta Matatizo
Mzee Mpili ameyasema hayo Leo Oktoba 20,2025 katika uwanja wa Ujamaa Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani Kwenye Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 ya Mgombea wa kiti...
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari
Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
Jamii hasa vijana, wamekumbushwa kutambua kwamba tunu ya pekee katika taifa ni amani, upendo na mshikamano hasa katika kipindi hiki kuelekea zoezi la kupiga kura na kwamba ni jukumu la kila mmoja kulinda na kuhakikisha uwepo wa amani hiyo.
Hayo yamebainishwa leo Oktoba 20, 2025, na aliyewahi...
Makundi ya waendesha bodaboda na wamachinga yamezunguka katika mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam ikiwemo Posta, Kisutu, Kivukoni, Kariakoo, Karume, na Buguruni, yakihamasisha wananchi kulinda amani na kujitokeza kupiga kura siku ya tarehe 29 Oktoba. Akizungumza na waandishi wa habari...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani akijibu kuhusu hatua watakazochukua katika kulinda usalama katika vituo vya kupiga kura amesema hatua ya kwanza ni kutoa elimu kwa wapiga kura kufuata masharti elekezi, kuwa na polisi wa kusimamia kituo. Pia...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu Kamishna Msaidizi wa Polisi Edith M. Swebe Oktoba 20, 2025 ametoa wito kwa Wananchi na Wakazi wa Mkoa wa Simiyu kuelekea uchaguzi Mkuu kuwa utafanyia kwa amani na utulivu hivyo kila Mwananchi ahakikishe analinda amani.
Rai hiyo imetolewa kupitia kituo cha redio...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Wakili Albert Msando, amewataka wananchi wa wilaya hiyo na Watanzania kwa ujumla kuondoa hofu kuhusu taarifa za uwepo wa maandamano Oktoba 29, akisisitiza kuwa siku hiyo kutakuwa na amani na shughuli zitaendelea kama kawaida.
Soma: DC Msando...
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo waliojiandikisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, bila kuwa na hofu yoyote.
Babu ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, ameyasema hayo mjini Moshi, alipokuwa akizungumza...
"Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura ili kuwachagua viongozi wanaowataka
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema nchi ipo salama, wananchi wakumbushwe na kuhamasishawa kuwapigia kura wagombea wenye sifa ambapo kwa upande wa urais ni Dk. Samia Suluhu Hassan anayetokana na CCM.
Amesema zipo propaganda chafu katika mitandao...
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha NRA, Almas Kisabya, ameahidi kutunga sheria kali za kupambana na mmomonyoko wa maadili nchini, sambamba na kufuta bili za maji kwa wananchi, ambapo gharama zote zitabebwa na serikali.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza serikali, atahakikisha anajenga kiwanda cha saruji mkoani Mwanza ili kupunguza gharama za ujenzi.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wilayani Misungwi, Kunje alibainisha...
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anjelah Kairuki, ameahidi kutatua kero ya maji inayowakabili wananchi katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, ikiwemo Mpiji Magohe, Msigani na Mbezi Msumi.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Mbezi...
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetoa wito kwa walimu kote nchini kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, sambamba na kutumia nafasi yao muhimu katika jamii kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa kushiriki zoezi hilo la kidemokrasia.
Wito huo umetolewa na Rais wa...
Mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Jimmy Kibonde, amesema yuko tayari kuvaa viatu vya hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo, uaminifu na uwajibikaji mkubwa endapo atapewa dhamana ya kuongoza taifa.
Soma: Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda...
Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi.
---
Upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.