uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Malaigwanan Kilimanjaro: Tunalaani wote wanaohamasisha maandamano

    Malaigwanan Kilimanjaro waahidi kuwachagua walinda amani na mshikamano wa Taifa_ Viongozi wa Jamii ya Kimasai nchini Tanzania maarufu kama (Malaigwanan) wametoa tamko lao rasmi kwa nchi nzima, la kuunga Mkono kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025, wakilaani uwepo wa hamasa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

    Wakuu, Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda wa Polisi Tanga: Anayefikiri kuweza kuvunja amani asijidanganye na asijaribu, Tutawashughulikia

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Tanga kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, akibainisha kuwa hakuna tishio lolote la amani...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ACT Zanzibar, Othman Masoud asema ushindi upo katika Kura

    Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ahitimisha Kampeni Pemba Kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Oktoba 20, 2025 ameanza wiki ya mwisho ya kuhitimisha rasmi kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba. Mamia ya wanachama, wapenzi na viongozi wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita Awataka Askari Kuimarisha Uadilifu na Usalama Kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Picha mbalimbali zikimuonesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, akikagua gwaride na kuzungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali katika viwanja vya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Geita, Oktoba 20, 2025. Ukaguzi huo ni sehemu ya tathmini ya mifumo ya utendaji...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kagera: Kuna watu wanasema nasapoti ACT Wazalendo niseme wasiwadanganye. Nimezaliwa CCM nitafia CCM

    Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye! Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako? ================ MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati huu wa uchaguzi wanaitwa maafisa usafirishaji ila baada ya uchaguzi madereva Bajaji

    Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Mhe. Hassan Bomboko amefanya ziara ya kuwatembelea na kuzungumza na maafisa wasafirishaji (waendesha bodaboda na Bajaj) Wilayani humo na baadae alipata nafasi ya kuhudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa Bajaj uliohudhuriwa na zaidi ya madereva bajaji 650...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC tutamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani saa 72

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania Hata mmoja atakayeandamana hata kuzunguka Uwanja wake tu. Wote watakwenda kumpigia kura Mama Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaambieni ya Kuwa hakuna Mtanzania hata mmoja ambaye ataandamana hata kuzunguka tu uwanja wake au sebuleni kwake au chumbani kwake au nyumbani kwake siku ya uchaguzi. Watanzania wote wamejiandaa kikamilifu kabisa kushiriki uchaguzi . Na kikubwa zaidi ni shauku...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nini sitapiga kura Octoba 29 hizi hapa ndiyo sababu zangu

    GT Ivi unaanzaje kupoteza mda kwenda kumchagua Samia.Wenye mtindio wa ubongo pekee ndiyo watapiga kura 1.Kauza Bandari na Rasilimali zingine nyingi tu 2.Kafukuza wamasai Ngorongoro kwa uonevu mkubwa. 3. Deni la Taifa Tr107 bila maendleo ya kuonekana 4. Muuaji na mtesaji.Mkubwa huyu hana...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura

    Jamani njooni msikilizeni mzee wa protokali Steve Nyerere! Hapo kashapata posho yake ya kifisadi basi ananguvu zote za kutanua mdomo wake =============== Watanzania wamenituma, wameniambia Nyerere tunatoka kwenda kupiga kura tunatoka kwenda kutiki, wamama wa Tanzania wamenitumia meseji Nyerere...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali Kuboresha Vijiji kupunguza wimbi la Vijana kukimbilia Mijini

    Kwahiyo ukiboresha maeneo ya vijiji ndio suluhu la vijana kuyasaka maisha mijini? Hizo ni sera za uongo hakuna kitachofanikiwa! Na katika utafuta wa maisha ni maono ya mtu tu ndio maana kuna wanaotoka mjini kwenda vijijini na wakafanikiwa so kila mtu anauhuru wa kutafuta maisha popote pale...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama makini kinachojali wananchi kisingetumka gharama kubwa namna kwenye Uchaguzi usio na upinzani

    Maendeleo ya Tanzania bado ni duni sana. Shule nyingi vijijini zimechoka hazina vyoo, madarasa,. Zahanati nyingi vijijini zimechoka. Alafu mgombea wa Chama tawala anazunguka na wasanii, mabasi 200, wafuasi na chawa wa chama zaidi ya 10000 kwa gharama kubwa. Kwa nini hizo pesa zisitumike kwa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Charles Sekelwa: Maandamano siku ya kupiga Kura hayana manufaa yoyote

    Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza, Askofu Charles Sekelwa, amewasihi Watanzania kwenda kupiga kura, akibainisha kwamba kutaka kufanya fujo na maandamano siku ya kupiga kura ni jambo ambalo halina manufaa kwa yeyote. Akizungumza katika kongamano la amani la viongozi wa dini...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunapowaambia hakuna wa kuzuia uchaguzi muwe mnaelewa. TEC wafyata mkia vibaya sana

    Wanaukumbi. (✍️ na mchambuzi wetu) TUNAPOWAAMBIA HAKUNA WA KUZUIA UCHAGUZI MUWE MNAELEWA..TEC WAFYATA MKIA VIBAYA SANA. KUMEKUWA na porojo za muda mrefu sana kuwa kuna wanaharakati uchwara wanaweza kuzuia uchaguzi usifanyike na wanadanganyika na kauli za watu kama akina heche kuwa wanazuia...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Anayekushawishi uvunje amani, mwambie akupe kwanza hela ya kula ya miaka 10 ijayo

    Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewaambia wananchi kwamba yeyote anayewashawishi kuandamana badala ya kupiga kura Oktoba 29, 2025, awalipe kwanza fedha za kujikimu kwa kipindi cha miaka 10. Akizungumza Jumatatu Oktoba 20, 2025, alipokuwa na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Udiwani Mzinga waahirishwa baada ya kifo cha Mgombea wa CUF

    Wagombea muombeane heri!. Maana hivi vifo vinazidi sana. Na kunagharama mtu alishazifanya za kampeni na mambo mengine so uchaguzi unapoharishwa kuna mambo yanabadilika kabisa! =============== Uchaguzi wa Udiwani katika Kata ya Mzinga, Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, umeahirishwa kufuatia...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moza Ally: Nitakuwa mbunge wa kuwasemea wananchi kwa kujenga hoja badala ya kuwa mbunge wa kukubali kila kitu

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally amesema akichaguliwa na wananchi wa jimbo hilo akaenda bungeni atakuwa mbunge mwenye kuwasemea wananchi wake kwa kujenga hoja badala ya kuwa mbunge wa kukubali kila kitu. Moza ameyasema hayo leo Oktoba...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza: Tusikubali kutoa kauli sisi viongozi wa dini ambazo zinaweza kuleta madhara baadaye

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda, ameisihi jamii ya Kitanzania kuwaepuka watu aliowataja kufanya uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani katika taifa, akisema ikiwa jamii na viongozi wataruhusu hayo, itasababisha madhara ambayo ni vigumu kuyashughulikia. Mtanda ameeleza hayo katika kongamano...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa ADC: Mkinichagua kula bata itakuwa ni "Lifestyle"

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema miongoni mwa mikakati yake endapo atachaguliwa kuwa Rais ni kupunguza ugumu wa maisha kwa Watanzania na kuwezesha Watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora)...
Back
Top Bottom