uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Victoria Shembilu: Wananchi tuzeni, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao

    Wananchi wa Kijiji cha Minazi Mikinda, Kata ya Ruvu Stesheni, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani wamekumbushwa kutunza, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao. Akizungumza na wananchi kijijini hapo, Oktoba 21, 2025 Kaimu Mkuu wa Polisi Jamii, Wilaya ya Kipolisi...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Mchunguzi: Wananchi dumisheni umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura. Ametoa wito huo leo tarehe 21 Oktoba 2025 kupitia kipindi maalum...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maafisa usafirishaji watakiwa kudumisha amani wakati na baada ya uchaguzi

    Wasafirishaji abiria wanaotumia pikipiki maarufu Bodaboda na Bajaji Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari mbele kudumisha amani na kamwe wasiruhusu kushawishiwa kujiingiza katika vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda, bajaji waaswa kuwa mabalozi wa amani na kupinga ukatili

    Madereva wa bodaboda na bajaji wa Wilaya na Mkoa wa Singida wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa kutambua kuwa shughuli zao hutegemea uwepo wa usalama na utulivu nchini. Wito huo umetolewa Oktoba 17, 2025 na Mkuu wa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mbona mnatishia wananchi na hayo magari yenu kama mpo vitani? Au ndio dawa imewaingia kuelekea Oktoba 29?

    Mungu akunyime chochote ila si akili! Sasa hapa wanawatishia wapiga kura watakosa hata wale wa kuzuga! Walioamua kuandamana hawawezi kutishiwa na magari haya maana hata Nepal waliyatoa ila hayakuwa na msaada! Hii dalili nzuri - wamechanganyikiwa!
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Suleiman: Vurugu na machafuko hayatatui migogoro

    Kuna wakati kama haki hakuna na wanapaswa kutoa haki awazitoi hizo haki ni lazima itumike nguvu ya ziada ili haki ipatikane. Kwahiyo msiseme ni machafuko ni katika harakati za kutafuta haki na usawa. ==================== Wazazi Mkoani Mtwara wametakiwa kuzungumza na vijana wao juu ya umuhimu wa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Wananchi dumisheni amani wakati na baada ya uchaguzi

    Jeshi la Polisi limewahimiza wananchi wote wenye sifa na waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi kwa amani na utulivu, kisha kurejea majumbani mwao kuendelea na shughuli zao za kijamii na kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2025 na Maafisa wa Pllisi kutoka...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa

    Tutazuia uchaguzi fake kwa nguvu nyingi, kuzuia uchaguzi fake sio kosa ni ushujaa, Wahuni wasifikiri sisi tutaenda kuremba remba, tutakula nao sahani moja jiwe kwa jiwe mpaka mabadiliko. Hakuna uchaguzi utakao fanyika
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 CP Kombo: Asakri fanyeni kazi kwa weledi na kuhakikisha usalama na amani wakati wa zoezi la upigaji kura

    Kamanda umetoa hoja nzuri. Ila naona utakuwa mgumu kutekelezeka maana mnaendeshwa kwa mihemko na mkifika kwa wanachi mnabadilika na kutoenyesha uweledi wa kutupiga na kutuumiza. ================== Kamishna wa Polisi Zanzibar CP KOMBO KHAMIS KOMBO amekutana na kuzungumza na Askari wa vyeo...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda watakiwa kulinda Amani Ili kuendeleza shughuli zao kwa Uhuru na Ufanisi

    Kama mnavyowapa elimu hii kipindi cha uchaguzi kwa nguvu kubwa, basi mafanye hivyo pia kuwapa elimu ya usalama barabarani katika kufuata sheria. Maana kila siku visa vya bodaboda kupata ajali vimekuwa vingi. =================== Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wametakiwa kutunza na...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la polisi, wadau watoa elimu ya usimamizi wa uchauguzi kwa vyombo vingine vya ulinzi Manyara

    Kipindi hiki mafunzo yamekuwa mengi sana, ujakaa sawa unasikia polisi na wanajeshi wamefanya mazoezi ya pamoja. Hizi bwebwe zote za nini jamani? =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na maafisa uchaguzi jimbo la Babati Mjini na Vijiji Mkoani humo Oktoba 21, 2025...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simon Ngilisho: Nitajenga masoko ya kisasa yatakayokidhi mahitaji ya wafanyabiashara na wananchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Makini, Simon Ngilisho, ameendelea na kampeni zake za kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo huku akiahidi kuboresha miundombinu ya biashara na usafiri ndani ya jiji la Arusha. Akizungumza leo Oktoba 22, 2025, katika eneo la Stendi Kuu...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mara ya kwanza, wagombea ubunge wanaacha majimbo yao kwenda kumnadi Rais mikoa mingine, michezo hii

    Mara unaona Makonda katoka Arusha kaenda kumnadi mgombea wake wa Urais mikoa ya kanda ya ziwa na Dar es Salaam. Jimboni kwake hayupo kumpiga kampeni🤣 Nape akaacha kujinadi huko jimboni Mtama akaenda zake mikoa ya Kaskazini kumnadi mgombea wake. Jumaa Awesu akaacha kujipigia promo jimboni kwake...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Mbeya wawahakikishia Waandishi wa Habari Usalama kipindi cha uchaguzi mkuu

    Tunasubiri kuona, kama itakuwa kweli. Maana tumechoka kusikia mara waandishi wamepokinywa vifaa vyao vya kazi au wamekamatwa =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewahakikishia wananchi na waandishi wa habari usalama wa kutosha wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kuelekea na...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Watanzania kapigeni kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika

    Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi? ================= Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa wapiga kura kupiga kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika. Ametoa wito huo...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utafiti wa CIP-Africa: Dkt. Samia aongoza kura za maoni kwa asilimia 84.5 kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nimeona hii ni mashairi tu yanaendelea kumpendezesha huyu mama Kizimkazi hakuna lolote hapo. Je Lissu angeshiriki ingekuwaje maana na amini kwa asilimia kubwa watu wangempigia kura hizo za maoni bwan Lissu, na je wangetangaza? ================== Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika kwa kiingereza...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais Chama MAKINI: Nitafanikisha kupanda kwa bei ya zao la Mwani kufika Tsh6,000 kwa kilo

    Wakulima wa mwani visiwani Zanzibar wameahidiwa kupata soko la uhakika na thamani ya zao hilo itakayofikia Shilingi 6,000 kwa kilo iwapo Chama Cha MAKINI kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu. Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Ameir Hassan Ameir kama inavyoripoti taarifa hii.
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Daraja la Jangwani fedha ipo tayari, sasa tunataka kuaza kujenga litakuwa na urefu wa mita 390

    Hicho kitu gani kinachokwambisha kuanza ujenzi kama fedha ipo? Ulipaswa kukitaja ili wananchi wakifahamu na wala kutuletea ngonjera. ============== Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujenga daraja jipya la Jangwani lenye urefu wa mita...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais CCM Samia Suluhu Hassan awatoa hofu wananchi, "tuko salama wakati wowote"

    Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania Kwa kusema kuwa vyombo vya Ulinzi na usalama vimejipanga vyema wakati wote iwe kwenye uchaguzi na hata baada ya uchaguzi Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Oct 22,2025 Kinyerezi Wilayani...
Back
Top Bottom