"Wale wanaotamani kuingia barabarani nawakataza, wasithubutu, ni marufuku, wasitoke mtu hata mmoja sababu maandamo bila kibali ni haramu" ACP John Imori.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote
Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika...
Ncha ya Mkuki haipigwi kwenzi! Kuna watu walifikiri Samia ni dhaifu, wangemwendesha kama mwanasesere. Wakajidanganya kwamba hakustahili kuwa Rais. Samia ni Rais kwa Matakwa ya Mungu na atabaki hapo kwa muda mpaka Mungu akipenda na siyo akina Polepole na wahuni wenzie walivyotaka!
Kila jambo...
Kada wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho ametoa ya moyoni akihoji namna ambavyo fedha za kununulia magari ya wagombea urais zilivyopatikana akibainisha kuwa kila gari ina thamani ya Tsh. 500 Milioni.
Luhaga ambaye pia aligoma kupewa gari hilo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza sababu ya kushindwa kuweka picha ya Dkt. Samia Suluhu Hassan katika fedha aina ya Noti Kwa sababu Dkt. Samia hapendi sifa yeye anataka kazi ndio ionekane na sio picha yake katika fedha...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema mafanikio makubwa yanayoonekana katika sekta ya bandari nchini ni matokeo ya uongozi makini, wa kisasa na wa kisayansi chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amefanya maamuzi ya kimkakati...
Rashid Makwiro almaarufu kama Chid Benz Msanii wa Bongo fleva ameonekana akiwa pamoja na Msanii Shetta ambaye pia ni Mgombea Ubunge CCM Kata ya Mchikichi wakiwa katika mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya haki nchini Tanzania imeimarika katika kipindi cha miaka mitano ya serikali ya awamu ya sita, akisema kuundwa kwa Tume mbalimbali za marekebisho...
Ila tumekubaliana wazee walale ndani wasizungumzie hili suala la maandamano.
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), mkoani Dar es salaam, Abbas Mtemvu amesema kwa pamoja wazee wa mkoa huo wameamua kuwa hawataruhusu maandamano yenye kuchochea vurugu kufanyika mkoani humo...
Leo oktoba 22 kituo cha tafiti za maendeleo na demokrasia (CIP) kimewasilisha taarifa ya utafiti wa kura ya maoni uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, Mwaka huu 2025 ni mwaka wa uchaguzi lakini mpaka kufikia tarehe 29 kuna michakato mingi inayofanyika kuelekea uchaguzi mkuu.
Vyama...
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Benjamini Kuzaga, amewaomba waandishi wa habari mkoani humo kutumia kalamu zao kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa amani katika kipindi hiki ambacho taifa linatarajia kufanya uchaguzi mkuu.
Kwenye mdahalo wa kuangazia...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kusini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Aden Mayala amekihama chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika viwanja...
Hawa wazee wa CCM wakubali tu wamechoka maana wakienda bungeni watajikuta wanasaini mikataba ya kutuuza kabisa
Zungu jamani kweli ndo kuzuia maji taka kuua samaki barabarani au ndo mradi mpya wa CCM wa makazi mapya ya samaki:confused: waachieni wenye afya na nguvu imara ya kuongoza nchi mkalee...
Leo Oktoba 22, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro wakati akifungua Semina ya Amani iliyokutanisha viongozi wa dini mbalimbali Kanda ya Kaskazini inayoongozwa na kauli mbiu "Kupiga kura ni haki yetu na Amani ya Taifa letu ni wajibu wetu"...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, George Mbesigwe, amevitaka vyombo vya habari kufuata sheria, kanuni na maadili ya taaluma zao wakati wa kipindi cha uchaguzi, akisisitiza kuwa ni muhimu kutoa taarifa kwa ufasaha, uwiano na bila upendeleo.
Akizungumza leo Oktoba 22 katika kipindi cha...
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Shaban Mlewa, amesema hakuna amani ya kweli inapokosekana haki na usalama wa uhai na mali, akisema kuua mtu mmoja ni kuondoa amani kwa jamii nzima.
Ametoa kauli hiyo leo Oktoba 22,2025 Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, katika Semina ya Amani iliyokutanisha...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti, Bara wa chama hicho, John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu.
"Kama kukamatwa kwake John Heche...
Aliyekuwa mgombea ubunge wa viti maalumu kupitia Umoja wa Wazazi wa CCM, Olivia Chagula, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kushiriki uchaguzi mkuu kwa kupiga kura bila hofu akisisitiza kuwa usalama umehakikishwa kama alivyoeleza Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan...
Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohammed Shayo amehimiza wananchi kuendeleza utulivu na mshikamano kabla na baada ya uchaguzi uliopo kwani sio desturi ya watu wa Kilimanjaro kuandamana bali ni kutafuta pesa na kuinuka kiuchumi.
Ni kweli, lakini uchaguzi wa mwaka huu umejaa dosari mapema sana!
Ukitizama hata mgombea wa chama tawala ndani ya chama chao utaratibu ulivunjwa kumpitisha, lakini wakakaza fuvu! Tunasema uchaguzi huu ni batili
=====================
Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation, Dokta Khamis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.