uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ado: Act Wazalendo ndio Chama kinachokua Kwa Kasi zaidi Tanzania

    "ACT NDIO CHAMA KICHANGA KWA UMRI NA KINACHO KUA KWA KASI ZAIDI TANZANIA" - Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ndg. Ado
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Steven Wasira: Hatuwezi kuahirisha uchaguzi

    "Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

    “Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boniface Jacob ameandika kuwa Godbless Lema ni msaliti, amegeuza 'TONETONE' kuwa faida yake binafsi

    Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea udiwani wasusia kusaini matokeo ya Uchaguzi Mkuranga idadi ya wajumbe na Kura ni tofauti

    Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na kulalamikia kukamata Kura feki wilayani humo katika mchakato wa Uchaguzi wa udiwani viti maalumu...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana TK-Movement waahidi kusimama na Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu ==== kwani nyie mnasemaje? Akizungumza na wanachama wa jukwaa la vijana na wanawake nchini ndg. Naseem Makombe Katibu wa vyuo na vyuo vikuu TK-ΜOWEMENT Naseem Makombe amewataka wana TK MOVEMENT kuumunga mkono Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kutokana na kazi kubwa zinazoendelea kufanyika...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni za uchaguzi Zina Adhabu Kisheria?

    Wagombea wengi huahidi mambo makubwa wakati wa kampeni kama vile kujenga barabara, ajira kwa vijana, au elimu bure hata kama hawana uwezo wa kutimiza, Uutakuta mbunge anahaadi ujenzi wa barabara ya lami lakini kumbuka mbunge hawezi kujenga kwa hela zake mpaka akaombe hela bungeni na bunge...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Waliotoa mchele na sukari ndani ya CCM mwaka wa uchaguzi wameitwa watoa rushwa, lakini Samia ametoa baiskeli na nguo mbona yeye hamsemi?

    Waliotoa mchele na pesa ndani ya CCM mwaka wa uchaguzi wameitwa watoa rushwa lakini Rais Samia ametoa baiskeli na manguo na yeye mbona hamsemi anagawa rushwa ? mwambieni Samia unatoa rushwa pia. Bila kuangalia hadhi ya mtu TAKUKURU hakuna uwajibikaji kabisa kuna watu wametoa rushwa wazi wazi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

    Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nkasi: Huu ni Mkutano wa Ndani wa No Reforms No Election, Kwa Hali hii ni nani atajitokeza kupiga kura?

    Hakuna haja ya kupiga Porojo nyingi, Angalia Mwenyewe Julai 20, 2025 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini Mhe. Aida Khenani amefanya kikao cha ndani katika kata ya Kirando Jimbo la Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa ikiwa ni mwendelezo wa kuimarisha Toa Maoni yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

    Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu: 1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KIMENUKA: Kimenuka CCM yatakiwa kumzuia Jerry silaa kucheza 'rafu' ukonga ziara ya Mchengerwa yatajwa kuwa kampeni ya kificho

    Baadhi ya watia nia ya ubunge kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu ujao katika Jimbo la Ukonga, Ilala, Dar es Salaam wamemlalamikia mbunge aliyemaliza muda wake, Jerry Silaa kwa kitendo chake cha kuanza kupiga kampeni kabla ya kipyenga kupulizwa. Wamsema kitendo hicho, licha ya kwenda...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuranga: Kura feki za kamatwa zikisafirishwa kwenda ukumbini

    wakuu ==== kumekucha Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata kura feki ambazo tayari zilikuwa zimepigwa kwa niaba ya baadhi ya madiwani. Inadaiwa kuwa Katibu wa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Dennis Muchunguzi: Utaratibu wa kikatiba ulifuatwa kumteua Dkt. Samia kugombea

    Wakuu Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Mwanazuoni Dkt. Dennis Muchunguzi anasema utaratibu uliotumika kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais kwa Chama cha Mapinduzi ulikuwa halali na hakuna taratibu iliyovunjwa, kwani baada ya jina lake kupendekezwa na wajumbe wa mkutano mkuu...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Vyanunuliwa? Vyamshambulia Polepole kwa makala moja: Eti ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa?

    Wakuu! Katika pitapita zangu huko Mitandaoni nimekutana na page zaidi ya Tatu tofauti za Vyombo vya Habari vilivyoandika/kupost makala moja kuhusu Humphrey Polepole na wote wanahoji "Polepole ni Mzalendo wa kweli au Mjanja wa Siasa", ukitazama ni kama wametumiwa na mtu mmoja kisha wao wamepost...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: Mkandarasi akishindwa kutekeleza awamu ya kwanza Ifikapo mwezi wa 10 Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola Ipitike, achukuliwe hatua

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
  18. B

    JamiiForums Tanzania 2015 CCM ilipokosa Mgombea anayekubalika ilibidi Wamchague Hayati Magufuli kupeperusha Bendera, Mwaka huu 2025 wakikosa Mgombea watakimbilia wapi?

    Nilikuwa nawaza hapa leo hii asubuhi baada ya kutoka mazoezini. Kwamba Mwaka 2015 kulitokea sintofahamu katika uteuzi wa Mgombea wao. Vurugu kati ya Befnard Membe na Edward Lowasa. Basi ilibidi wachakate akili haraka sana na wakaona Hayati Jpm angewafaa na wakafanikiwa. Sasa je ikitokea kwa...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asasi 252 zapata kibali kushiriki uangalizi wa uchaguzi mkuu 2025

    Tume huru ya uchaguzi imeridhia asasi 252 kushiriki katika uangalizi wa uchaguzi mkuu mwaka 2025 kwa mujibu wa sheria ya Tume huru ya uchaguzi
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakili wa CHADEMA wajibu mapigo Mahakama kuzuia shughuli za Chama, Wadai Msajili hana mamlaka ya kutafsiri hukumu au amri ya Jaji

    Mawakili wa CHADEMA wanaijibu Mahakama kuhusu zuio la viongozi wa chama hicho kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za CHADEMA. https://www.youtube.com/watch?v=CWE21IAhJ9A Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya...
Back
Top Bottom