uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    PreGE2025 LGE2024 Wazo Jipya: Sema Mambo 3 CHADEMA wafanye sasa kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani yatapatikana mambo matatu makubwa. 1. Itangaze mapema kama msimamo wa chama kuwa wagombea wote wa ubunge...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Ikungi Singida: Mzee amtabiria Tundu Lissu kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2025

    "Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
  3. Nyarupala

    PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa mwakani ufutwe ili kuokoa gharama

    Japo itaonekana ni kuvunja katiba lakini kuna sababu za msingi za kufanya hivyo. Hivi bunge halioni kujadili hili suala na hatimae mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa serikal naye akashirikishwa na hatimaye ikapitishwa kwa kauli moja ya kwamba uchaguzi wa Rais na Wabunge usiwepo kwaajili ya...
  4. B

    Wimbo wa Marioo uitwao 2025, utakuwa hit song Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu ushauskiliza huu wimbo wa marioo uitwao 2025. Ukiuskiliza huo wimbo ni ameongea mapnzi tu. Akisisitiza kuwa atadumu na mpnz wake Hadi 2030+ Sasa huu wimbo ukiuskiliza kwa upande wa kisiasa utaona unafaa sana kwny kampeni za uchaguz wa 2025. Mlio karibu na marioo mwambieni kabisa...
  5. Pascal Mayalla

    PreGE2025 LGE2024 Ombi Maalum, Kwa Mtu Maalum Achana na Hizi Mutatis Mutandis Kwenye Chaguzi za SM2024 & U/Mkuu2025, Tumia Ceteris Peribus, Utabarikiwa, Tutabarikiwa!

    Wanabodi Wanabodi, Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la kutumia ujumbe mahsus maalum kabisa kwa mtu wetu mahsus maalum kabisa. Ombi kama hili kwanza...
  6. Nandagala One

    Samia kukinywea kikombe cha Harris Kamala Uchaguzi Mkuu 2025

    Heshima kwenu wakuu. Natanguliza conflict of interest. Mwaka 2025, endapo Kassim Majaliwa hatakuwa mgombea, basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, ambaye alijaribu kugombea urais baada ya Rais Joe Biden kujiuzulu. Samia alichukua urais kwa kurithi baada...
  7. Dalton elijah

    PreGE2025 LGE2024 Wajibu Wa Vyombo vya Habari katika Uchaguzi

    Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili. Wakati wa kampeni waandishi wa habari wana wajibu wa kutopendelea vyama vya siasa kwa kuegemea kuripoti habari za chama fulani na kuacha...
  8. Mindyou

    PreGE2025 LGE2024 Shamira Mshangama awataka wazee kuiombea CCM ili iendelee kubaki madarakani

    Wakuu, Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB Wasafi na mke wa Kim Kayndo hivi karibuni alitembelea kituo cha kulea wazee na wasiojiweza akiwa...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Makonda: Sioni mtu wala kabila litakalonizuia 2025 kuzunguka katika taifa hili kutafuta kura za Rais Samia na Mwinyi

    Wakuu, Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM? Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi na Rais Samia kwenye uchaguzi unaofuata. Pia amesema kuwa ameshaona kuna baadhi ya watu wana nia ya...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Waziri Bashungwa atuonesha vile anavyoishi nje uwaziri akiwa na mabosi zake wapiga kura. Muvi la Uchaguzi Mkuu 2025 liendelee

    Wakuu, Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na helmet :BearLaugh: :BearLaugh:. Kupata vimbwanga na matukio mengine wakati huu wa uchaguzi ingia...
  11. figganigga

    Rais Samia: Hata ukipiga kura kule kwingine, CCM inaenda kuunda Serikali. Je, hizi ndo 4R?

    Salaam Wakuu, Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda. Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, inaonekana kabisa akili zake za mwaka 2020 ndo zilezile. Japo alikuja na 4Rs naona hazifanyi...
  12. SaintErick

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu 2025: Sheria iruhusu kurudia uhesabuji wa kura inapotokea utata

    Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya mwisho kwa washiriki wa uchaguzi na katika nchi nyingi kushindwa kupinga matokeo mahakamani kwani...
  13. Roving Journalist

    PreGE2025 Katavi: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Katavi ni 1,152,958; wanaume 569,902 na wanawake 583,056. Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi...
  14. Roving Journalist

    PreGE2025 Rukwa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mgawanyiko wa Idadi ya Watu kwa Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa...
  16. Roving Journalist

    PreGE2025 Kagera: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mgawanyiko wa Idadi ya Watu kwa Majimbo ya Uchaguzi Mkoa wa...
  17. Roving Journalist

    PreGE2025 Kilimanjaro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za...
  18. Roving Journalist

    PreGE2025 Mbeya: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926 Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
  19. Roving Journalist

    PreGE2025 Iringa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  20. Roving Journalist

    PreGE2025 Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji 393, Mitaa 154 na Vitongoji 1471. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa...
Back
Top Bottom