Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani kama ulivyopangwa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, ACP Gallus ameonya kwa yeyote atakayefanya uhalifu au kutotii sheria...
Nimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Nchi yetu imeshanajisiwa..
Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa...
Kauli aliyoitoa leo Samia Oktoba 21, 2025 pale Kinondoni yakusema Mimi ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, Oktoba 29 maandamano pekee yatakayotokea ni ya kwenda kupiga kura, naona imewapa viburi zaidi polisi na vyombo vya ulizi na usalama kwa ujumla.
Yani kauli yake ni oda kubwa kwamba kila...
Samia anapenda kupita na upepo wa jambo fulani ili azipate hizo kura.
================
"Tukapomaliza barabara zote, ni fursa muhimu kwa sekta binafsi kupata kazi ya kubeba abiria na kurudisha, kazi hiyo kwa kiasi hatutaki kuifanya sisi serikali bali sekta binafsi wataingiza mabasi yao na...
Mawakili wa Mpina leo wamechochea moto tena!
Ni kweli kabisa kwanini watu wengine wasiojiwe na wanadai wenyewe Tanzania ni nchi inayongozwa Kidomokrasia lakini kumbe inaendeleshwa kimabavu.
Lakini Mawakili hao wamesema kwamba hata mchakato ulifanyika kumuondoa Luhaga Mpina kwenue kinyanganyiro...
Lets be real and logical, kinavunwa kilichopandwa, matokeo bila planning ni sawa na kupanda mbegu ya maboga usubiri mavuno ya mchele,
Hadi sasa nje ya Instagram, X na matangazo katika kuta za mitaani yaliyowekwa usiku wa manane, kuna cha ziada ?
Hakuna magroup rasmi ya kujipanga katika ngazi...
Mwenezi wa Itikadi, Siasa na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekutana na zaidi ya waendesha bodaboda 300 jijini Arusha na kuwasihi kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kuratibiwa kupitia mitandao ya kijamii tarehe 29 Oktoba, akisisitiza umuhimu wa kulinda...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limewataka Wananchi wa Mkoa wa Njombe kuwa huru na kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe Oktoba 29,2025 bila hofu yoyote
Akizungumza na Vyombo vya habari Oktoba 20,205 Kamanda "amesema mtu yoyote ambaye atakikuka sheria za nchi ya Tanzania Jeshi la Polisi...
Kada wa wa zamani wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Ezekia Wenje amesema kuwa wapinzani wa ndio waliochelesha upatikanaji wa katiba mpya, wenje ameyasema hayo wakati akizungumza katika kampeni za chama cha mapinduzi CCM leo Oktoba 21, 2025 Jijini Dar Es Salaam
“Waliochelewesha...
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema matusi anayotukanwa anayabeba kwa niaba ya wananchi.
Pia, amesema maandamano yatakayokuwepo ni ya kwenda kupiga kura na siyo maandamano mengine.
Samia amesema hayo leo Oktoba 21, 2025 kwenye mwendelezo wa kampeni...
Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka.
Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wafuasi wa chama hiko kujitokeza kupiga kura siku ya Oktoba 29, 2025, na kuwahakikishia kuwa hakutakuwa na maandamano zaidi ya maandamano ya kwenda vituoni kupiga kura.
"Niwahakikishie tarehe 29...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia CCM, Abbas Tarimba amesema hawezi kukaa kimya atakapoona kuna watu wanamkosea heshima kiongozi wa nchi.
Soma: Tarimba: Wananchi ndio wenye mamlaka yakutoa viongozi
Tarimba ametoa kauli hiyo leo Oktoba 21, kwenye mkutano wa kampeni za mgombea urais wa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Abdul Nondo, amesema miaka mitano iliyopita ya uongozi nchini imeshuhudia ongezeko la matukio ya utekaji watu bila hatua madhubuti kuchukuliwa, huku...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi.
Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Kibamba Mkoani Dar Es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Angellah Kairuki amesema katika kipindi kifupi alichofanya kazi chini ya Rais wa awamu ya sita na Mgombea Urais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa shahidi wa huruma, imani na kujali kwa...
Tanzania inaamua
Rais wa Tanzania Suluhu ashtakiwa kwa kuwafungia washindani nje ya kinyang'anyiro siku chache kabla ya uchaguzi
-------------
Shirika la Kimataifa la Amnesty International limetoa taarifa ikieleza kuwa mamlaka za Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa...
Viongozi wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, maarufu kama Malaigwanani, wametoa tamko rasmi la kuunga mkono kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, huku wakipinga vikali wito wa maandamano unaosambazwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Tamko hilo limetolewa katika eneo la Donyomorwak...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Oktoba 20, 2025 amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kufanya doria ya Magari, Miguu na Mbwa wa Polisi kuzunguka maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.
Akizungumza mara baada ya doria...
Mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiwani, Hemed Suleiman Abdulla, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kiwani kuchagua viongozi wanaoweza kuwatumikia na kuwaletea maendeleo jimboni humo.
Ameyasema hayo kwa nyakati tofauti alipozungumza na kuomba kura kwa wananchi wa vijiji vya Kendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.