WASIRA AYAMALIZA NA MBELWA PETRO WA CHADEMA ZIARA YAKE YA KWANZA MKOANI KAGERA
Na Grace Mpondwe.
Katika hali isiyotarajiwa leo Machi 25, 2025 aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo mwaka 2020 kupitia CHADEMA amekihama chama hicho na kujiunga na CCM akipokelewa na kukabidhi...
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.
Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.
Kura zitakuwa sawa na kuchagua: Kijani ni ipi kati ya hizi?
Kijani...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, anasema chama hicho bado kina nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, na kwamba kutosaini kanuni za maadili hakuwaondoi kikatiba kushiriki uchaguzi, kwani hakuna muda wa mwisho wa kusaini — wanaweza kufanya hivyo siku yoyote watakayotaka...
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani...
Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja...
Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno.
Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mkumbo alisema...
Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza katika Kongamano la Tatu la Operesheni Linda Demokrasia...
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya.
Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
barua
barua ya wazi
dodoma
haraka
kuelekea
kuelekea uchaguzimkuu
kulinda
mali
mkuu
ombi
raia
rais
uchaguziuchaguzimkuuuchaguzimkuu2025
usalama
usalama wa raia
wazi
zao
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kwa jamii yetu kuangazia na kukumbuka urithi wa viongozi wetu, hususan Rais John Joseph Magufuli.
Tunaiomba serikali, vyombo vya habari, na waandishi wa habari kote nchini kuanzisha kampeni ya kuonyesha vipindi vya Rais Magufuli wakati wa...
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki...
Salaam wakuu,
Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu.
Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na...
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo.
Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi.
Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
Maelfu ya wanavyuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni...
Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba...
Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kidini, kikabila au...
Mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi ni hatua muhimu katika mchakato wa Demokrasia nchini Tanzania.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inawajibika kuhakikisha kuwa majimbo yanagawanywa kwa kuzingatia vigezo kama idadi ya watu, jiografia, na mahitaji ya uwakilishi wa wananchi.
Katika Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.