GE2025 Dkt. Mwinyi alisha Njiwa wa darajani

GE2025 Dkt. Mwinyi alisha Njiwa wa darajani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
419
Reaction score
553
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi akilisha njiwa katika eneo la Darajani, mara baada ya kumaliza ziara yake ya kuzungumza na wafanyabiashara na kunadi sera za maendeleo kwa Zanzibar yenye amani na umoja.

Huyu jamaa alifaa sana kuwa raisi wa Tanganyika.
Ingeondoa dhana ya wakristo hawamtaki kiongozi muislam.
Uraisi (uongozi) wenyewe ana uweza sawa sawa.
 
Huyu jamaa alifaa sana kuwa raisi wa Tanganyika.
Ingeondoa dhana ya wakristo hawamtaki kiongozi muislam.
Uraisi (uongozi) wenyewe ana uweza sawa sawa.

..Husseni kwao ni Tanganyika.

..Baba yake kazaliwa kijiji cha Kivule, Kisiju, Mkuranga.

..jina la Baba yake la asili ni Nzasa Sihaba.

..Babu yao aliitwa Hassan Mwinyi Chande Magandi.

Cc figganigga
 
Back
Top Bottom