Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche amewataka waandishi wa habari kutoendelea kumuuliza kuhusu aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akiwataka kumtafuta na kumuuliza maswali mwenyewe.
"Alituaga kwa mazungumzo, anataka apumzike kwa muda kwenye active politics na atarudi. Kwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imewakamata wanachama saba wa Chama cha Mapinduzi kwa tuhuma za kugawa fedha nje ya ukumbi wa uchaguzi Musoma vijijini, huku baadhi ya watia nia wa nafasi ya udiwani viti maalumu wa chama hicho wakituhumiwa kujihusisha na vitendo...
Wakuu!
Kwa mujibu wa kanuni za mchakato wa uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya kupigia kura.
Sababu zinazotolewa ni kulinda usiri wa kura, kuzuia vurugu na kuhakikisha usalama wa mchakato...
Akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kinachorushwa live leo tarehe 23 mwezi wa 07 mwaka 2025 ,Mzee butiku amesema
Mosi,Utaratibu uliotumika kupata mgombea wa urais wa chama mwaka 2025 ulikosewa na haupo kikatiba ndani ya ccm,Alishangaa wajumbe kulazimisha hoja halafu baadae ndio wakaanza...
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), marehemu Anastazia Mwamongi (72), aliyekutwa ameuawa kikatili ndani ya nyumba yake na watu wasiojulikana, amezikwa katika makaburi ya Igeleke, yaliyopo Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa.
Maziko ya marehemu huyo yamehudhuriwa na...
Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia ipasavyo elimu waliyoipata katika mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ikiwalenga waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchagyuzi ngazi ya jimbo. Rai hiyo imetolewa na mratibu wa...
Kauli hiyo imesema na Coaster Kibonde Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia MAKINI katika kipindi cha MORNINGBANTU cha Star Times Bongo
Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM).
"Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee.
"Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa...
Iwe mchakato umewahi au umechekewa tunachojua sisi waliopitishwa na Mkutano Mkuu wanafahamu kuwa Rais na Makamu wanafaa kwa takwimu zao hizí tunazozifahamu.
Kila zama na Kitabu chake. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapiga kura za ndio au hapana, na hakuna aliyehoji ukosekanani wa wagombea...
Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote alisema atazuia Uchaguzi akiingia madarakani, na kama angelisema hivyo mimi nisingemuunga mkono."
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati.
Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
Minong’ono ya kuteuliwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi katika Mkutano Mkuu wa Januari 19, 2025 jijini Dodoma, imeendelea kutawala na safari hii imnepata kasi baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kutangaza kujiuzulu...
Wakuu
======
Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu, kunashuhudiwa ongezeko kubwa la vikundi vinavyozuka na kujitambulisha kama "wafuasi wa mgombea fulani". kwa mfano Vinyozi wa mama,Samia for us, wachekeshaji wa mama,Mbunge Cup, Diwani Cup na vingine vingi, vinaibuka ghafla mitaani na...
CCM na vyombo vya dora vina maigizo 🤣🤣🤣
Haya sasa, Kamanda Muliro yupo live anatufundisha Katiba ya CCM badala ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Eti CHADEMA kuzuia uchaguzi ni kinyume cha Katiba, lakini kuvunja Katiba kwa kuficha Daftari la Wapiga Kura, kutoanzisha Tume Huru, na...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa.
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokua akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.